rais

  1. T

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

    Rais Magufuli ni mtu anayependa Kiswahili na huwa anapambana sana kukidumisha na kukikuza lakini cha ajabu anapokuwa na wageni wasiofahamu Kiswahili, ana hulka ya kuongea kiswa-nglish. Kiingereza ni lugha ya malkia na ilikuja na meli kwahiyo ni vizuri akaongea lugha ya taifa inayoeleweka sababu...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa janja hii ya CCM kutumia ugeni wa kitaifa kuomba kura NEC semeni jambo

    CCM kupitia mgombea wake wa urais Sasa wanatumia janja janja ziara na ugeni wa kitaifa kufungua miradi na kuomba kura. Ratiba ya Magufuli inasema ana pumziko kwa muda wa siku 10 na kuendelea baadaye. Lakini leo hii na muda huu anatumia nafasi yake Kama rais kufungua miradi na hapo hapo kuomba...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani asitisha majadala uliolenga kutafuta suluhu za kunusuru Uchumi wa nchi ambao imeathirika sana kutokana na CoronaVirus

    Rais Donald Trump wa Marekani amesimamisha ghafla majadiliano na chama cha Demokratic juu ya mpango wa kusaidia kupunguza athari za kiuchumi zinazotokana na ugonjwa wa COVID-19, na kuhamishia maamuzi yoyote kuhusu mpango huo baada ya uchaguzi wa Novemba 3. Trump ameichukuwa hatua hiyo licha ya...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Rais Chakwera waweka jiwe la msingi Kituo Kikuu cha mabasi Mbezi, Rais Magufuli ataka Wakandarasi walipe fidia ya kuchelewesha mradi

    Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam. === MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli kuwatishia wananchi kuwa hataleta maendeleo kwenye maeneo watakayochagua wapinzani, hivi hiyo siyo kuwabagua wananchi hao?

    Kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) inasema hivi nanukuu "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi itakayofuata mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu Tumekuwa tulimsikia mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli, Mara kwa mara katika kampeni zake...
  6. JamiiForums Tanzania USHAIRI: Sisi wetu ni Dkt. Magufuli, wengine msitutishe!

    SISI WETU NI MAGUFULI, WENGINE MSITUTISHE! Tanzania yapendeza Amani yetu yaangaza Uhuru wetu twajivunia Na tisa hamsini metimia Beberu we situtishe Utaipata kasheshe. Wapo wenye inda Nia yao kulivurunda Taifa letu imara Watuletee madhara Tunasema hatukubali Tutawafyekelea mbali. Twatimiza...
  7. JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye mapokezi ya Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera nchini Tanzania

  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amempigia simu na kumpa pole Zitto Kabwe

    Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu na kumpa pole Mhe. Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma.
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Musoma: Mkinipa kura za kutosha nikawa Rais, nitasimamia Elimu Bora na matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" MUSOMA- MARA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

    The most celebrated African president from our neighboring country is about to pay the state visit to the Africa's shining star JPM Chakwera opted to choose Tanzania as his very early state visit as to mining the extraordinary experience in leading his country in prosperity and Panasonic growth...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama Chetu akisoma hotuba zinakuwa na hoja, akitoa kichwani analeta taharuki kwa lugha inayodhaniwa kuwakera akina mama

    Nashauri wasaidizi wa Mwenyekiti ambaye pia ni Mgombea wetu katika kipindi hiki cha kampeni wamshauri hotuba zake azisome tu. Wapinzani wetu wanafuatilia kila neno litokalo kinywani mwake na wanatumia baadhi ya maneno, ambayo wakati mwingine ni ya utani, kutuchapia viboko huku mtaani. Bahati...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

    Ndugu wana JF, Kwa kipindi hiki nimeona nivyema tukajikumbusha historia ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, akifanya mahojiano na mwadhishi wa habari Godfrey Dilunga mwaka 2011. Mtakumbuka kuwa Tundu Lissu anaendelea kujizolea umaarufu kutokana na umahili...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Dkt. Ave Maria Semakafu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Oktoba, 2020 ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu. Nafasi hiyo itajazwa baadaye. PIA SOMA = > Siku ya Mwalimu Duniani: Wizara ya Elimu yafuta...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump katoka hospitali baada ya matibabu ya Covid, awataka wamarekani kutoiogopa na isitawale maisha yao

    Rais wa Marekani ambae siku ya Alhamisi iliyopita aligundulika kuwa na virusi vya Corona na kukimbizwa hospitali ya hadhi ya nyota 5 ya Walter Reed Medical center mjini Maryland, ametangaza kuwa leo ataondoka hospitalini hapo baada ya kupona ama kupata nafuu. Trump amewasihi wananchi wa...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Bi.Hamida: Tumchague prof. Lipumba awe Rais wa nchi hii na mimi niwe Makamu wa Rais wa nchi hii tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." MWANZA Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye ulemavu wapate...
  16. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

    Watakaowasilisha Hati zao za Utambulisho kwa Mamlaka hii leo ni 1. Bw. David William Concar, Uingereza 2. Bw. Muhammad Saleem, Pakistan 3. Bw. Didier Chassot, Uswisi ( Switzerland). Maneno ya Balozi wa Uingereza Mara baada ya kutoka kukabidhi hati ya Ubalozi balozi amesema anatumaini uchaguzi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania TFF mtuache tumalize uchaguzi mkuu wa rais

    TFF msije kusema hamukuambiwa, Mechi ya Simba na Yanga kuchezwa tarehe 18/10/2020 siku 9 kabla ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaofanyika tarehe 28/10/2020 hapa kuna jambo litazua jambo! Machungu yanayotokana na hizo Mechi za watani yana athari zinazodumu kwenye jamii kwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli anaomba kuongeza mkataba wa kazi na Tundu Lissu anaomba kazi kwa upya, ipo tofauti hapo

    Kiukweli kuomba kuongeza mkataba wa kazi ni tofauti na kuomba kazi kwa mara ya kwanza. Rais Magufuli ana sifa nyingi za ziada katika kinyang'anyiro cha urais ukilinganisha na washindani wake akina Lissu nk. Dr Magufuli anazungumza habari ya "nimefanya" wakati Tundu Lissu anazungumza habari ya...
  20. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Naibu Rais Rutto apigwa mabomu ya machozi akiwa Kanisani ili kuzuia kuchanganya dini na siasa

    Huko Kenya leo polisi walizingira Kanisa na kupiga mabomu ya machozi ili kuwazuia wafuasi wa Naibu Rais William Ruto kufanya siasa. Rutto aliyekuwa ndani ya Kanisa ameilaumu serikali yake mwenyewe kwa mashambulizi hayo lakini polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…