Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena.
Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka...
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nilimsikiliza jana Polepole, ni wanaccm wachache sana wanaweza kuchambua mambo kama yeye, na nathubutu kusema kwa dhati kabisa, hata Rais Mama Samia hawezi na hatoweza kufanya hayo. Wala hawezi kuweka mdahalo na Polepole. Ningependa siku moja hawa...
Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM.
Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na...
Mkikaa kimya hata mawe yataongea, sasa watu kutoka mbali kabisa wameiona nyota angani mithili ya mamajusi.
Nabii huyu kasema kwamba Samia Suluhu Hassan atashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu 2025.
Kikubwa zaidi, amesema kwamba katika awamu ya urais ya 2025-2030, uchumi utakua kwa kasi ya...
Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1...
Tofauti na marais wengi duniani ambao huwaapisha kiapo cha utumishi maafisa na watumishi lukuki wa serikali na mihimili mingine ya nchi, rais wa Marekani kiutamaduni yeye huwa anamuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani/mwenyekiti wa kamandi za jeshi la Marekani tu.
Mawaziri na watumishi katika...
Humphrey Polepole akimjibu mmoja wa waandishi wa habari kuhusu kutoa barua ya kujiuzulu, amejibu kuwa Rais Samia alimteua hadharani na kila mmoja akaona, kwanini yeye asijibu hadharani.
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye uzinduzi wa dira ya taifa ya maendeleo 2050 Rais Samia amesema kuwa Tanzania itaendelea na sera yake ya kutokufungamana na upande wowote kwani uchumi wa sasa haumilikiwi na taifa moja pekee kama ilivyo zamani
Tunashudia mabadiliko makubwa kutoka kutawaliwa...
Wakuu kwanini msikae kimya tu hata kama mnamchukia? Huu ni wakati wetu wa kutamba na mama yetu. Nyie tulieni ikifika zamu yenu mtatamba na wakwenu.
Mnanikosesha amani, nikiongea mnaanza kuniita Ponjoro wa Kinondoni , jina sio baya sana ila mtulie nasisi tule keki ya taifa, tukishiba mtakuja na...
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, mshauri mwandamizi wa rais na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, ameibua tena gumzo nchini baada ya kutangaza wazi nia yake ya kuwania urais kupitia ujumbe wa mitandaoni wenye kauli ya kidini.
"Kwa jina la Yesu Kristo Mungu wangu, nitakuwa Rais wa nchi hii baada ya...
Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.
Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na...
Natamani Ujumbe Huu, AUONE RAIS SAMIA, na Mungu amsaidie asikie saauti yake !!.
Machawa wamempoteza Rais SAMIA !!.
https://www.facebook.com/share/r/16rjwu6mHy/
Kuna jamaa namfahamu ni Mlinzi na anapokea Mshahara wa Shilingi Laki Moja na Elfu Themanini za Kitanzania ila ana Watoto Sita na Mahawara Watatu halafu Kutwa tu ukikutana nae Kijiweni ndiyo Mkosoaji mkubwa wa Serikali ya Rais Samia na Kukilaani Chama Cha Mapinduzi (CCM) utadhani Samia na CCM...
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia.
Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau...
Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni...
Wakuu,
Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, ameamuru kufutwa mara moja kwa posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wa Serikali ambao wameteuliwa kama sehemu ya kupunguza matumizi ya serikali na kuelekeza fedha za umma kwenye kuboresha sekta za afya, elimu na kwenye serikali za mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.