Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu?
Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020.
Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya.
Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili;
1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya...
Hafla hiyo itafanyika Ikulu , Chamwino jijini Dodoma saa 4 kamili asubuhi.
Tukio litarushwa mubashara TBC, Channel ten na ITV.
Updates;
======
Rais Magufuli ameingia ukumbini na zoezi la kiapo limeanza.
Kiapo kimekamilipa na sasa Naibu waziri wa Utumishi mh Ndejembi anatoa salamu za wizara...
Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Kamishna wa Maadili.
Mwangesi anakuwa kamishna baada ya aliyekuwa Kamishna wa Maadili, Harold Nsekela kufariki dunia.
Uteuzi huu unaanza leo, Desemba 23 na Rais atamuapisha kesho Desemba 24...
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Heshima kwako, Mkuu wa nchi, Pole na hongera na Majukumu yako ya kila siku. Naomba uniruhusu nichukue muda wako kidogo kwa kusoma jumbe hii. Natumai hekima na busara yako hazitashindwa kuelewa nini nimekusudia kusema.
Mara kwa mara nimekuwa nikikufuatilia katika...
Mwalimu Nyerere na wenzake walipambana na mkoloni siyo kwasababu walitaka nchi yetu ipate ama ijenge vitu la hasha.
Mwalimu Nyerere na wenzake walipambana na mkoloni siyo kwasabb walitaka kuunda serikali itakayo watisha watu na kuwafanya wawe na "heshima" kwa watawala.
Mwalimu Nyerere na...
Kiukweli nimeamini na nimekubali kuwa katika ulimwengu wa siasa Tanzania inafuata utawala wa sheria.
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema ataongea na Jaji mkuu wa nchi hiyo ili kufuta dhamana kwa washtakiwa wote waliotenda kosa la kuandamana bila kibali.
Museveni amesisitiza kuwa kama Jaji...
"Tunakushauri Rais Magufuli kwamba mda wako wa kuongoza ukiisha wasije wakakudanganya ukaongeza mda wa kuwa madarakani wakati mda wako vipindi vyako vitakuwa vimekwisha".-Prof. Lipumba.
#UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya
#OfisiKuuYaChamaBuguruni.
------
Chama cha CUF jana...
KWA MANTIKI YA KISHERIA DC KIHONGOSI AMEKOSEA, LAKINI KWA MANTIKI YA WAJIBIKAJI YUKO SAHIHI
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana na leo kuna mjadala mkubwa juu ya uhalali wa Mh DC wa Arusha Mh Kihongosi kuwatandika fimbo watu wanaotajwa kuwa ni wafanyabishara kwa kosa la kuiba viti vya shule...
Kwa kawaida huwa tunasema tunayo mihimili mitatu inayojitegemea yaani Serikali, Bunge na Mahakama.
Ni ukweli pia kuwa mkuu wa serikali ni Rais, mkuu wa bunge ni Spika na mkuu wa mahakama ni Jaji mkuu.
Ni ukweli pia kuwa Rais huteua Jaji mkuu na majaji wengine wote.
Kadhalika Rais anaweza...
Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu.
Napenda...
Salaam Wana JF.
Wakati wa kipindi cha kampeni Rais wa sasa wa Zanzibar aliongelea kwa kina maono yake na mtazamo wake juu ya uchumi wa baharini yaani "blue Economy" bila shaka hii ilikuwa ni ahadi nzuri na sera yenye mantiki katika kukuza uchumi wa watu wa Zanzibar hasa wanyonge, kwa maana...
Mwanza. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema daraja la Kigongo- Busisi limepewa jina la Rais John Magufuli ili aendelee kukumbukwa milele kutokana kazi kubwa aliyoifanya kwenye utawala wake.
Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Desemba 18, 2020 alipotembelea na kukagua ujenzi wa daraja hilo...
Nikuu kutoka maktaba: Dar es Salaam. Baadhi ya wananchi wamekuwa na maoni tofauti kuhusu namna sakata la wizi wa fedha kwenye akaunti ya Escrow linavyoshughulikiwa, huku wengine wakisema umefika wakati sasa nchi iongozwe na rais dikteta.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, walisema kuwa...
HALI IKIENDELEA HIVI, RASMI NITAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI.
Kwa Mkono wa Robert Heriel
Mimi ni moja ya aina za watu ambao wana misimamo isiyoyumba, wenye kupenda ukweli na kupenda haki na kuitenda. Nimejibainisha hivyo mara nyingi kama sio zote. Ni wale tusio na unafiki na tusio angalia uso wa...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume Lt Gen Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha jeshi SFC.
Muhoozi, mwenye umri wa miaka 46, pia ni mshauri maalum war ais, nafasi ambayo aliteuliwa mwaka 2017.
Uteuzi huo unafuatia mabadiliko ambayo rais Museveni amefanya...
Hoja ya JPM kuwa tutilie mkazo tiba zetu ni ya msingi sana. Dawa nyingi sana tunazotumia leo ni dawa zimetokana na mitishamba au asili yake ni miti shamba.
Siku moja nilikuwa na kikohozi, jamaa yangu akaniambia ukichukua mizizi ya ya huo mmea na kutafuna unakata kikohozi. Kweli nilipotafuna...
Ni wazi tajiri huyu ameitekeleza kwa vitendo Sera ya Tanzania ya Viwanda.
Ni kweli tajiri huyu alikuwa miongoni mwa walipa kodi wakubwa
Inaelezwa kuwa ni mmoja wa wafadhili wa Chama Cha Mapinduzi
Patel ametoa ajira kwa Watanzania wengi na vibarua wakutosha hili halina ubishi
Lakini mbona...
Salaam Wana JF.
Kama mzalendo wa taifa hili kuna jambo nimeliona la kipekee kutokana na utawala mpya wa rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Utashi, sera na falsafa zake zinazofanyika kwa sasa bila shaka zinaweza kuivusha Zanzibar katika daraja la uchumi imara na bora...
Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.