Updates :-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi, akichukua nafasi ya Dkt. Abdulhamid Yahya mzee aliestaafu. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu Jijini...
Viongoz wote wa Umma wanaapa kuwatumikia wananchi na siyo kumtumikia Mhe Rais.
Lakini viongozi wengi wa Umma wamejikita kumtumikia Mhe Rais kuliko wananchi.
Rais ni binadamu mwenye mapungufu yake, hajakamilika na hivyo taifa alipaswi kumtumikia au kutumika kwa ajili yake maana wanaotumika...
Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yaani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja, yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha...
Ukiangalia TV mathalan chanel Ten Rais Hussein Mwinyi yupo Live akipokea changamoto mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa sekta ya afya Zanzibar ,ushauri wangu kwa Rais Magufuli ni kwamba tukianza mwaka mpya wa 2021 na kwa vile shule kuanzia ngazi ya chekechea mpaka high lever zitakuwa...
Vice President-elect Kamala Harris and her husband, Doug Emhoff, received their first doses of Moderna's coronavirus vaccine on Tuesday, with the incoming vice president getting her shot on camera as part of efforts to build public trust in the inoculations.
Harris and Emhoff were administered...
Mwaka 1985 kwenye marekebisho ya katiba yetu ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit ya vipindi viwili vya miaka mitano kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, baadaye ilifuatiwa na nchi ya Senegal kufanya...
Salaam Wana JF,
Naanza andiko hili fupi kwa kumshukru Mungu kwa wema wake wote kuendelea kutupenda sisi Watanzania na kutujalia kheri za kila namna katika shughuli zetu za kila siku.
Baada ya Salaam hizo niangazie kusudi la barua hii fupi, Andiko hili kimaudhui ni kutambua Mchango wa kipekee...
Rais wa Zanzibar amesema Kuanzia sasa kiongozi atakayetuhumiwa kwa rushwa, atamsimamisha kazi kupisha uchunguzi na uchunguzi ukikamilika na kukutwa hana hatia, atarejeshwa kazini bila kupoteza stahiki zake
"Suala la maadili na usimamiaji wa haki za binadamu limepewa kipaumbele na serikali...
Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo.
'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka...
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewataka Watanzania kuzitumia mvua zinazoendelea kunyesha kwa kulima mazao ya biashara ili kuweza kuziuzia nchi zinazokabiliwa na janga la Corona, huku akimtaka mkandarasi wa daraja la Kigongo Busisi kuimaliza kazi hiyo ndani ya miaka...
Rais wa Marekani Donald Trump ameusaini muswada wa sheria wa dola bilioni 900, unaokusudia kutoa misaada kwa watu walioathiriwa na janga la virusi vya corona.
Kwa siku kadhaa rais Trump alikataa kutia saini muswada huo tangu ulipopitishwa wiki iliyopita na bunge akiutaja kuwa fedheha.
Kulikuwa...
In my opinion, must be a true reflection of the state of the nation and in extension its policies and aspirations. Unlike staged colourful speeches, chest-beating declarations and rehearsed public appearances.
Just the raw image of a leader(or any man/woman), at his element, in his official...
Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma.
Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na Serikalini.
Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar.
Maendeleo hayana vyama!
Wanabodi kabla sijajikita kwenye mada husika naomba niwaweke sawa kuwa upinzani hapa Bongoland umekufa sababu ya CCM kujirekeibisha na kufanya yale watanzania walikuwa wanayatarajia kwa muda mrefu hasa vita dhidi ya ufisadi na ubadhirifu.
Kila Mtanzania anafahamu jinsi ugonjwa wa Covid 19...
Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote.
Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye...
Mh Mpango mimi naombi moja ni bora ukubali jiuzulu au uendelee kusimamia kile mnakiamini kwamba pesa ipo na watu wameficha hivyo mnapambana kuzipata hizo pesa kwa ku impose new tax return na kufuwatilia madeni ya zamani nakuapia kuna madeni hayalipiki.
Mkuu bora lawama kuliko fedhea. Yani huku...
Ukijaribu kuona aina ya uongozi wa Rais Magufuli na hata anavyojinasibu kupitia kwa wapambe wake ni kwamba anaenenda kama Rais wa kwanza Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere.
Miongoni mwa Mambo aliyoanzisha Nyerere ni pamoja na Azimio la Arusha lililotaka watumishi wa umma kutenganisha utumishi wao...
Katika zawadi nzuri aliyotupatia Rais na Serikali ya muhula huu wa awamu ya Tano ni kuanzisha wizara inayosimamia TEHAMA. Uchumi wa dunia na wa nchi yetu unabebwa na TEHAMA kutokana na sababu zifuatazo:
1. Mawasiliano ya kibiashara, kimalipo, ukusanyaji mapato, maduhuli,matangazo ya kibiashara...
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye Alhamisi aliwasahemehe wanahabari wanne wa jarida la mtandaoni Iwacu, ambao walikua wanazuiliwa jela tangu Oktoba mwaka wa 2019.
Wanahabari hao Agnes Ndirubusa , Christine Kamikazi, Egide Harerimana na Terence Mpozenzi walihukumiwa na mahakama ya mwanzo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.