rais

  1. Ombi kwa Mhe. Rais: Ikikupendeza mkoa wa Mtwara uongozwe na Mwanajeshi

    Kwanza nakupongeza kwa namna unavyojituma kuitumikia nchi kwa moyo wa dhati na nakupa pole kwa matusi unayolipwa na baadhi ya Watanzania. Hata Yesu alijitoa kwaajili ya wanadamu na hawakusita kumsulubisha kwa aibu, ndivyo tulivyo mzee wangu ila we fanya kazi, Mungu atakulipa. Nirudi kwenye...
  2. Q

    Kubabaika: Kaulizwa Rais wa EU, anajibu Balozi wa Tanzania

    Tanzania hatujawa na njia sahihi ya kukabiliana na tuhuma mbalimbali za kimataifa tunazotuhumiwa nazo ziwe za uongo au kweli. Hoja zilizojadiliwa juzi na Kamati ya kudumu ya Mambo ya nje ya bunge la EU chini ya Mwenyekiti wake David Mc Allister kuhusu Tanzania zilikuwa nzito kulikuwa hakuna...
  3. D

    Ninakubaliana na Rais hakuna vita ngumu kama ya uchumi, tushikamane

    Maisha ni uchumi na uhuru wa kweli ni uchumi. Wale waliosomea siasa Uchumi yaani political Economy wanajua uhusiano wa siasa na uchumi. Pia wanafahamu uhusiano wa binadamu juu ya uzalishaji. Kimsingi mapambano yoyote ya kisiasa msingi wake ni uchumi ni nani apate nini na kwa wakati gani. Taifa...
  4. J

    Waziri mkuu Majaliwa aagiza hospital ya Uhuru mjini Dodoma iwe imekamilika ndani ya siku 15 ili Rais Magufuli aifungue 09/12/2020

    Waziri mkuu ametembelea kwa ghafla hospital ya Uhuru iliyopo Chamwino mkoani Dodoma na hajaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wake. Akiwa amekasirishwa mh. Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa kuhakikisha ujenzi unakamilika ndani ya siku 15 ili mh. Rais Magufuli aje aifungue siku ya...
  5. U

    Rais Ramaphosa ameapa kuwachukulia hatua waliomtorosha Nabii Bushiri kutoka Afrika Kusini kwenda Malawi

    RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema kuwa kutoroka kwa Nabii wa Malawi na mke wake nchini humo ni jambo ambalo analifuatilia kwa karibu na ameahidi kuchukua hatua baada ya kupata taarifa za kina. Nabii Shepherd Bushiri na mke wake Mary, wanakabiliwa na mashtaka ya ulaghai na...
  6. U

    Rais Mteule wa Taifa la Marekani Joe Biden leo Ijumaa ametimiza umri wa Miaka 78 ya kuzaliwa kwake

    Happy birthday to him Happy anniversary to the family Kwa niaba ya Makada wote Wazalendo Nchini Tanzania Namtakia kila la kheri Rais Mteule anaposherehekea siku yake muhimu ya kuzaliwa Tunampongeza pia kwa ushindi wa kishindo
  7. Rais Mwinyi atembelea kwa kushtukiza hospitali ya Mnazi Mmoja. Atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo

    Rais Hussein Mwinyi afuata nyayo za John Pombe Magufuli, ameshtukiza ziara ya hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar na kukutana na madudu. Asema pesa ipo lakini huduma ni mbovu, aahidi kushughulikia wahusika. Ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya katika Wizara ya Afya, Dkt. Jamala Adam Taib...
  8. Tanzania na Rais Dkt. Magufuli ndio maarufu zaidi Duniani

    Wakuu, Haya ni maono binafsi kwa rejea za USA Senate, EU council, wanaharakati wa haki za binadamu, waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi 1. Kati ya nchi inayotajwa zaidi duniani kwa sasa na mataifa mbalimbali iwe kwa wema au ubaya ni TANZANIIA 1. Kati ya Marais wanayeongelewa na watu...
  9. J

    Nakubaliana na Rais Mwinyi kwamba Manaibu Waziri wanaongeza gharama za Serikali naamini Rais Magufuli atafanya hivyo pia!

    Kiukweli sehemu moja muhimu ya kupunguza matumizi ya Serikali ni kuwaondoa manaibu waziri kwani zaidi ya kujibu maswali bungeni huwa sioni kazi nyingine ya maana wanayofanya. Katika hili nakubaliana kabisa na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi la kutoteua manaibu Waziri katika baraza lake. Ni imani...
  10. J

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi anatangaza Baraza jipya la Mawaziri. Hakuna Manaibu Waziri

    Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi yupo mubashara Channel ten anatangaza baraza jipya la mawaziri. Baraza la mawaziri limetangazwa lakini Wizara mbili zimebaki wazi na uteuzi utafanywa baadae nazo ni Wizara ya afya na Wizara ya Viwanda na Biashara. Rais Mwinyi amesema kwa sasa hakutakuwa na...
  11. U

    Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na aliyekuwa baba mwenye nyumba aliyokuwa amepanga wakati akiishi mkoani Singida

    Baba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kumjuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi! Ikumbukwe kuwa Mhesh Kikwete pia ni Mwenyekiti Mstaafu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya...
  12. Rais Magufuli kutamka hadharani kuwa Prof. Kabudi na Lukuvi hawawezi kuwa miongoni ya Rais ajaye mwaka 2025; Je, amevunja Katiba ya nchi?

    Tulimsikia Rais Magufuli wakati akimwapisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisema kuwa Profesa Kabudi na William Lukuvi hawawezi kuwa miongoni ya wagombea wa Urais wa CCM kwa mwaka 2025, kwa kuwa tu umri wao hauwaruhusu, kwa kuwa watakuwa na umri mkubwa, kwa kuwa ameeleza kuwa Rais ajaye atakuwa...
  13. J

    Je, Freeman Mbowe akiteuliwa na Rais kuwa mbunge atakataa au mnawabania tu wabunge wa BAWACHA?

    Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya CHADEMA itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha? Ni hako kaswali tu makamanda. Maendeleo hayana vyama!
  14. Video: Mabeberu yatupa karata ya mfa maji dhidi ya Rais Magufuli

    Binafsi nimetazama video hii iliyo andaliwa na mabeberu kuchafua taswira ya Tanzania, niseme tu, hii ni karata ya mfa maji. Tazama mwenyewe.
  15. Rais Magufuli anapenda sana kuvaa kijeshi. Asalimiana na Viongozi wa kikosi cha Wanajeshi 238

    Naona Rais Magufuli anapenda sana kuvaa kijeshi. Sijui huwa anatamani angekuwa mwanajeshi au vipi..? Nyie mnaonaje....ni sawa Rais akitupia hayo manguo ya kijeshi au si sawa? Binafsi hainisumbui kuona rais kavaa hayo manguo. === IKULU, DAR: Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Tanzania, John...
  16. Je, Rais amevunja Katiba Kumuapisha PM na Mawaziri wengine kwa Pamoja?

    Imeandikwa na Malisa Godlisten Katiba ya nchi ibara ya 55 inataja mchakato wa uteuzi wa mawaziri na manaibu waziri. Ibara ya 55(1) inasema Rais atateua mawaziri baada ya kushauriana na Waziri mkuu. Tasfiri ya kingerereza limetumika neno "shall" kuonesha kwamba ni lazima Rais ashauriane na...
  17. Rais Magufuli kuvaa tai ya rangi NYEKUNDU na BLUU wakati wa kuapishwa na ZAMBARAU wakati wa kufungua bunge, kidiplomasia ina maana gani?

    Na Abbas Mwalimu | Jumamosi tarehe 14 Novemba, 2020 Uwanja wa Diplomasia tumepokea maswali mengi sana kuhusu tai alizovaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wakati wa kuapishwa kwake Alhamisi tarehe 5 Novemba, 2020 na siki ya kulifungua Bunge la 12 na Ijumaa...
  18. Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake wa usalama iwapo aishambulie Iran kijeshi

    Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake iwapo atoe amri ya kushambuliwa kwa vinu vya nyukilia vya Iran akiwa amebakiza miezi 2 aondoke madarakani. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa jarida la New York Times. Hata hivyo washauri wake wa usalama walimuonya kutofanya hivyo kwa sababu hatua hiyo...
  19. Aida Khenan: Chama kimeniteua nikashinde sio kushiriki uchaguzi

    Leo mbunge pekee wa kuchaguliwa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia jimbo la Nkasi Kaskazini amefanya mahojiano na mwandishi wa idhaa ya Kiswahili ya DW, Deo Makomba na mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo. MWANDISHI: Unajisikia vipi hasa kuwa mmoja wa wabunge...
  20. Gari mpya ya Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni inatufundisha nini?

    Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…