Mh Makamu wa Rais pole sana na majukumu.Mimi ni mwananchi w Kijiji cha mpugizi, kata ya Mwaru, Wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida.Kwanza tunakushukuru sana mama yetu kwa ulipoamua kuja ziarani mkoa wa Singida mwaka jana.
Wewe binafsi ulitiahidi wananchi wa Kijiji cha Mpugizi kua utatusaidia...
Marekani haijamtuma mtu kuua watu kufunga watu na kuteka watu hapana, Marekani haijatuma mtu kuwashambulia watu kwa risasi hapana, Marekani haijamtuma kuzima vyombo vya habari na kuzuia siasa kwa wapinzani kwa miaka 5 hapana,
Kama serikali haijawatuma hao watu kwanini hafanyi upelelezi kuleta...
Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imefuta mashataka yote yaliyokuwa yakimkabili Rais wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa aliyeshtakiwa na Mpelelezi wa Masuala ya Rushwa, Busisiwe Mkhwebane.
Alimshtaki Rais huyo kwa kulidanganya Bunge kuhusu matumizi ya fedha hizo. Pia alitaka Rais achunguzwe kwa tuhuma...
Rais Magufuli bwana nimemuona anashangilia bao la Yanga hata kama yeye ni Simba na kavaa jezi ya Yanga nimeipanda hayo ndio mambo tunataka kuliunganisha taifa.
Mwenyekiti wa Nccr mh Mbatia amesema Rais Magufuli ni mzalendo wa kweli, mchapakazi, ana uthubutu na ni mtu anayechukua maamuzi magumu.
Mh Mbatia ametolea mfano namna Rais Magufuli alivyokomesha ujambazi, alivyoimarisha sekta ya elimu na afya na alivyothubutu kujenga miundombinu ya kisasa...
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge.
Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba.
Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa...
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema Rais Magufuli ni mzalendo kwa maneno na matendo, ni mtu anayetambua mamlaka yake na asiyekubali kushindwa katika lile analoliamini.
Mama Samia alikuwa akijibu swali la mwandishi wa BBC aliyetaka kujua yeye kama msaidizi namba moja wa Rais Magufuli...
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameionya serikali ya Somalia kuacha uchokozi wa mara kwa mara dhidi ya Kenya.
Onyo lake linajiri siku moja baada ya wakazi wa Mandera kulazimishwa kutoroka makazi yao baada ya ghasia zilizozuka kati ya wanajeshi wa Somalia dhidi ya wanajeshi wa eneo la Jubaland...
Mh Rais magufuli mfano mbaya anaoutoa SABAYA kwa vijana wengine nchini huku ukiangalia bila kumchukulia hatua ni Jambo baya Sana.
SABAYA anatenda Mambo ya kihuni hachukuliwi hatua siku vijana wengine WAKIMWELEWA itakuwa balaa kubwa Sana.
Wakati nyerere aliwa groom wanasiasa Bora na kuliachia...
Ni dhahiri kuwa Mbowe na Chadema wamezichanga na kuzicheza karata zao vyema sana. Kitendo cha Mbowe kutamka hadharani umuhimu wa maridhiano kati ya serekali na wapinzani kililenga ku draw attention ya sympathizers wa mustakabali wa mwenendo wa kisiasa na utawala bora hapa nchini.
Sympathizers...
Rais anaposonga mbele, aliyoagiza nyuma yanasahaulika. Muongozo ulitolewa na serikali ya awamu hii ikiwa ni pamoja na ofisi za serikali kuhamia majumba ya serikali, mikutano kufanyika nyumba za serikali, kazi za ushauri kufanywa na taasisi za serikakali. Nionacho ni mapambano kati ya tabia za...
Cipriano Cassama, ambae alichaguliwa kuwa Rais wa muda (Interim) wa Guinnea-Bissau amejiuzulu wadhifa wake kama rais baada ya kukaa madarakani kwa siku moja tu (1 day at office).
Inaelezwa kuwa Cassama amestaafu kwasababu za kiusalama zaidi baada ya kuapishwa ndani ya siku moja.
"Rais wa muda...
Miongoni mwa mambo yanayowatia sana wasiwasi wananchi katika kipindi hiki ni Uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Ingawa Rais Magufuli umetoa uhakikikisho kwa Jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na haki, lakini maneno na vitendo vya viongozi...
Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake.
Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia.
Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa...
Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Paul Makonda, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua...
Tuingie field kwa kigezo kimoja tu "Urais ni taasisi" "Urais wa nchi ni jambo linalomuhusu kila mwananchi"
Hawa watu abadan wana ugomvi binafsi tena unafukuta kwelikweli. Kila mmoja hana amani na mwenzie. Facts ni hizi hapa.
1. Magufuli alipopata ridhaa ya kuongoza CCM kuwania urais wa JMT...
Rais wa Urusi Azungumza na rais Erdoğan kufuatia shambulizi dhidi ya jeshi la Uturuki na kusababisha maafa.
Urusi na Uturuki zavunja ukimya baada ya shambulizi lililowalenga wanajeshi wa Uturuki Idlib na kupelekea vifo vya askari 33 wa Uturuki.
Waziri wa Urusi wa mambo ya je Sergey Lavrov...
Imeripotiwa na luninga ya ITV kuwa baadhi ya wananchi waliopewa ardhi na Rais Magufuli kwa ajili ya kilimo cha mazao ya chakula wao wamepanda bangi.
Mkuu wa wilaya ya Chato na kamati yake ya ulinzi na usalama imewalazimu kuvamia mashamba hayo na kuwashurutisha wale waliolima bangi waing'oe na...
Husika na kichwa hapo juu,
Nafikiri Bunge limebaki na mkutano mmoja, na kama ndio hivyo naomba sheria ya mgombea binafsi ipelekwe Bungeni maana tumechoshwa na wananchi tunaowachagua kutuongoza kuhama vyama, wanatuharibia muda na kuturudisha nyuma.
Hivyo Mkuu wangu naomba tupeleke muswada wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.