Rais Magufuli anawaapisha leo hii Kamishna Jenerali wa Magereza, Kamishna Jenerali wa Zimamoto, Makatibu wakuu na Makatibu tawala wa mikoa saa 3:30 asubuhi.
A. MAKATIBU WAKUU
1. MARY GASPER MAKONDO - kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Kabla ya uteuzi huo Bi...
Tumeshudia Rais Magufuli akitukanwa kwa sababu zisizo za msingi kabisa,tena wakati mwingine kwa kufanya mambo ya msingi ambayo kama nchi tunayahitaji.Tumeshuaudia pia akibezwa na kudharauliwa.Lakini ni akina nani hasa wanahusika na vitendo hivi ambavyo si vya kiungwana kabisa, vyenye nia ovu ya...
Tulimsikia Rais Magufuli wakati anamtumbua waziri wa zamani wa mambo ya ndani, Mwigulu Nchemba, akitaja sababu kuu ni kutokana na mkataba wa Lugumi, ambao kwa madai yake ulikuwa na ufisadi mkubwa
Tumemsikia tena majuzi, wakati akimtumbua Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, akitaja sababu...
Ikiwa kama Paulo Makonda ametenda unyama uliotajwa na Serikali ya Marekani na ambao umepelekea kudhalilisha nchi yetu kuliko ilivyowahi kudhalilishwa tangu Mungu aumbe mbingu na ardhi, nina swali dogo sana la kuuliza.
Je alipokuwa anatenda uhalifu huo viongozi wakuu wa nchi hii akiwemo Rais...
Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness...
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.
Spika Ndugai amesema...
Hivi jamani hata aibu watu hawaoni? Mbunge anapigwa risasi hadharani tena mchana kweupe na hakuna chochote kinachofanyika kutoka serikalini zaidi ya kuendelea kumuumiza!
Tunaenda kwenye ibada kufanya nini! Tena mbaya zaidi na baadhi ya viongozi wa dini wanafumbia macho ukiukwaji huu mkubwa wa...
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambaye kimsingi ni moja ya viongozi wanaoheshimika sana duniani anaitangazia dunia kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda anadhulumu haki ya mtu kuishi ( Anaua watu) na dunia nzima inasambaza habari hizo.
Ukija hapa Tanzania utaambiwa na...
habarini za wakati huu.
Ushauri wangu kwa rais ni kumpa mbinu ambazo atazitumia kutatua changamoto za kifedha kama world bank(WB) watasitisha kutupa mkopo wa $500million tuliokuwa tunatarajia kuupata ili tukatatue changamoto katika sekta ya elimu nchini.
"japo kuna wanyapiaji nyuma ya pazia...
Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.
Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi.
Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi...
Tamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020.
Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu.
Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine.
Hakika mwaka huu kuna makubwa...
Duniani kila kitu kina pande mbili, wema na ubaya, mbele na nyuma bila kusahau juu na chini.
Siko hapa kuongelea mabaya ya Kangi Lugola maana atayaongelea mwingine. Mimi naongelea jambo moja tu ambalo ni miongoni mwa mazuri mengi aliyoyafanya katika kipindi kifupi cha uongozi wake.
Bodaboda...
Najua kuna watu ambao hawataelewa ninachotaka kusema ila wacha niseme tu.
Tangu wamau ya kwanza watu wamekuwa wakisubiri tu siku watakapopata kiongozi bora atakayeleta neema.Enzi za baba wa taifa watu hawakumtumia vizuri alipoondoka akaja Mzee ruksa akafanya yake naye watu hawakumtumia vizuri...
Naomba niweke wazi hapa nahitaji kueleweshwa juu ya hili suala. Katika hotuba yake Waziri wa mambo ya ndani alidokeza juu ya utawala ndani ya wizara ya Mambo ya ndani, akadai hana nyota na wala yeye si Amiri jeshi mkuu. (Hili nakubali asilimia mia). Hivyo ameonyesha wazi kuwa hatakuwa...
Rais Magufuli akiwa katika hafla ya kuwaapisha mawaziri na mabalozi Ikulu leo, amesema kwamba kuna mambo mengi yamezungumzwa na tuyapuuzie. Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia alikuja hapa, mwaka jana, kwahiyo wanatoa pesa wakijua sisi Tanzania tuna misimamo gani na tunafanya nini, hao wengine ni...
Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?
Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.
Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi?
Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?
kwanini wasijisomeshe kwa...
Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa.
Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto.
Maendeleo hayana vyama!
Hii ndio rekodi iliyoshtua wengi na haijavunjwa hadi leo
Ni pale Rais wa awamu ya pili mzee Ally Hassan Mwinyi alipoitisha kikao cha baraza la mawaziri pale Ikulu ya magogoni na kuwatangazia wajumbe wake kuvunjwa kwa baraza hilo.
Na walipotoka nje ya ukumbi mawaziri hao watumbuliwa walikuta...
Nimeshangazwa sana na kauli aliyoitoa Rais Magufuli wakati ajihutubia makada wenzie wa CCM kuwa wasibweteke kuwa watashinda kirahisi uchaguzi mkuu ujao, ambao unategemewa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu na akawaeleza makada hao kuwa wapinzani wana mbinu nyingi za wazi na za kificho, kwa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.