Kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) inasema hivi nanukuu "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi itakayofuata mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu
Tumekuwa tulimsikia mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli, Mara kwa mara katika kampeni zake...
SISI WETU NI MAGUFULI, WENGINE MSITUTISHE!
Tanzania yapendeza
Amani yetu yaangaza
Uhuru wetu twajivunia
Na tisa hamsini metimia
Beberu we situtishe
Utaipata kasheshe.
Wapo wenye inda
Nia yao kulivurunda
Taifa letu imara
Watuletee madhara
Tunasema hatukubali
Tutawafyekelea mbali.
Twatimiza...
MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA"
MUSOMA- MARA
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya...
The most celebrated African president from our neighboring country is about to pay the state visit to the Africa's shining star JPM
Chakwera opted to choose Tanzania as his very early state visit as to mining the extraordinary experience in leading his country in prosperity and Panasonic growth...
Nashauri wasaidizi wa Mwenyekiti ambaye pia ni Mgombea wetu katika kipindi hiki cha kampeni wamshauri hotuba zake azisome tu. Wapinzani wetu wanafuatilia kila neno litokalo kinywani mwake na wanatumia baadhi ya maneno, ambayo wakati mwingine ni ya utani, kutuchapia viboko huku mtaani.
Bahati...
Ndugu wana JF,
Kwa kipindi hiki nimeona nivyema tukajikumbusha historia ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, akifanya mahojiano na mwadhishi wa habari Godfrey Dilunga mwaka 2011. Mtakumbuka kuwa Tundu Lissu anaendelea kujizolea umaarufu kutokana na umahili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Oktoba, 2020 ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu.
Nafasi hiyo itajazwa baadaye.
PIA SOMA
= > Siku ya Mwalimu Duniani: Wizara ya Elimu yafuta...
Rais wa Marekani ambae siku ya Alhamisi iliyopita aligundulika kuwa na virusi vya Corona na kukimbizwa hospitali ya hadhi ya nyota 5 ya Walter Reed Medical center mjini Maryland, ametangaza kuwa leo ataondoka hospitalini hapo baada ya kupona ama kupata nafuu.
Trump amewasihi wananchi wa...
TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA"
BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI
MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF."
MWANZA
Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye ulemavu wapate...
Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti.
Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
Watakaowasilisha Hati zao za Utambulisho kwa Mamlaka hii leo ni
1. Bw. David William Concar, Uingereza
2. Bw. Muhammad Saleem, Pakistan
3. Bw. Didier Chassot, Uswisi ( Switzerland).
Maneno ya Balozi wa Uingereza
Mara baada ya kutoka kukabidhi hati ya Ubalozi balozi amesema anatumaini uchaguzi...
TFF msije kusema hamukuambiwa, Mechi ya Simba na Yanga kuchezwa tarehe 18/10/2020 siku 9 kabla ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaofanyika tarehe 28/10/2020 hapa kuna jambo litazua jambo!
Machungu yanayotokana na hizo Mechi za watani yana athari zinazodumu kwenye jamii kwa...
Kiukweli kuomba kuongeza mkataba wa kazi ni tofauti na kuomba kazi kwa mara ya kwanza.
Rais Magufuli ana sifa nyingi za ziada katika kinyang'anyiro cha urais ukilinganisha na washindani wake akina Lissu nk.
Dr Magufuli anazungumza habari ya "nimefanya" wakati Tundu Lissu anazungumza habari ya...
Huko Kenya leo polisi walizingira Kanisa na kupiga mabomu ya machozi ili kuwazuia wafuasi wa Naibu Rais William Ruto kufanya siasa.
Rutto aliyekuwa ndani ya Kanisa ameilaumu serikali yake mwenyewe kwa mashambulizi hayo lakini polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba...
Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha kuwa kinamama wajawazito na watoto wachanga wanapata lishe bora itakayowasaidia watoto kujengeka vizuri katika viungo vya mwili, kinga ya mwili na ubongo, ili...
Mchungaji Mastai wa KKKT Kimara amesema siyo kila anayetaka kuwa kiongozi ana kipawa bali Mungu ameweka vipawa vya uongozi kwa wateule wachache.
Kwa mfano, Nelson Mandela (R.I.P) wa Afrika ya Kusini Mungu aliweka kipawa cha uongozi ndani yake na hapa Tanzania Mungu ameweka kipawa cha uongozi...
Na hapa ndipo sehemu pekee ambayo CCM yangu inanifanya niipende kwani inajua mno kufanya 'Utafiti' hasa ule wa 'Kujitathmini' yenyewe ili baadae ijue jinsi ya 'Kumkabili' na 'Kumshinda' Mpinzani wake mapema tu. Na sasa nimeamini kuwa Siasa ni 'Sayansi' na kujua 'Mvumo' wa Kipindi husika ilimradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.