rais

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais mpendwa sijaona post yako ya kutu wish heri ya x mas

    Mh rais naona amekaa kimya sana. Ameshimdwa hata kutu wish heri ya x mas kweli. Japo hatuna kitu lakini akitu wish tunagarijika
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Picha: Mjue Abdul Halim Hafidah Ameir, Mtoto wa Rais Samia

  3. Bams

    JamiiForums Tanzania Kwa Fomula ya Mbowe, Samia Suluhu Hassan hatakiwi kugombea Urais

    Mbowe kwenye hotuba yake, akielezea kuwa hawezi kuwaachia watu wengine waongoze chama, baada ya yeye kuwa mwenyekiti kwa miaka 21, alisema kuwa Mtei aliachia umwenyekiti wa chama alipofikishia umri wa miaka 68. Halikadhalika, Bob Makani naye aliachia uongozi wa chama alipofikisha umri wa miaka...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa Raja Athletic afanya mazungumzo Miguel Ángel Gamondi

    Rais wa klabu ya Raja Club Athletic amekutana mara mbili na kocha mwenye uzoefu wa Argentina, Miguel Ángel Gamondi, ambaye kwa sasa anaonekana kuwa chaguo bora zaidi kwa nafasi ya kocha mkuu wa timu hiyo. Hata hivyo, bado hawajafikia makubaliano rasmi kutokana na baadhi ya masharti ambayo...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo

    #Repost @mwananchi_official —— Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kwa maendeleo. Kikwete ametoa sifa hizo kwa Wachaga, huku akiyahusisha baadhi ya makundi ya watu nchini, ambayo hata kulima kwa ajili...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanavijiji Waipokea Zawadi ya Rais Samia kwa Shangwe Tele - Musoma Vijijini

    WANAVIJIJI WAIPOKEA ZAWADI YA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA SHANGWE TELE Leo, Kituo cha Afya cha Kata ya Bugwema kimepokea Gari jipya la Wagonjwa (Ambulance) kutoka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Wanavijiji kutoka Kata hiyo yenye vijiji vinne (Bugwema, Kinyang'erere, Masinono na...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kutoka kwa Suleiman Said Bungara (Bwege) kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan

    Barua ya wazi Kutoka Kwa Suleiman Said Bungara ( Bwege) Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kwenda kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Putini anataka kukutana haraka iwezekanavyo na Rais Trump ili kujadiliana jinsi ya kumaliza mgogoro wa Ukraine

    Trump says Putin wants meeting to discuss Ukraine war “President Putin said that he wants to meet with me as soon as possible,” says Trump during an address in Arizona Servet Gunerigok |22.12.2024 - Update : 23.12.2024 WASHINGTON US President-elect Donald Trump said on Sunday that Russian...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, inawezekana unahujumiwa kupitia ama Bank au watu wa Hazina

    Mpaka sasa watumishi wa umma wengi wao wanaochukulia mshahara NMB hawajapata mishahara wakati wanaochukulia mshahara Bank zingine walishapata tangu juzi Jumamosi. Kuna nini hapo?
  10. Bams

    JamiiForums Tanzania Hotuba Ya Mbowe Ilikiwa ya kumpamba Rais Samia dhidi ya Hayati Magufuli

    Jana, Mbowe kwenye hotuba yake, alitumia muda mwingi kuzungumzia maridhiano. Na yeye mwenyewe alisema kuwa angetumia muda mrefu kuongelea maridhiano. Kwa hotuba ile ya Mbowe, ni dhahiri chini ya uongozi wake, CHADEMA itakuwa chama rafiki wa CCM ya Samia, na mwanachama yeyote atakayekuwa...
  11. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Laana ya Hayati Rais John Pombe Magufuli yaitafuna Chadema.

    Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu anasema ataendelea kupigania anachokiamini,ataendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wawili mbaroni Kwa kupanga njama za kumroga Rais.

    Polisi inawashikilia watu wawili Kwa kupanga njama za kumdhuru Rais wa Zambia, Haikande Hichilema Kwa njia za ushirikina. Watuhumiwa hao ni Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri wanaodaiwa kutumwa na Nelson Banda,mdogo wa mbunge anayekabiliwa na tuhuma za wizi Jay Jay Banda kumroga...
  13. Wafuasi wa Rais

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea CHADEMA: Watu wanaanza kutuelewa kwa nini tunawaambia, wasishabikie vyama vya siasa, washabikie Rais wao wa nchi.

    Kila mtu anaona na kusikia yanayotokea chama kikuu cha Upinzani CHADEMA. Wanachama wanaumia sana mioyoni mwao kutokana na mnyukano unaoendelea. Saaafi sana. Sisi, kama Wafuasi wa kujitolea wa Rais tunaamini kitu kimoja hapa Duniani: Nchi ni Rais. Rais ni nchi. Nchi ni wananchi. Wananchi ni...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mgeni akiingia Tanzania kwa sasa atajua Chadema ni Chama Tawala na Tundu Lissu ndiye Rais

    Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana. Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅 Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu. Kampeni zote zina reflect...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ezekiah Wenje: Abdul Mtoto wa Rais Samia ni Muungwana sana hadi alikubali kwenda Tegeta kwa Lissu...

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu. Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Kushuka kwa Dola Kutapunguza Bei za Bidhaa

    RAIS MWINYI: KUSHUKA KWA DOLA KUTAPUNGUZA BEI ZA BIDHAA. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kushuka kwa thamani ya dola nchini ni faraja kubwa kwa Uchumi kwani kutapunguza ugumu wa gharama za maisha kwa wananchi. Rais Dk. Mwinyi ameyasema...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa Rais dikteta sana kwenye baadhi ya maamuzi, Samia apewe maua yake

    Hanang watu wamepata majanga serikali ya Samia imejenga nyumba na kuwakabidhi waathirika. What love is this? 💝💝 Magufuli angewaambia kwani Mimi ndio nimeleta majanga. Refer tetemeko la ardhi Kagera. Wamasai wa Ngorororo waliokubali kuhamishwa serikali iliwahamisha bure na kuwapa makazi ya...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Zambia: Waganga wakamatwa kwa jaribio la kutaka kumroga Rais Hichilema

    Polisi inawashikilia Wanaume Wawili, Jasten Mabulesse Candunde na Leonard Phiri waliokamatwa huko Lusaka, wakituhumiwa kuwa Waganga wa Kienyeji waliokuwa na jukumu la kujaribu kumroga Rais Hakainde Hichilema Taarifa ya Polisi imesema Candunde na Phiri walikuwa wameajiriwa na Nelson Banda, mdogo...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama hatulumchangia Lissu hela za kununua gari, kwa nini anaamini tutampa kura aqe Rais wa nchi?

    Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
  20. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wenje akiri kufahamiana na Abdul (Mtoto wa Rais) na ana mawasiliano naye

    Baada ya Miezi zaidi ya mitano Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kutuhuma hadharani kwamba kuna hela za Mama Abdul na Abdul zilipelekwa kuvuruga uchaguzi wa Chadema. Lissu pia akaenda mbali zaidi na kuanza kutaja watu na miongoni mwao ni Mtu anaetajwa alikuwa ndiye Dalali wa kuunganisha...
Back
Top Bottom