Mambo yanazidi kuwa kizazi zaidi, ngoma inogile, bandari yetu ya Kisumu inazidi kuwasha moto na kukaa mkao wa kula...
Mwanza na Kanda ziwa Tanzania ni soko kubwa sana ukilitia mfukoni, tutie kwapani Burundi, Rwanda na Uganda.....
================================...
Mhe Rais wangu, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kazi iendelee!
Najua Mhe Rais pengine utasema huu ni ushauri wa mitandaoni na huwezi kufanyia kazi maoni ya mitandaoni,lakini haya ndio majukwaa huru kwa 100% yanaweza kukupa ushauri mzuri kuliko wale wanaokutazazma ana...
Kulikuwana ajira 5000 ambazo tulizoaahidiwa na Hayati Magufuli aliyekuwa Rais wetu mpendwa muda ukayoyoma na zikapotea bila majibu ya kueleweka mara wamesharipoti in PM voice bungeni nayo ikapita.
Kipenzi chetu Mungu akamchukua kazi ya Mungu haina makosa (RIP Rais Magufuli)
Tukaja mama...
Naomba ufafanuzi kwa wataalamu wa chunguzi.
Hii ndio ile report ya January hadi March aliyoagiza Rais Samia au PM Majaliwa ameenda kivyake?
Nasubiri ufafanuzi.
Kwa wakulima wa mahindi na mpunga, tunaelewa uharibifu wa nyani na tumbili na ndege. Huwa tunaanza kuweka matambala na kichwa cha bandia ili wanyama hawa waamini huyo ni mlinzi.
Wanyama polepole huanza kuzoea na kugundua kwamba hayo ni matambala na hakuna kichwa, ni chungu cheusi. Hapo sasa...
Kwa kuanzia hili ni muhimu na lenye nia njema. Tumetoka kwenye udikteta uliokubuhu na hivyo kuna mwanya wa kufanya reconcilliantion. Push your agenda to meet her.
Na wala hamuendi kujikomba kwake, kujipendekeza, ni kuona kama kunaweza kuwa na mwanzo mpya.
Sasa ni mara ya Pili au ya Tatu hivi naona Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ' Safari ' zake nyingi ( hasa za Ziara za Mikutano na hata nyinginezo ) anapenda mno ' Kuwakilishwa ' na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Hivyo basi nami GENTAMYCINE nauliza je, na Yeye Rais wa Zanzibar...
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe amesema Chadema ina imani na mwenendo wa Rais Samia.
Hata hivyo Mbowe amemshauri Rais Samia kutoruhusu watu wachache kulichezea bunge na mahakama kwani michezo yao hatari yake ni kubwa sana kwa ustawi wa taifa.
Source ITV habari!
Makamu wa Rais na Waziri mkuu mstaafu mzee Sinde Warioba amesema mzee Mwinyi alipoingia madarakani kama Rais mwaka 1985 na yeye kuwa msaidizi wake walikuta nchi haina kabisa akiba ya fedha za kigeni.
Warioba amesema hii ilitokana na ukweli kwamba nchi ilikuwa imetoka kwenye vita ya Kagera pia...
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh Freeman Mbowe amesema yeye hajipendekezi kwa Rais wa JMT Mh. Samia bali anachotaka ni kuona HAKI inatamalaki nchini na wananchi wanakuwa na furaha.
Mbowe amesema hana sababu ya kujipendekeza kwa sababu CCM inatawala kwa miaka 60 sasa na viongozi wake ni wale wale...
Jacob Zuma alisema NAPINGA makosa yote 18 ya ulaghai, ufisadi, ulaghai, ukwepaji wa kodi na utakatishaji fedha haramu.
Mashtaka hayo yanahusiana na matukio ya zaidi ya miongo miwili - katika siku za mwanzo za demokrasia ya Afrika Kusini - pamoja na mpango mkubwa wa silaha wenye utata.
Bwana...
Mh Rais, mama yetu mpendwa Samia damu ya mtu haipotei bure tunaomba uunde tume ichunguze whereabouts za madhila ya hawa watu Kiafrika na kimila itatufariji hata tukizika mifupa ya hawa watu unless tuambiwe Tanzania kulitokea aliens abductions na ufo kipindi cha mwendazake.
Mama kilio cha...
Naomba kujua Katiba inasema vp hapa? Maana kama Rais wa Jamhuri hawezi kwenda, mbona Makamu wa Rais asimuwakilishe? Je Waziri wa Ulinzi na Waziri wa Mambo ya nje hawawezi kumuwakilisha Rais wa jamhuri wa Muungano kama Rais na Makamu wa Rais hawawezi?
Tusikae kimya tukiona katiba inasiginwa kwa...
Tunavutia wawekezaji lakini njia za kuwekeza na Sheria za uwekezaji haziko Ikulu.
Tunazo Wizara na ofisi zinazohusika. Kwa kuwa marais wetu wameamua kuwa ni waalikaji wa wawekezaji, nawaona Mawaziri na wahusika wengine wakikaa pembeni na kufanya kazi za sekretari, kukopi kumbukumbu za mikutano...
Makamu wa Rais wa Mpito Nchini Mali, Kanali Assimi Goita amesema amechukua madaraka baada ya Rais wa Mpito na Waziri Mkuu kushindwa kumshirikisha katika uundaji wa Serikali.
Goita ambaye aliongoza Mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea Agosti 2020 amesema alielekeza kushikiliwa Viongozi hao baada ya...
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi amemteua Dkt. Saleh Y. Mneno kuwa Mkurugenzi wa ZBC. Nasriya M. Nassor ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Utumishi na Uendeshaji.
Khamis Siasa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Sera na Utafiti. Shaib I. Moh'd ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa...
Awamu iliyopita ilikuwa ngumu kiutawala na ilihitaji ujasiri kusimama na kubaki kwenye nafasi ya juu ya uteuzi. Dr. Anna Makakala Ni mmoja wa wanawake waliovumilia nakupambana kwa miaka mitano ya awamu hiyo bila kutumbuliwa.
Kila ukiangalia picha za awamo ya tano utabaini alipokuwa Rais na huyu...
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amewaomba wakuu wa idara na watendaji wa Serikali mkoani humo kumuazima busara akidai za kwake pekee hazitotosha.
Chalamila ametoa ombi hilo leo Jumatatu Mei 24, 2021 wakati akizungumza na watendaji, wafanyabiashara, wakuu wa idara, viongozi wa dini na...
Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums
Official Portrait ya mkuu wa nchi/serikali sio lazima iwe ya rangi nyekundu. Watanzania acheni kukariri.
==========
==========
Mama yetu anaweza kwenda na Hijab Nyekundu kutazama mechi ya Simba na Yanga? Ni nani alimshauri Rais wetu kipenzi mama Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.