rais

  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Jarida la Forbes: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jar

    Jarida la Forbes Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jarida la Forbes. Ushawishi wake katika masuala ya Diplomasia na kuwa kinara wa Nishati safi Duniani ni baadhi ya sababu, namna anavyoendesha nchi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Bashar al Assad alikuwa anauza madawa ya kulevya! Yalikutwa kwenye kasri lake Damascus

    Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake. Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!! Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje? Yaani, familia...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Alitaka kupambana na mchumi nguli ambaye hata Rais hamgusi. Sasa kapotea jumla

    Jamaa alijiona na kafinance kake kuwa naye ni mchumi wakati kale ni ka segment tu ka uchumi. Sasa kila kitu kimenyooka chini ya huyu mwamba wa uchumi. Dolla inashuka thamani dhidi ya tsh kila siku. Mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. Ajira kila kona Mpina kwa heri ya kuonana.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uchumi Duniani yaonyesha matokeo makubwa Uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia

    Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR). Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo thabiti wa mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Sera...
  5. The Whistleblower

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, atekwe nani ndo uchukue hatua?

    Ulipoongea na waandshi wa Habari ulisema hizi ni Drama tu na kifo ni kitu cha kawaida. Ni kweli kifo ni kitu cha kawaida sana kama hayajakukuta. Swali langu kwako mama ni hili," Ni nani atekwe au apotee ndo uchukue hatua nzito kama mkuu wa nchi"?. Kama vyombo vya Dola ndani ya nchi vimeshindwa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar: Acheni kuchukua fedha ili muwafiche wanaowafanyia ukatili Watoto na Wanawake

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hatua zaidi zinatakiwa kuchukuliwa dhidi ya matukio ya Ukatili hasa kwa Watoto na Wanawake na pia Jamii imetakiwa kutoa ushirikiano zaidi kwa Mamlaka zinazohusika kukabiliana na changamoto hiyo. Hayo yameleza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Taifa ya...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Kuna watu wanapotosha kuwa ardhi ya Tanzania inamilikiwa na Rais na akitaka anakuondoa muda wowote

    Wakuu, Nadhani ushawahi kusikia ile notion ya kwamba ardhi ya Tanzania yote inamilikiwa na Rais na kwamba Rais akitaka anaweza kukuondoa muda wowote. Akiwa anazungumza siku ya jana kwenye mdahalo ambao uliandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Mwabukusi alisema kuwa huo ni...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rasmi, Bunge la South Korea lapiga kura kumuondoa Rais Yoon Suk Yeol madarakani baada ya kutangaza utawala wa kijeshi

    Wakuu, Wabunge wa Korea Kusini wamepiga kura Jumamosi kumuondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol kufuatia jaribio lake lililoshindikana la kutangaza hali ya kijeshi, hatua ambayo ilisababisha machafuko katika taifa hilo. Kura hiyo ilipigwa na wabunge wote 300ambapo 204 walikubali, 85 walipinga...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Assad alikuwa spy wa Israel nchini Syria

    Nimeona barua inayodaiwa kupatikana kwenye kavazi la aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al Assad ikimhusisha kuwa alikuwa akitumiwa na intelijensia ya Israel kufanikisha baadhi ya mipango yao. Lugha iliyotumika nimeshindwa kuielewa maana si mjuzi wake.
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipandisha hadhi wilaya Rufiji kwenda kwenye hatua ya kuwa Mji

    Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan siku ya leo ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji, na Halmashauri ya Mji wa Geita kuwa Manispaa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, alitoa...
  11. Bams

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ajihadhari na Mtego wa Wa Fomu 1.

    Rais Samia alipoingia madarakani, kutokana na yale aliyoweza kuyatenda mwanzoni, alisifiwa, alipendwa na kuungwa mkono na watanzania wengi wenye akili timamu wenye mapenzi mema kwa Taifa: 1) Alifuta kesi za kuwabambikia wapinzani 2) Mara kadhaa alikemea vitendo vya kishetani vilivyokuwa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Rais ajae baada ya Suluhu atatokea kusini mwa Tanzania Bara, Ni Mwanamke Tena !!

    Binafsi ningependa Rais ajae atokee upinzani lakini kwa hali ilivyo hata uwezekano mdogo haupo, hatuna budi kumsubiri rais ataepitishwa na chama Tawala. Ni dhahiri Rais Ajae lazima awe mkristo kwa utamaduni wa chama tawala, hii imerahisisha zaidi kumjua Rais ajae ikiwa bado atakuwa hai. Wengi...
  13. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Mwenyekiti wake Taifa, lazima awe Rais wa Nchi?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Katika mfumo wa kisiasa wa nchi, Mwenyekiti wa CCM amekuwa akichukuliwa kama lazima awe Rais wa nchi. Hii ni kwa sababu ya uhusiano wa karibu kati ya chama na serikali, ambapo CCM...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi na uozo wa Rais wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi waanikwa, analindwa na Vigogo

    Nimepenyezewa taarifa zenye uhakika kwamba tarehe 10 Desemba 2024 kumefanyika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi almaarufu TAFCA ambalo ofisi zake zipo Magomeni Kagera Narudi nyuma kidogo. Mnyetishaji amenielezea kuwa Mkutano Mkuu wa TAFCA uliofanyika mnamo tarehe 18 Desemba...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Namshauri Paul Makonda asiwe anapenda kulia na kutoa machozi hadharani. Ajifunze kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa kiongozi Mkubwa na wa cheo kikubwa kama kuwa Mkuu wa Mkoa yaani Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa na kiongozi mwenye Ndoto ya kuja kuwa kiongozi Mkubwa siku za usoni . Siyo Vyema sana kuelemewa na hisia mpaka kufikia hatua ya kulia na kutoa au...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawaapisha viongozi wateule Ikulu ndogo ya Tunguu-Zanzibar leo Desemba 10, 2024

    Wakuu, Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar, leo tarehe 10 Disemba, 2024. Akiwa anazungumza katika uapisho wa mawaziri, Rais Samia amedokeza kuwa ni viongozi tu ndo wamebadilishiwa majukumu lakini serikali ni ile ile. Pia Rais Samia alitumia hotuba yake...
  17. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Ujumbe wa Kodi wenye picha ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wafika kilele cha Mlima Kilimanjaro

    Bendera yenye nembo ya TRA na picha ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa na ujumbe wa kodi wa “TUWAJIBIKE kulipa kodi kwa hiari kwa maendeleo ya Taifa letu” imefika katika kilele cha mlima Kilimanjaro tarehe 09 Desemba, 2024, mlima mrefu kuliko yote...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kabudi nimeipitia vizuri CV yako, wewe ni mwanahabari mzuri

    Wakuu, Kama ulikuwa unajiuliza kwanini Kabudi amechaguliwa kwenye Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo hivi leo Rais Samia ametoa sababu ya kumchagua Kabudi kwenye nafasi hiyo. Rais Samia akiwa anawaapisha viongozi wapya leo, amesema kuwa ameipitia CV ya Kabudi na ameona kuwa yeye ni...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sababu 5 zitakazopelekea rais Samia kuukosa urais 2025 hizi hapa…

    1. Mkataba wa DP World. 2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro. 3. Utekaji na mauaji. 4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama. 5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awataje hadharani Watu Wanaomroga Rais ili asije akafanya Maamuzi Makubwa kwa Kulogwa na hao watu

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul christian Makonda kijana Jasiri kuwahi kutokea katika ukanda wa kusini Mwa jangwa la...
Back
Top Bottom