Rais wa Pili wa Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi amefariki dunia
Rais Uhuru Kenyatta amewatangazia wananchi wa Kenya asubuhi ya leo.
Mzee Moi amefariki leo Februari 04, 2020 alfajiri saa 11 na dakika 20 (5:20am) akiwa na umri wa miaka 95 (ingawa aliyekuwa katibu wake, Lee Njiru amesema...