rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afungua Msikiti wa Abubakar Bin Zuberi Chamwino, Dodoma

    Rais Magufuli amefungua msikiti wa kisasa unaoitwa Abubakar Bin Zuber Chamwino Dodoma leo. Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Vyombo vya Dola akiwemo CDF Mabeyo, IGP Sirro, Mkurugenzi wa TISS, Diwani na makamanda wa JKT waliojenga msikiti huo. Source: Channel Ten Maendeleo...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

    Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Waziri mkuu Chanzo: Mwananchi online ==== Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli jinsi Mamlaka ya Maji ya Mwanza (MWAUWASA) unavyokuhujumu usipate kura zetu

    Kwa siku za karibuni tangu uanze kampeni zako Mamlaka ya Mji wa Mwanza (Mwauwasa) umekuwa na huduma mbaya kwa wateja wengi wa maji katika jiji hili. Tangu Injinia Sanga atoke kwenye Mamlaka hii na kupewa wadhifa mwingine huduma zimekuwa mbaya sana. Nitoe mfano hai, tangu ijumaa mpaka leo...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Rais Magufuli kuamua kutoa ahadi ya kutuongezea mishahara wafanyakazi wa nchi hii wakati huu wa kampeni, haoni kuwa ndiyo anaharibu zaidi?

    Wananchi tumemuona ndani ya hii miaka hii 5 ya utawala wake kuwa ni mtawala ambaye hawasikilizi wananchi wake wanataka nini na analoamua yeye ndiyo huwa. Tujikumbushe maneno ambayo amewahi kuyatamka katika utawala wake wa kipindi hiki cha miaka 5. Ati sisi wananchi hatuna uwezo wa kumpangia la...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, wajua Mgombea atakayetangazwa kuwa Rais hawezi kuwekewa pingamizi Mahakamani?

    Habari wanaJF, Wakati tukielekea tarehe 28 Oktoba 2020 ambayo itakuwa siku ya kupiga kura kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani. Ni vyema ukafahamu yafuatayo: Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaondoa mamlaka ya Mahakama yoyote kuchunguza juu ya kuchaguliwa kwa...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Wananchi wa hapa Somanga nasikia mnachomewa moto nyavu zenu na mnanyanyaswa sana, sasa nichagueni Oktoba 28 nimalize huu unyanyasaji

    WANANCHI WA HAPA SOMANGA NASIKIA MNACHOMEWA MOTO NYAVU ZENU NA MNANYANYASWA SANA SASA NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NISIMAMIE HAKI ZA BINADAMU"PROF.LIPUMBA" KILWA- SOMANGA Uvunjifu na ukiukwaji wa Haki za binadamu ni tatizo kubwa nchini Tanzania. Hakuna chombo huru chenye nguvu cha kusimamia...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Chagua Dkt. Magufuli kazi ziendelee

    MAMBO YA JPM .... CHAGUA MAENDELEO, KAZI IENDELEE Na Emmanuel J. Shilatu Ni miaka 5 sasa tangu Dk. John Pombe Joseph Magufuli ale kiapo mnamo Novemba 5, 2015 cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeyaona haya yakitokea na kufanyika;- 1. Mapambano ya wazi wazi ya Serikali ya Rais...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

    Askofu Gamanywa amesema kuna watu wanamzushia kuwa yeye ni usalama wa taifa ila kiukweli yeye ni " usalama wa mbinguni" Anasema yeye huwa habwabwaji kwa sababu yuko well informed na ndio sababu anawataka wampigie kura Rais Magufuli kwa sababu ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Askofu Gamanywa...
  9. JamiiForums Tanzania For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

    Wanabodi, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, ni keshokutwa tuu, siku ya Jumatano ijayo, kwa mazingira ya the political dynamics za siasa za nchi yetu, hali halisi ya uwanja wetu wa siasa ulivyo, katiba yetu ilivyo, sheria yetu ya uchaguzi ilivyo, Tume yetu ya uchaguzi ilivyo, hali ya...
  10. JamiiForums Tanzania Je rais Magufuli, Mahakama na polisi ndio wamekushinda?

    Rais wangu kipenzi cha watanzania,najua kuwa unakwenda kushinda urais kwa kishindo kizito. Hii ni dalili kuwa watu wana imani kwako. Natolea mfano tu leo umezindua reli ya Arusha Dar ambayo ilikuwa imekufa kwa zaidi ya miaka 30. Kwa hiyo wewe kwa watu wa Arusha ni shujaa na jembe lao,maana sasa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Leo nitalala Karatu, inawezekana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu

    Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha. Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na kuonyesha uwezekano wa kujumuika na wakazi wa Karatu usiku mitaani na kuwahimiza wafanye biashara...
  12. JamiiForums Tanzania Ukisema: "Ili nilete Mradi wa maji hapa jimboni ni lazima Mnichagulie Mbunge kutoka chama changu." Hapo umewagawa Watanzania na hufai kuwa Rais wetu

    Kikatiba, ni haki ya mpiga kura kuchagua Mbunge au muwakilishi anayeona anafaa. Kanuni na maadili ya Uchaguzi yanakataza kutisha, kutoa rushwa au ahadi za vitu kwa upendeleo . Maji ni hitaji la lazima kwa mtu achilia mbali viumbe hai wengine. Fedha za miradi zinatokana na kodi inayolipwa na...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Liwale: Nitakuwa Rais msikivu na nitaunda serikali ya umoja wa kitaifa

    NITAKUWA RAIS MSIKIVU NA NITAUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA" LIWALE Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majeraha yanayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini. Tumefikia hapa...
  14. JamiiForums Tanzania "Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kupendelea jamii fulani kimaendeleo" LISSU

    "Nitahakikisha haki, uhuru na maendeleo yanamgusa mtu mmoja mmoja na jamii yote kwa ujumla wake. Nitakuwa Rais wa watanzania wote, nitaheshimu katiba ya Tanzania, utu wa watu, imani za watu wote na itikadi mbalimbali. Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kuwapendelea watu kimaendeleo kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ni Rais wa Watanzania wote au ni Rais wa waliompigia kura tu?

    Majuzi hapa Rais Magufuli alinukuliwa akiwaasa watu waukatae ubaguzi. Lakini kwa baadhi ya kauli zake, watu wanaweza kusema aanze yeye kwanza kuufanyia kazi huo ushauri wake maana mara kadhaa keshawahi kutoa kauli ambazo zilionekana kuwa ni za kibaguzi. Karibu miaka 3 ilopita, niliwahi kumsema...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli: Gambo sikumfukuza Ukuu wa Mkoa bali aliniomba akagombee Ubunge baada ya kuona Arusha inakwama

    Rais Magufuli amesema kuna watu wanadai anamchukia Mrisho Gambo na kwamba alimfukuza kazi ya mkuu wa mkoa wa Arusha lakini hiyo siyo kweli. Gambo alinifata akaniomba agombee ubunge ili aiokoe Arusha ambayo inaonekana kukwama, amesema Dr Magufuli. Ningekuwa namchukia ningempitisha kugombea...
  17. JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza kabisa baada ya kuapishwa kuwa Rais naanza kushughulikia Masuala haya ya Wanawake

    Nikiapishwa tu siku hiyo haraka narudi Ikulu naagiza wamlete Sanchoka aje kwa week moja tujadiline naye changamoto mbalimbali zinazohusu wanawake hasa vijana wa Tanzania. Nataka nipate week moja nzima tunajadili kwa kina na kupeana semina elekezi. Ni mmoja ya wanawake wenye maumbo mazuri sana...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Bunge lina kazi gani kama kila anapokwenda kwenye kampeni, Rais Magufuli ndiye anayeahidi kujenga miradi mbalimbali?

    Tunavyofahamu katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977. inaeleza wazi majukumu ya kila mhimili wa Dola, ikiwa Bunge ndilo lililopewa jukumu la kupanga bajeti na kupanga miradi hiyo ipelekwe wapi. Lakini nashangazwa mno na namna Katiba ya nchi inavyosiginwa siginwa, kwa Rais...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Nigeria Mohammad Buhari ameomba maridhiano

    Baada ya idadi ya viongozi wa dini wanaounga mkono maandamano Nigeria kuongezeka, Rais wa nchi hiyo ameomba maridhiano. ======== President Muhammadu Buhari has spoken up for the first time since the Lekki toll shooting of the #EndSARS protesters by security operatives on Tuesday. The...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tunaomba ufanye interview na media. Usikae tu baba, mataifa wanahitaji kukusikia

    Hili ni ombi langu kwa Rais John Joseph Pombe Magufuli, tunahitaji kusikia unaongea ma media iwe BBC, Aljazeera au Sauti ya Amerika au media za hapa ndani. Toka umeingia madarakani hatujasikia ukiongea nao ili utupe maono yako na ujibu maswali mbalimbali ambayo tunahitaji kujua. Ahsante kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…