Sina shida na Wewe katika 'Utendaji' wako na unajitahidi japo 'Kibinadamu' bado kuna maeneo mengine hujaweza 'Kukamilisha' na pengine Watanzania tunaokuamini na hata wale waliokuwa hawakuamini nao kwa pamoja katika Uchaguzi huu Mkuu ujao wa tarehe 28 Mwezi Oktoba tukikupa tena 'ridhaa' zetu na...
Utawala wa nchi yetu na nchi zote za kidemokrasia ni utawala wa sheria. Na sheria hizo tunazitunga wenyewe wananchi kupitia wawakilishi wetu kwenye bunge letu. Sisi ndiyo tunaoamua nchi yetu tuiendeshe namna gani kupitia sheria tutakazozitunga au kuzibadilisha kupitia wawakilishi wetu (wabunge)...
Hayo ndiyo maneno ya Tundu Lissu leo. Amewaasa watanzania wawe makini kwani kwa lundo la kodi alilotoza Rais Magufuli basi upo uwezekano ikiwa atarudi madarakani akatoza mpaka kodi ya kujifungua.
"Tabora hakuna Bodaboda ambaye hajanyang'anywa hela na Polisi, naambiwa ukipark pikipiki 500...
Mgombea wa CCM John Magufuli amenukuliwa siku za hivi karibuni kwenye kampeni zake kuwa alipoapishwa kuwa Rais wa Tano wa Tanzania moja ya mambo aliyoyafanya ni kutotoka nje ya nchi na hasa kutokwenda nchi za Ulaya na Marekani.
Sababu za kutokwenda Ulaya na Marekani ni kuwa yeye ni mzalendo na...
Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora
=====
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA TUNDU LISSU leo Septemba 3, 2020, atazindua kampeni kwa Kanda ya Magharibi, uzinduzi ambao utafanyika katika viwanja...
Leo kishindo cha awamu ya tano kitakuwepo uwanja wa Sabasaba Kambarage ambapo mgombea wa CCM, Dkt. John Pombe Mafufuli atakuwa jukwaani kunadi sera zake.
Dkt. Magufuli: Miaka 5 haitoshi, nipimeni kwa miaka 10
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Ndugu zangu watanzania kama mnavyojuwa Ile taasisi nyeti ya Rais ina mambo mengi Sana ila Mimi Leo ninakuja kwenu kuwahusia Kuwa ukiacha Mh Rais wapo viongoz zaidi ya kumi Ambao hupaswi Acha waombea hawa no watu muhim Sana maana huwa hawastaafu ila wanakuwa kazini wakati wote wa maisha Yao...
Hii kauli kama Kichwa cha Habari kinavyosema eti hakuna kuchagua mbunge wa upinzani hata kama anafaa.
Maneno kama haya kuzungumzwa na kiongozi mwenye dola ambaye anawania muhula mwingine wa uongozi ni kuhujumu uchaguzi mkuu.
Maneno kama haya kuzungumziwa wananchi ni kama kuwatisha kwa...
Napendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli.
Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya kushinda yale yaliyokwishafanywa na Rais Magufuli na yale atakayofanya kupitia ilani ya CCM ya...
Hivi hizi awamu huwa ni miaka mingapi, maana kama ingekuwa ni kila baada ya miaka 5 nafikiri zingekuwa zimeshazidi Awamu 5.
Mwenye kufahamu hili anifumbue macho.
Rais aliyetolewa mamlakani wa Sudan Omar al-Bashir alifikishwa kortini siku ya Jumanne katika kesi yake iliyoanza kusikilizwa juu ya mapinduzi ya kijeshi ambayo yalipelekea kuchukua madaraka mnamo mwaka 1989.
Akiwa ni rais wa zamani wa jamhuri, Bashir alionekana katika hali nzuri wakati...
Kila anapopita, hujieleza. Tena ni mambo yaleyale aliyoyahubiri na kuyatajataja kwa miaka yake yote mitano madarakani: ujenzi wa reli, ujenzi wa bwawa la umeme, barabara, zahanati, madaraja na kufuta ada za shule za msingi hadi kidato cha nne. Hana jipya katika sera zake. Hana mipango mipya...
Wanabodi,
Kampuni ya Mafuta ya Total, imempongeza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na serikali yake ya awamu ya tano, kwa kujenga mazingira wezeshi ya biashara, na uwekezaji, yanayovutia wawekezaji wa kimataifa kuleta mitaji ya uwekezaji nchini na kuwawezesha Watanzania kupatiwa fursa za...
Leo Magufuli aliweka kituo kidogo Ikungi wakati anatoka Dodoma ambapo wananchi walisimama barabarani kumsubiri akiwa anaelekea kwenye mkutano wa kampeni Singida. Pamoja na ahadi nyingine pomoni, pia amemuahidi mgombea mwenzake anaetokea Singida nafasi ndogo ya kazi kwa madai kwamba hii...
Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa (hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais.
Sina shaka baada ya uchaguzi, Tundu Lissu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda...
Rais wa Guinea, Alpha Condé,amekubali hatua ya chama chake kumteua kugombae muhula tata wa tatu madarakani.
Bw. Condé, ambaye mwanazo alichaguliwa 2010,alishinikiza marekebisho ya katiba kupitia kura ya maoni iliyomwezesha kugombea muhula wa tatu.
Kura hiyo ya maoni ilisusiwa na upinzani...
Kwa tulioko hapa nchini 'Malawi ya Kaskazini' tunajua kuwa sasa Kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeshaanza japo nimegundua kuwa kumbe kwa mara ya Kwanza Uchaguzi Mkuu wa hapa 'Malawi ya Kaskazini' umefanana mno 'Kiratiba' na ule Uchaguzi Mkuu ambao nimesikia kuwa unaenda Kufanyika pia kwa 'Majirani'...
Huyu mgombea ambaye ndiye Rais amalizaye muda wake na anaomba tena watanzania wampe tena miaka mingine 5 ili aendeleze kipaumbele chake kwenye kununua ndege, kujenga madaraja, kujenga reli, kujenga viwanja vya ndege na yanayofanana na hayo.
Lakini hebu tujiulize ameyafanya hayo miaka yote 5...
Ama kweli Rias Magufuli ana kiburi.
Haiingii akilini anakuja na mipango ambayo kwa namna moja ama nyingine, kwa kiongozi wa nchi ni mipango ya upande mmoja. Alishindwa kuweka mzani wa alipotoka na vitu vyake vs watu aliowaongoza ili ajue afanye nini. Kushindwa kufanya hivyo ni tafsiri kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.