rais

  1. JamiiForums Tanzania JamiiForums ni bidhaa yetu, kwanini Rais haitumii?

    JamiiForums ni bidhaa ya Kitanzania iliyoundwa na watanzania kwa ajili ya watanzania. Rais wetu amekuwa akisisitiza sana Raia wetu kutumia vitu vyetu ili kukuza uchumi wetu lakini naona yeye ana account Twitter, Facebook nk lakini sioni akiwa na account yake JamiiForums ambao ni mtandao wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Membe: Sijaumbwa kuwa Rais wala sina tamaa ya Urais, mimi sitaki nionekane kibwengo

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amejaribu kwa wakati kugombea Urais na sasa wakati hauko upande wake tena hivyo anawatia moyo vijana kugombea. Membe amesema yeye hana tamaa na wala hajazaliwa ili awe Rais ndio maana anabakia kuwa mshauri. Ni fisi tu ndiye mwenye...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere kuvalia Shati la CCM katika Msiba wa Dada yako Rosemary wakati Makamu wa Rais tu hakuvalia hivyo umejifunza nini?

    Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani? Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba...
  4. JamiiForums Tanzania I have dream: Ipo siku moja nami nitachat na Rais Magufuli kwenye simu

    Nasema ipo siku moja tu, Na imeisha hiyo ikienda imeenda ikirudi pancha Niwatakie jumapili njema🤦🤪🏃
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tumbua viongozi wanaokudhalilisha

    Kudhalilisha mamlaka ya uteuzi ni kosa kubwa sana. Unakuwa na mkuu wa wilaya ambae anajua fika anamamlaka kisheria ya kukamata mtu akifanya kosa ndani ya wilaya yake. Sheria inatamka wazi anatakiwa akikamata mtu amfikishe polisi kisha mahakamani na sheria ifuate mkondo. Anakamata watu...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Rais tunaomba uingilie kati kuhamishwa kimizengwe kwa Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa ndani Manispaa ya Ilala

    Katika Manispaa ambazo zilikumbwa na ubadhilifu mkubwa wa pesa za umma na kukosekana kwa systematic audit Manispaa ya Ilala iliongoza kwa kipinding kwa zaidi ya miaka kumi. Hiii ilitokana na kuwa na mkaguzi wa ndani ambaye hakuweza kuifanya kazi yake kwa weledi. Lakini mnamo mwaka jana 2020...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt.H.Mwinyi kumwapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu MPYA wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi ni tarehe 02-01-2021

    Updates :- RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi, akichukua nafasi ya Dkt. Abdulhamid Yahya mzee aliestaafu. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu Jijini...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kumtumikia Rais haya hapa

    Viongoz wote wa Umma wanaapa kuwatumikia wananchi na siyo kumtumikia Mhe Rais. Lakini viongozi wengi wa Umma wamejikita kumtumikia Mhe Rais kuliko wananchi. Rais ni binadamu mwenye mapungufu yake, hajakamilika na hivyo taifa alipaswi kumtumikia au kutumika kwa ajili yake maana wanaotumika...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wanaongea kwa uhuru sana na Rais wao mpaka Raha. Tanzania bara mnakwama wapi?

    Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yaani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja, yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar anaongea na watumishi na wadau wa kada ya Afya , JPM ongea na sekta ya elimu nchini.

    Ukiangalia TV mathalan chanel Ten Rais Hussein Mwinyi yupo Live akipokea changamoto mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa sekta ya afya Zanzibar ,ushauri wangu kwa Rais Magufuli ni kwamba tukianza mwaka mpya wa 2021 na kwa vile shule kuanzia ngazi ya chekechea mpaka high lever zitakuwa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Makamo wa Rais Mteule wa Marekani Kamala Harris apewa chanjo dhidi Coronavirus

    Vice President-elect Kamala Harris and her husband, Doug Emhoff, received their first doses of Moderna's coronavirus vaccine on Tuesday, with the incoming vice president getting her shot on camera as part of efforts to build public trust in the inoculations. Harris and Emhoff were administered...
  12. JamiiForums Tanzania Mwaka 1985, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit kwa Rais

    Mwaka 1985 kwenye marekebisho ya katiba yetu ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit ya vipindi viwili vya miaka mitano kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, baadaye ilifuatiwa na nchi ya Senegal kufanya...
  13. JamiiForums Tanzania Barua" fupi" kwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli

    Salaam Wana JF, Naanza andiko hili fupi kwa kumshukru Mungu kwa wema wake wote kuendelea kutupenda sisi Watanzania na kutujalia kheri za kila namna katika shughuli zetu za kila siku. Baada ya Salaam hizo niangazie kusudi la barua hii fupi, Andiko hili kimaudhui ni kutambua Mchango wa kipekee...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar kuwasimamisha kazi watakaotuhumiwa kwa rushwa ili kupisha uchunguzi

    Rais wa Zanzibar amesema Kuanzia sasa kiongozi atakayetuhumiwa kwa rushwa, atamsimamisha kazi kupisha uchunguzi na uchunguzi ukikamilika na kukutwa hana hatia, atarejeshwa kazini bila kupoteza stahiki zake "Suala la maadili na usimamiaji wa haki za binadamu limepewa kipaumbele na serikali...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awataka TRA kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo

    Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo. 'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza daraja la Busisi limalizike kwa miaka 3 na sio 4. Awataka Wananchi kuongeza kulima

    RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewataka Watanzania kuzitumia mvua zinazoendelea kunyesha kwa kulima mazao ya biashara ili kuweza kuziuzia nchi zinazokabiliwa na janga la Corona, huku akimtaka mkandarasi wa daraja la Kigongo Busisi kuimaliza kazi hiyo ndani ya miaka...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Trump atia saini muswada wa misaada ya COVID-19

    Rais wa Marekani Donald Trump ameusaini muswada wa sheria wa dola bilioni 900, unaokusudia kutoa misaada kwa watu walioathiriwa na janga la virusi vya corona. Kwa siku kadhaa rais Trump alikataa kutia saini muswada huo tangu ulipopitishwa wiki iliyopita na bunge akiutaja kuwa fedheha. Kulikuwa...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania State of the highest office; The Office of The President

    In my opinion, must be a true reflection of the state of the nation and in extension its policies and aspirations. Unlike staged colourful speeches, chest-beating declarations and rehearsed public appearances. Just the raw image of a leader(or any man/woman), at his element, in his official...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ubaya wa mfumo wa chama kimoja, angalia Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi anavyoibua ufisadi kila kona

    Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma. Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na Serikalini. Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar. Maendeleo hayana vyama!
  20. U

    JamiiForums Tanzania Show ya Diamond Platnumz yajaza watu 100,000 Sudan

    Hakika huyu kiumbe kashindikana. Hii ni zaidi ya ile ya kigoma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…