Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi bilioni 1 kwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania (Taifa Stars) endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa CHAN 2024 na kubeba kombe.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi, amesema hayo leo July 24,2025...
Kama CCM haitashafishwa na wataruhusu mla rushwa namba moja kugombea.
Lissu ndiye Rais ajaye
Wajumbe wa CCM jifunzeni kwa wajumbe wa chadema walichomfanyia Mbowe fanyeni hivyo hivyo.
Lasivyo Chadema ya Lissu inaenda Ikulu mwaka huu maana reform lazima zifanyike hata mfanye kitu gani...
Kubali ukatae kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM. Kuna kundi kubwa linalompinga Samia ndani ya CCM. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mpinzani wa ndani hii ni kitu mbaya sana. Mtu anae kujua vizuri ni rahisi kukumaliza ..
Donald Trump pamoja na kuwa na Secret service protection ila hali manusra...
Viongozi wa nchi hamfikirii
Mahakama hamfikirii
Tume ya Uchaguzi hamfikirii
Usalama wa nchi hamfikirii
Hamfikirii kwamba tunapanda mbegu inayoenda kulimaliza hilo taifa kwa maslahi ya watu wachache mno ambao in next 15 to 20 years huenda wakawa mavumbini based on WHO life expectancy extracts...
Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee.
Nyongeza watu walio fanyiwa uhalifu ambao ni viongozi wa dini, watu walio fungiwa makanisa na kuvunjiwa makanisa ni wapinzani wa rais samia pekee.
Kwahiyo lazima tujiulize kwanini ni...
Tarehe 17 Februari 2021, mauti yalimkuta katibu mkuu kiongozi Mhandisi John Kijazi. Kijazi amekufa waziri wa fedha kipindi hicho, Dr Philip Mpango akiwa mahututi hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma.
Mwezi mmoja baadaye, mauti yakamkuta rais John Magufuli tarehe 17 Machi 2021.
Some say that the...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, omeongeza mara 50 mitaji ya wavuvi mkoani Geita ikiwa ni ongezeko jipya la Shilingi milioni 770
Rais Samia katika kuendelea kuimarisha sekta ya uvuvi nchini, ameongeza mitaji kwa wafugaji wa samaki mkoani Geita kutoka Shilingi...
Mimi nampenda sana Rais wangu, sidhani kama kuna mtu ananifikia kwa kumpenda. Namshauri afanye mambo haya mawili tutamkumbuka daima.
1. Akubali kufanya reforms kabla ya uchaguzi na ahakikishe ni reforms zitakazofanya tume iwe huru kwelikweli.
2. Asigombee tena maana huku kwa wananchi...
Kama umesomea Cuba na ukafanikiwa kupata angalau D 2, utafahamu kuwa mjamaa yeyote akifika Cuba (ardhi ya mwanamapinduzi mjamaa hayati Fidel Castro) lazima apate vibe la kimapinduzi na lazima atakuzingua tu kama unaendekeza ubepari.
Ndio haswa kilicho tokea. Polepole amenipa sababu nyingine ya...
Kiongozi yeyote anayedogosha msahafu wa kazi yake ya uongozi, anaibua maswali mazito sana.
Kinachoendelea sasa hivi ndani ya CCM, kisitushangaze kabisa kwa sababu tulishaonyeshwa dalili zake mapema.
Rais Samia alipoiita katiba kuwa ni kijitabu tu, alikuwa anatuambia ni jinsi gani kwake, sheria...
Rais William Ruto amepinga wito unaozidi kumtaka ajiuzulu kupitia nyimbo zinazoongezeka za ‘Ruto Must Go’ katika maandamano ya mitaani na mitandao ya kijamii.
Katika hotuba yake katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE) Jumatano, Ruto alihoji sababu za wito wa kuondoka kwake mapema, akisema viongozi...
We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns
1 hour ago
Updated 8:53 AM
Share
A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025)
A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, tarehe 22 Julai 2025, amefungua rasmi Kikao cha Jukwaa la Kibunge katika Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Umoja wa Mataifa wa Mwaka 2025 kuhusu Maendeleo Endelevu (Parliamentary Forum at the...
Mkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala.
Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amewaomaba wananchi wa Kahama Mjini kumchagua Sweetbert Nkuba aliyewania kugombea ubunge endapo atapitishwa na chama chake cha CCM.
Wakili Mwabukusi ameandika katika ukurasa wake wa Facebook baada ya Nkuba kumtembelea ofisini...
Chini ya Rais Samia Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi Mkoani Arusha wafikia asilimia 93.
Rekodi za Kitaifa zinaonesha kuwa Tanzania imeongeza MRI kutoka 7 hadi 13, CT scan kutoka 13 hadi 45, Digital X-Ray kutoka 147 hadi 491 na Ultrasound kutoka 476 hadi 970. Hata hivyo Mkoa wa...
Endeleen kupiga makelele ya Wagombea wawe watatu, Mmoja au wawili ila ni Mheshimiwa Jaji Mkuu Masaju atakayemuapusha Mheshimiwa Dr SSH kuwa Rais wa JMT 2025-2030 baada ya ushindi mnono.
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
FaizaFoxy
Mpwayungu Village
Kumekuwepo na mjadala kwa muda mrefu dhidi ya muungano wetu Tanganyika na Zanzibar .
Hivi karibuni ukiacha malalamiko ya upande wa Tanganyika kumekuwa na utulivu mkubwa.
Sababu kuu ni kwa vile Rais wa jamhuri ni mzanzibar na ikumbukwe Zanzibar ndio ina ruhusa ya kupiga kura ya maoni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.