Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua kwa ufasaha historia ya nchi anayoingoza na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais wa JMT ndugu Tundu Lissu.
Ni wazi kuwa Bw. John Pombe Magufuli...
Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo.
Johanna Ng’eno anatuhumiwa kwa kutumia maneno ya matusi kumdhalilisha rais, kulingana na taarifa ya gazeti la Daily Nation inayonukuu ripoti...
Leo Rais Magufuli anaendelea na kampeni mkoani Mwanza na yuko wilaya ya Sengerema, fuatana nami kukujuza yatakayojiri.
======
MAGUFULI: Wananchi wa Sengerema nawashukuru kwa makaribisho mazuri niliyoyapata hapa leo, Sengerema mmefunika, asanteni sana. Nilipopata makaribisho pale barabarani...
Mgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini (Uvuvi), Elimu bora na kuimarisha Soko la Nafaka na Mazao mbalimbali
Prof. Lipumba amesema...
Mwaka 2020 hautasahaulika katika kumbukumbu za watu kwani ni mwaka ambao umebadilisha historia ya binadamu. Watu wamelazimika kuingia vitani kupambana na adui ambaye haonekani wala hashikiki. Adui ambaye kasi yake ya kusambaa ni kubwa kuliko ilivyozoeleka. Adui Covid-19 amebadilisha utaratibu...
Magufuli kauliza katenda dhambi gani asipewe tena miaka 5. kwanza dhambi kubwa sana ni RAMBIRAMBI za tetemeko, kivuko kwa wahusika ziligeuzwa kuwa mali ya serikali na ikafanya kazi ya serikali huku mfuko wa maafa upo na bajeti yake ilipitishwa.
Sasa majibu yake haya hapa:
1. Hajatoa ajira...
Kwa ufupi kabisa kwa wale CHADEMA pamoja na Tundu Lisu mnaodai Rais Magufuli amefifisha mahusiano na dunia nataka niwakumbushe tu Rais Magufuli amefungua balozi katika nchi nane duniani ikiwemo Israel.
Tunapokosoa jambo tuwe tunaweka na uhalisia wa ukosoaji siyo kukurupuka.
Hata Ethiopia...
Rais Paul Kagame wa Rwanda Jumapili amekanusha kwamba serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye sasa anashikiliwa nchini humo kwa makosa ya ugaidi na mengineyo.
Rusesabagina ni maarufu duniani kutokana na alivyoonyeshwa katika filamu ya Hotel Rwanda kama shujaa aliyesaidia kuokoa maisha...
Mpaka hivi leo huku Kampeni zikiwa hata bado tu hazijafikia Nusu yake (achilia mbali Robo yake) na kwa hali ambayo nimeanza Kuiona ni rasmi sasa kwamba kama Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli angekuwa anapenda Kusoma ama Mada au Michango ya wana JamiiForums hapa (tena inayomkosoa) zaidi nina uhakika...
Kutoka mwaka 1995. Baada ya mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM.
Akiwa anatoa hotuba ya kukubali matokeo, Rais mstaafu Kikwete aliongea maneno ambayo yalionekana kumgusa kwa furaha Rais mstaafu Nyerere hadi akanyanyuka na kuanza kupiga makofi huku akitabasamu.
Jionee mwenyewe jinsi mambo...
Hatari Wana JF,
Baada ya takribani siku kumi za amshaamsha ya mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu kuigongesha CCM na mgombea wake kwenye majukukwa ya kampeni, ni dhahiri kuwa Magufuli na CCM yake waweza kuwa chama cha upinzani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya taifa...
ASILIMIA 100 YA TABAKA LILILOJICHOKEAGA AWAMU ZOTE,AMBALO AWAMU YA TANO LINAOGOPWA NA WENYE PESA, WATAMPA KURA ZOTE RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.
Leo 14:45hrs 06/09/2020
Tabaka la watu wanyonge wasio na chochote cha kujisifu nacho mbele za watu ambalo awamu zote limejichokeaga tu sema safari hii...
Huko Magu, Dkt. Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi.
Dkt. Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta kisha akaendelea kuongea Kisukuma.
"Miaka mitano ijayo kila Mtanzania kupata bima ya afya "-Mgombea urais CCM, John Magufuli
Nipashe
Nina uhakika kwa hii Ahadi Kuu si tu kwamba Rais Magufuli tayari ana 'Kura' yangu bali pia ameshapata 'Kura' zote za Watanzania waliojiandikisha.
Rais Magufuli amewapongeza watoto wa baba wa taifa Makongoro na Madaraka kwa kuelewa demokrasia na kutolalamika baada ya uteuzi wa wagombea ubunge kufanywa.
Dkt. Magufuli amesema Makongoro na Madaraka hawaishi Mtwara wala Dsm bali wapo hapo hapo Butiama lakini wajumbe waliwapa kura 5 na 2, sasa...
Rais Magufuli amesema ziko namna nyingi za kupandisha mishahara ikiwemo kupandisha madaraja watumishi na kupunguza kodi ya wafanyakazi PAYE.
Hivyo serikali imeamua kutumia njia hii na watumishi wote wananeemeka.
Rais Magufuli amewataka wananchi kumpuuza mgombea urais anayesema watumishi wa umma...
Utawala wako Rais Magufuli Yangu 2015 Hadi Sasa unapofikia miwshoni kabisa, Tulioyashuhudia sio tu Ni maajabu, lakini ni Maangamizi ya Taifa letu kuanzia misingi yake mpaka kesho yake.
Kwa uchache tujikumbushe maajabu ambayo yameshatokea na hatajawai kuyashuhudia.
1. Watu Takribani 400...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.