rais

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Kagame ni Shabiki wa Arsenal FC unadhani Rais Magufuli nje ya kuwa Mwana Simba SC huko Ulaya atakuwa ni Shabiki wa Timu gani?

    Bravo,Congrats ARSENAL for a well deserved and needed win -FA CUP. We,FANS and supporters kept Faith in you...going forward let's aim at much bigger things. WE CAN... !!! paulkagame
  2. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni lazima atetewe kwa nguvu zote dhidi ya udhalimu wowote

    Ninawasalimu ndugu zangu, Uzalendo ni kuipenda nchi yako kwa dhati na kuwa tayari hata kufa ukiitetea. Nchi na serikali ni pande mbili za shilingi ileile/moja. Serikali iliyopo madarakani ndio inaongoza, kusimamia na kuratibu shughuli zote za kiuchumi, utamaduni na kijamii za nchi husika. Rais...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Rais mfute Abubakari Kunenge Ukuu wa Mkoa. Mrudishe Makonda Tafadhali

    Karibia week ya pili au Tatu.hatujasikia TAMKO LOLOTE TOKA KWA MKUU WA MKOA. Hakuna watu waliobagazwa au garagazwa. Mkuu wa Mkoa gani Kapoa kama supu ya sangara isiyo na ndimu? Sisi wakazi wa Dar tulishajizoelea kubagazwa, kudhihakiwa na kugaragazwa kimwili na kiakili. Sasa mji umepoa utadhani...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Safari ya Rais Magufuli kwa barabara yawatumbua mameneja wa TANROADS Lindi na Pwani

    Waziri wa ujenzi mh Kamwele amewaondoa madarakani mameneja wa Tanroads wa mikoa ya Lindi na Pwani kufuatia kushindwa kuifanyia matengenezo barabara ya Dar hadi Mtwara. Maamuzi hayo ya mh Kamwelwe yanafuatia maagizo yaliyotolewa jana na Rais Magufuli ya kutaka hatua zichukuliwe kutikana na ubovu...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Rais anapovunja Katiba kwa kauli ya kibaguzi

    Watanzania wenzangu jana huko Rufiji kwa Mbunge Bwege, Rais Magufuli ametoa Kauli yenye ukakasi mkubwa. Baada ya wananchi kueleza shida yao ya kupata Stendi, Rais alisikika akiwaambia kuwa kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 aliwaomba wamchagulie mtu kutoka CCM, wao wakamchagua...
  6. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi kuitwa Rais Mteule kabla hajachaguliwa na wananchi ina maana gani?

    Wakati wa misa ya mazishi ya Rais mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin Mkapa mtangazaji alikuwa akimtaja mgombea urais kwa tiketi ya CCM Zanzibar, Hussein Mwinyi kuwa Rais Mteule wa Zanzibar. Hivi ukishateuliwa na CCM tayari unakuwa Rais? Kura za wananchi hazina maana? CCM kumbe hii nchi...
  7. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

    Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi. Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi. Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo...
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kwa matamshi aliyotoa akiwa Kilosa na Kilwa, Rais Magufuli anaweza kutoa kauli zitakazoiletea nchi matatizo makubwa wakati wa kampeni

    Kwa sasa sina shaka kabisa kuwa Rais Magufuli kila akizungumza mara nyingi ni lazima aache upepo mbaya wa kauli za maudhi kwenye jamii. Hilo sasa halina tena mjadala. Sasa kwa muda huu Rais Magufuli anazungumza hayo akiwa peke yake na hakuna majibizano ya dhahiri kutoka upande wa pili...
  9. polokwane

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Rais, tuombe sheria ya kodi ibadilishwe, majimbo yote ya upinzani Serikali ya CCM isikusanye kodi hata senti huko

    Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe...
  10. Troll JF

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji

    Rais Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani Luteni Kanali Sawala anachukua nafasi ya Juma Njwayo ambaye uteuzi wake umetenguliwa Rais Magufuli leo amesikiliza kero za Wananchi katika Wilaya hiyo akiwa njiani kutoka Mtwara ambapo...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awachana Kilwa kwa kumchagua mpinzani Bwege. Awataka kutofanya makosa tena uchaguzi ujao

    Wakuu, MAENDELEO HAYANA CHAMA Rais Magufuli akiwa safarini kutoka Mtwara, ameombwa na mwanakijiji Jimbo la Kilwa kwamba hawana Stendi ya Magari hivyo anaomba wajengewe. Rais Magufuli amejibu kwamba siku nyingine waangalie wawakilishi wanaowachagua ili waweze kufanya vile yeye anavyowaagiza...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Misri: Rais Abdel Fattah al-Sisi apitisha sheria inayozuia wanajeshi waliokuwa wanajeshi kugombea Urais

    Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi amepitisha sheria inayozuia wanajeshi & waliokuwa wanajeshi kugombea Urais, Ubunge au kujiunga vyama vya siasa bila kuomba ridhaa kutoka Baraza la Juu la Jeshi. Sheria hiyo inadaiwa kuwa inalenga kulinda urais wake dhidi ya waliokuwa wanajeshi. =======...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamrisha wananchi kwenda kujisaidia nyumbani kwa mkurugenzi na DC Kibiti

    Rais Magufuli leo akiwa njiani kutoka msibani, amesimama mara kadhaa kuwasalimu wananchi na kuwasikiliza. Ameshangazwa na watu walio chini yake kushindwa kujenga choo cha soko ilihali mapato ya halmashauri yao ni zaidi ya bilioni 1.8 Rais Magufuli ametoa agizo la choo husika kukamilika ndani ya...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kibiti: Rais Magufuli aamuru gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti ligeuzwe kuwa ambulance

    Rais Magufuli akiwa Ikwiriri wakati akitoka kwenye Mazishi ya Mzee Mkapa, baada ya kusikiliza kero za wanaikwiriri hususani suala zima la afya ameamuru gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti ligeuzwe kuwa ambulance mpaka hapo halmashauri hiyo itakapopata machungu na kutengeneza...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Somanga: Rais Magufuli asikitishwa na uzembe wa Wizara ya Ujenzi kutokarabati barabara Somanga. Azawadiwa jogoo

    Ilibidi niende Dar es Salaam kwa kutumia Ndege kutokea Mtwara lakini nimepita hii Barabara (Mtwara- DSM) makusudi nione hali yake, hii Barabara imeharibika, 90 KM zote zimeharibika. magari yenye uzito mkubwa yameharibu hii Barabara Barabara hii ya Mtwara - Lindi-Dar es Salaam imeharibika sana...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Hivi ndivyo TID alivyomlilia Rais Mstaafu Mkapa, inasikitisha sana

    Kama ambavyo Watanzania wengi tulivyoguswa na msiba huu mzito wa Kitaifa, wasanii wetu pia wameguswa.
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Public Relations: Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache (Mtwara Pekee) ili kuenzi matendo mema, hekima na busara za mzee Mkapa

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania; Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache tu (MTWARA PEKEE) ili kuweza kuenzi matendo mema, hekima...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

    Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa. Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania. Pia...
  19. dubu

    JamiiForums Tanzania Je, rais Magufuli kabadilishiwa Walinzi? Hizi sura sijawahi kuziona!

    Salaam wakuu, Kuna watendaji wa Ikulu tunezoea kuwaona kwenye macho yetu hasa hawa Walinzi. Kuna yule aliyesemwa kwa kuvaa nguo za CCM simuoni. Huyu Mlinzi wa rais Magufuli alikuwepo hata kabla ya rais kuwa rais, kipindi hicho alikuwa anafanya Kampeni za kuwa rais. Mbona sasa simuoni? Naombeni...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Rais Mkapa: Kwa nini Ubalozi wa UAE Tanzania haujashusha bendera nusu mlingoti?

    Serikali na Wizara ya Mambo ya Nchi za nje ulitoa mwongozo juu ya suala la kushusha nusu mlingoti bendera zote kwa Balozi zote za nie zilizopo hapa Tanzania kutokana na Msiba huy wa kitaifa tulio nao. Ubalozi wa Falme za Kiarabu hapa Tanzania bendera zake bado zio juu kabisa toka msiba wetu wa...
Back
Top Bottom