rais

  1. Wasomba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

    Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko. Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea Wananchi kukimbilia Porini. Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

    Wadau, Huu ni uzi wa swali. Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake. Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake...
  3. Troll JF

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

    Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni? Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia kweli na Kumpa kura tarehe 28?
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sijamsikia Mgombea Urais mwenye sera hizi

    Ningetamani sana kama ningemsikia mgombea uraisi mwenye Sera kama vile: . Kuweka wazi mshahara na marupurupu atakayojilipa . Kusema atapunguza mshahara na posho zake . Kupunguza ukubwa wa serikali . Kupunguza idadi kubwa ya wabunge ndani ya bunge hasa viti maalum maana hawapo huru kutoa maoni...
  5. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Iringa Mjini: Nchi hii inahitaji Rais mchumi na mwenye huruma na watanzania, mkinichagua kuwa nitafuta umasikini

    NCHI HII INAHITAJI RAIS MCHUMI NA MWENYE HURUMA NA WATANZANIA MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF.LIPUMBA" IRINGA MJINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
  6. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli hii Boko-Chasimba kuna dhulma ya wazi iliyonyamaziwa kama haipo tupia jicho lako haki itendeke

    Leo naandika tena kwa uchungu mkubwa nikiikumbuka Serikali yetu sikivu ambayo inajitahidi wakati huu wa kampeni kupita kila mahali kuomba kura kuwa ikumbuke dhulma iliyofanyika katika eneo la Chasimba inasikitisha mno. Eneo la Chasimba linaulikana historia yake ambapo lipo chini ya Kiwanda cha...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania BAKWATA Mkoani Mtwara yatangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM ili awe Rais kwa awamu nyingine

    BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Mtwara Mjini limetoa tamko na kuomba dua kwa Rais John Magufuli. Tamko walilotoa ni kumuunga mkono achaguliwe kuwa Rais kwa awamu nyingine ili aweze kuiongoza nchi. Tamko hilo limetolewa jana na Katibu wa Bakwata Wilaya ya Mtwara mjini...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kawe, Dar: Yaliyojiri mkutano wa Dkt. Magufuli katika viwanja vya Tanganyika Packers

    Jua linachomoza, madimbwi yamekauka kwa Upendo wa Mungu na watu kwa maelfu wanaelekea viwanja vya Kawe Tanganyika packers kumsindikiza kipenzi cha watanzania Dr Magufuli. Karibuni nyote. Rip Mwalimu Nyerere Up dates; DKT. BASHIRU: SIFA YA MAENDELEO YA WATU NI KUJITAWALA WENYEWE Katibu Mkuu...
  9. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 TUJADILI: Je, hotuba za mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu katika kampeni huwa anamtukana Mgombea Urais - CCM na Rais wa JMT ndugu Magufuli?

    Nimeanzisha mjadala huu baada ya tukio la jana huko Chato la msafara wa Mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu kushambuliwa kwa mawe na wafuasi wa CCM mara baada ya kumaliza kuzungumza na wananchi katika mkutano wake wa kampeni. Kabla ya tukio hilo la Jana tulimwona yule ajiitaye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mama Kijo Bisimba alaani kauli za Magufuli juu ya Mwanamke. Asema kauli zake hazimfai mtu aliyekalia kiti cha Ofisi ya Rais

    Mwanamama mtetezi wa siku nyingi wa haki za binadamu hususan za wanawake mama Kijo Bisimba, amelaani vikali kauli za Rais Magufuli anazozitoa mara kwa mara juu ya wanawake. Akihojiwa na redio moja ya nje, Mama Bisimba amesema, kauli hizo za Magufuli zisichukuliwe kimizaha mizaha kwa sababu hizo...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

    Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA). Uchaguzi 2020 - Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelea msikiti mkuu wa waislamu jijini DSM, aahidi kumualika mfalme wa Morocco kwenye uzinduzi

    Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm. Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua mfalme wa Morocco aje nchini kuuzindua msikiti huo kama alivyoahidi. Chanzo: Ikulu, Dsm. Maendeleo...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu siku kadhaa tangu alipogundulika kuwa na Covid 19

    Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa kufanya mkutano wa kwanza jimboni Florida siku kadhaa tangu alipogundulika na maambukizi ya Virusi vya Corona. Rais Trump aliwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la wazi huko Sanford; Florida bila ya...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amnesty International yazitaka UN, AU, SADC and EAC kuibana Tanzania, Rais na Waziri Mambo ya Ndani kuhakikisha Uchaguzi huru na wa haki

    12 October 2020, Index number: AFR 56/3051/2020. 1. EXECUTIVE SUMMARY Tanzania has been independent since 1961 with President John Magufuli as the country’s fifth president, elected into office in October 2015. On 28 October 2020, Tanzanians go to the polls in general elections. Under...
  15. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Interview ya Rais Kenyatta katika France24

    In an exclusive interview with FRANCE 24 while on an official visit to France, Kenya's President Uhuru Kenyatta discussed the main challenges facing him. Asked about the fight against terror, the Kenyan leader denied reports that the US military has sought authorisation to carry out drone...
  16. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba, Dodoma - Chemba: Mkinichagua Oktoba 28, kuwa Rais wa Nchi hii nitawekeza kwa watu, kisha watu wawekeze kwenye vitu

    MKINICHAGUA OKTOBA 28, KUWA RAIS WA NCHI HII NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA" DODOMA- CHEMBA Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa...
  17. Guru Guja

    JamiiForums Tanzania Huu Ugonja wangu ni kama alivyotangaza Rais. Niombeeni dugu zanguni

    Muficha uchi hazai. Mimi nina ugonja wa kupeda mwanamke mweupe. Huyo nikimuona halafu ana hipsi moyoni nafurahi sana. Hapa dukani pagu kaliakoo awo wanawake weupe wamekuwa wakinunua vitu kwa bei ya chini sana sababu nakuwa mnyoge kwawo. Mimi ni meusi, napeda niwowe muke mweupe na nipate watoto...
  18. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Namshauri Rais Magufuli wanafunzi kuanzia darasa la tatu mpaka la saba wawe wanalipwa tsh.1000/kila siku tasilimu, wapo kama milioni moja

    Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao. Pili, kuwaepusha na kurubuniwa na watu wenye nia mbaya. (wajomba bandia) Tatu kuwaepusha na vipigo na kuchomwa moto toka kwa walezi wenye roho...
  19. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof.Lipumba, Handeni: Mkinipa kura za kutosha Oktoba 28, na nikawa rais nitasimamia elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" HANDENI VIJIJINI Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila Mkumbo aibukia KKKT Kimara kwa Mchungaji Matsai, mchungaji amshukuru Rais Magufuli kwa flyover za Ubungo

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa. Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za...
Back
Top Bottom