rais

  1. JamiiForums Tanzania Ipo haja ya Hotuba ya Rais kabla ya kufunga mwaka 2020

    Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu? Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020. Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya. Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili; 1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli leo anamuapisha Kamishna wa Maadili Jaji Mwangesi

    Hafla hiyo itafanyika Ikulu , Chamwino jijini Dodoma saa 4 kamili asubuhi. Tukio litarushwa mubashara TBC, Channel ten na ITV. Updates; ====== Rais Magufuli ameingia ukumbini na zoezi la kiapo limeanza. Kiapo kimekamilipa na sasa Naibu waziri wa Utumishi mh Ndejembi anatoa salamu za wizara...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Jaji Sivangilwa Mwangesi kuwa Kamshina wa Maadili

    Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Kamishna wa Maadili. Mwangesi anakuwa kamishna baada ya aliyekuwa Kamishna wa Maadili, Harold Nsekela kufariki dunia. Uteuzi huu unaanza leo, Desemba 23 na Rais atamuapisha kesho Desemba 24...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli nisikilize kwa makini, Sitaki upoteze muda bure

    Kwa Mkono wa, Robert Heriel Heshima kwako, Mkuu wa nchi, Pole na hongera na Majukumu yako ya kila siku. Naomba uniruhusu nichukue muda wako kidogo kwa kusoma jumbe hii. Natumai hekima na busara yako hazitashindwa kuelewa nini nimekusudia kusema. Mara kwa mara nimekuwa nikikufuatilia katika...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Shime Watanzania tuupiganie Uhuru wetu unaoporwa. Tutajuta!

    Mwalimu Nyerere na wenzake walipambana na mkoloni siyo kwasababu walitaka nchi yetu ipate ama ijenge vitu la hasha. Mwalimu Nyerere na wenzake walipambana na mkoloni siyo kwasabb walitaka kuunda serikali itakayo watisha watu na kuwafanya wawe na "heshima" kwa watawala. Mwalimu Nyerere na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nimeamini Tanzania tuna utawala wa sheria, kule Uganda Rais Museveni amesema ataongea na Jaji Mkuu dhamana kwa waandamanaji ifutwe!

    Kiukweli nimeamini na nimekubali kuwa katika ulimwengu wa siasa Tanzania inafuata utawala wa sheria. Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema ataongea na Jaji mkuu wa nchi hiyo ili kufuta dhamana kwa washtakiwa wote waliotenda kosa la kuandamana bila kibali. Museveni amesisitiza kuwa kama Jaji...
  7. JamiiForums Tanzania CUF yazindua Kongamano la kudai Katiba mpya, yataka maoni ya wananchi kuheshimiwa

    "Tunakushauri Rais Magufuli kwamba mda wako wa kuongoza ukiisha wasije wakakudanganya ukaongeza mda wa kuwa madarakani wakati mda wako vipindi vyako vitakuwa vimekwisha".-Prof. Lipumba. #UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya #OfisiKuuYaChamaBuguruni. ------ Chama cha CUF jana...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mantiki ya kisheria DC Kihongosi amekosea, lakini kwa mantiki ya kiuwajibikaji yuko sahihi

    KWA MANTIKI YA KISHERIA DC KIHONGOSI AMEKOSEA, LAKINI KWA MANTIKI YA WAJIBIKAJI YUKO SAHIHI Na Elius Ndabila 0768239284 Jana na leo kuna mjadala mkubwa juu ya uhalali wa Mh DC wa Arusha Mh Kihongosi kuwatandika fimbo watu wanaotajwa kuwa ni wafanyabishara kwa kosa la kuiba viti vya shule...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje ni Mihimili mitatu wakati Rais ndiye huteua Majaji wote na ana uwezo wa kulivunja Bunge?

    Kwa kawaida huwa tunasema tunayo mihimili mitatu inayojitegemea yaani Serikali, Bunge na Mahakama. Ni ukweli pia kuwa mkuu wa serikali ni Rais, mkuu wa bunge ni Spika na mkuu wa mahakama ni Jaji mkuu. Ni ukweli pia kuwa Rais huteua Jaji mkuu na majaji wengine wote. Kadhalika Rais anaweza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vijana Ndani ya Nchi Wamemuangusha Rais Magufuli. Tupendekeze majina ya wana JF walio Diaspora!

    Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu. Napenda...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hakuvunja Katiba kuwateua Prof. Kabudi na Mpango kuwa Mawaziri kabla ya kumuapisha Waziri Mkuu. Zitto ndiye alifaulu kupotosha umma

    _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ TITLE: KATIBA HAIMLAZIMISHI RAIS KUSHAURIWA ANALYST: JOSEPH MAGATA Cell: +255 75 4710684 DATE: December 16, 2020 NEWSPAPER: RAIA MWEMA, pg. 19 _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ Tarehe 12/11/2020 Rais John Magufuli...
  12. JamiiForums Tanzania Sera ya Rais Mwinyi ya Uchumi wa Bahari " Blue Economy" ni alama ya ukombozi kwa wanyonge kiuchumi

    Salaam Wana JF. Wakati wa kipindi cha kampeni Rais wa sasa wa Zanzibar aliongelea kwa kina maono yake na mtazamo wake juu ya uchumi wa baharini yaani "blue Economy" bila shaka hii ilikuwa ni ahadi nzuri na sera yenye mantiki katika kukuza uchumi wa watu wa Zanzibar hasa wanyonge, kwa maana...
  13. JamiiForums Tanzania Daraja la Busisi kupewa jina la Rais Magufuli ili akumbukwe katika Utawala wake

    Mwanza. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema daraja la Kigongo- Busisi limepewa jina la Rais John Magufuli ili aendelee kukumbukwa milele kutokana kazi kubwa aliyoifanya kwenye utawala wake. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Desemba 18, 2020 alipotembelea na kukagua ujenzi wa daraja hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu hapa Rais 2025 ili tuvuke salama

    Nikuu kutoka maktaba: Dar es Salaam. Baadhi ya wananchi wamekuwa na maoni tofauti kuhusu namna sakata la wizi wa fedha kwenye akaunti ya Escrow linavyoshughulikiwa, huku wengine wakisema umefika wakati sasa nchi iongozwe na rais dikteta. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, walisema kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hali Ikiendelea hivi, Nitamuunga Mkono Rais Magufuli

    HALI IKIENDELEA HIVI, RASMI NITAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI. Kwa Mkono wa Robert Heriel Mimi ni moja ya aina za watu ambao wana misimamo isiyoyumba, wenye kupenda ukweli na kupenda haki na kuitenda. Nimejibainisha hivyo mara nyingi kama sio zote. Ni wale tusio na unafiki na tusio angalia uso wa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni amteua mwanaye kuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha Jeshi kinachomlinda

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume Lt Gen Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha jeshi SFC. Muhoozi, mwenye umri wa miaka 46, pia ni mshauri maalum war ais, nafasi ambayo aliteuliwa mwaka 2017. Uteuzi huo unafuatia mabadiliko ambayo rais Museveni amefanya...
  17. JamiiForums Tanzania Rais yuko sahihi kuwa tutilie mkazo tiba za asili

    Hoja ya JPM kuwa tutilie mkazo tiba zetu ni ya msingi sana. Dawa nyingi sana tunazotumia leo ni dawa zimetokana na mitishamba au asili yake ni miti shamba. Siku moja nilikuwa na kikohozi, jamaa yangu akaniambia ukichukua mizizi ya ya huo mmea na kutafuna unakata kikohozi. Kweli nilipotafuna...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hajaguswa na kifo cha 'Taycoon' Subhash Patel?

    Ni wazi tajiri huyu ameitekeleza kwa vitendo Sera ya Tanzania ya Viwanda. Ni kweli tajiri huyu alikuwa miongoni mwa walipa kodi wakubwa Inaelezwa kuwa ni mmoja wa wafadhili wa Chama Cha Mapinduzi Patel ametoa ajira kwa Watanzania wengi na vibarua wakutosha hili halina ubishi Lakini mbona...
  19. JamiiForums Tanzania Zanzibar yenye taswira ya Lee Kuan Yew, ipo tayari chini ya Utashi, maono na Falsafa za Rais Hussein Mwinyi

    Salaam Wana JF. Kama mzalendo wa taifa hili kuna jambo nimeliona la kipekee kutokana na utawala mpya wa rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Utashi, sera na falsafa zake zinazofanyika kwa sasa bila shaka zinaweza kuivusha Zanzibar katika daraja la uchumi imara na bora...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dodoma, Rais Mwinyi aapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza

    Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi. Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…