rais

  1. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

    TUliwaambia huko nyuma, huyu Chalamila ni hafai
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge, Job Ndugai anamuomba Rais aitishe Kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Alhamis, bungeni Dodoma, amemwomba Rais wa Tanzania, Suluhu Samia kuitisha Kikao Maalum cha Wanaume pekee ili kuwawezesha kujadilia masuala mbalimbali yanayowahusu. “tunaomba Rais aite mkutano wa wanaume tu.” Nini Maoni yako?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Napingana na hoja ya wapinzani kuonana na Rais, inafifisha mapambano dhidi ya udhalimu

    Wapinzani kukutana na Rais nikubariki adhabu inayotolewa na watawala dhidi wa wananchi. Naaamini wapinzani wanapofanya siasa bila kuweka mashirikiano na utawala uliopo wanakuwa na nguvu kubwa yakuikosoa serikali na kuwasemea wananchi kuliko kwenda kupeana mikono kusiko kuwa na tija kwa Taifa...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tunaomba Rais aitishe kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaka kuanzishwa kwa dawati la wanaume ambalo litakuwa linashughulikia changamoto wanazokumbana nazo wanaume. Amesema kwa sasa mkazo umekuwa zaidi kwa wanawake, watu wakidhani wanaume wapo salama, jambo ambalo si sahihi. "Tutamuomba Mhe.Rais siku nyingine aite...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia; Urais wa nchi ni mambo makubwa

    Habari wana JF, Binafsi nafurahia uongozi wako Mh Rais Samia, lakini napenda kutoa mtazamo tofauti ili kuboresha kwa kuwa bado una muda. Rais wangu, asikudanganye mtu, Uongozi wa Nchi ni mambo makubwa, ni juu ya hatma ya kesho, sio leo tu, ni juu ya leo na vizazi vijavyo. Nchi hii bado ni...
  6. Erick Kalemela

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

    Amteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
  7. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kijasusi tunajifunza nini kuchapwa kofi kwa Rais wa Ufaransa?

    Tukio la kushambuliwa kwa makofi Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron linatupeleka mbele na kulazimika kujifunza mambo machache anuawi katika uwanda wa Ujasusi ulimwenguni. Nimeliangalia katika pande nyingi na sasa ninaweza kulichambua kwa sehemu fulani ili kusherehesha na kufunza walinda viongozi...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia amjibu Mbunge aliyehoji kuhusu Uwanja wa Ndege Msalato. Asema Rais kashasema utajengwa

    Katika kipindi cha maswali na majibu, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, amesema Naibu Waziri hawezi kusema kitu tofauti na alichozungumza Rais. Amesema hayo baada ya Mbunge Kunti Majala kuhoji ni lini Serikali itajenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato akisema haupo kwenye Bajeti...
  9. Geza Ulole

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Yoweri Museveni names new Vice President in reshuffled cabinet

    Uganda President Yoweri Museveni. PHOTO | AFP Summary The new cabinet also includes Ms Robinah Nabbanja as Prime Minister. Also in the cabinet is former NTV-Uganda Editor Agnes Nandutu, who has been named Minister in charge of Karamoja region. By AGGREY MUTAMBO WEDNESDAY JUNE 09 2021 Ugandan...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Waziri wa Afya apewa likizo maalum na Rais Ramaphosa kufuatia tuhuma za ufisadi

    Waziri wa Afya, Dkt Zweli Mkhize amepewa likizo maalum na Rais Cyril Ramaphosa kufuatia tuhuma za ufisadi, ikidaiwa wasaidizi wake wawili wamefanya ubadhirifu wa zaidi ya Dola za Marekani Milioni 6 ambazo ni Fedha za Umma kwa ajili ya COVID19. Kumekuwa na malalamiko kuwa maelfu ya Mikataba...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa Kisheria juu Mtumishi wa Umma kukata rufaa kwa Rais

    Leo mheshimiwa rais Samia amesikika akisema kuwa hataki kuona rufaa ya mtumishi wa umma ikiletwa kwake baada ya kuwa imeshaamuliwa na Tume ya utumishi wa umma. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, kwa mujibu wa sheria yeye ni mkuu wa utumishi wa umma na pia ni sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya teuzi za Mwenyekiti CBE na Mjumbe Baraza la Ushindani

    Rais Samia amemteua Prof. Eleuther Anthony Mwageni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE). Uteuzi umeanza Juni 7 Pia amemteua Dkt. Neema Bhoke Mwita kuwa mjumbe wa Baraza la Ushindani (Fair Competition Tribunal). Uteuzi unaanza Juni 8, 2021 Dkt. Mwita amechukua nafasi ya...
  13. JF Member

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hili la wagonjwa kulipa wakati wa matibabu litasababisha vifo vingi

    Rais Samia ameshauri uwepo mpango mzuri ili kutozuia maiti kwenda kuzikwa. Ameenda mbali na kushauri kwamba wagojwa walipe gharama wakati wa matibabu ili kupunguza mzigo akifariki. Naomba nimshauri Rais wetu: 1. Wagonjwa watibiwe tu ili wapone. Ukiaamrishwa walipe wakati wakitibiwa kutawafanya...
  14. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hali ni tete Uganda, Corona yashika kasi tena kupelekea shule kufungwa. Rais Samia Hassan aharakishe chanjo

    Habari wadau..! Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500. Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda. Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanadhani Rais Samia yupo Ikulu kalala, kwa sababu walizoea 'show-off' na kelele

    MAMA SAMIA ANAFANYA KAZI, MSIDHANI KALALA IKULU. Na, Robert Heriel Kuna watu wananifurahisha sana, yaani ukiwasikiliza ni kama wachekeshaji fulani hivi ambao hawajatambua vipaji vyao. Wapo wanaosema Mama Samia hafanyi kazi, wapo wanaosema nchi inaongozwa na JK, wapo wanaosema Rais ni Mpole...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kilosa: Rais Samia afuta mashamba 11 na kufufua 49

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameshusha neema kwa wananchi wa Kilosa kwa uamuzi wa kufuta jumla ya mashamba 11 yenye ukubwa wa ekari 24,119 katika wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro na kugawiwa kwa wananchi kwa ajili ya shughuli za kilimo, ufugaji na uwekezaji...
  17. Relief Mirzska

    JamiiForums Tanzania Asante Maxence Melo kwa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan Katiba Mpya LIVE

    Kwa heshima naomba nkuvulie kofia niliyovaa wakati huu naandika huu uzi. Wakati historia inaandikwa juu ya upatikanaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maxence Melo tutamtambua kama prominent figure wa kwanza kabisa kutoka hadharani na kumuomba Mheshimiwa Rais Mama yetu...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais akitaka kufanya jambo anazunguka sana kupata uhalali?

    Habari wana JF, Tangu Mh. Rais ameshika madaraka, ameonekana akitaka kufanya jambo anatafuta "zuga" flani ili aeleweke. Swali ninalojiuliza kwa nini asiwe anachukua msimamo na kulifanya jambo moja kwa moja? Mfano: 1. Inafahamika kabisa swala la kuondolewa kwa "machinga" alishalipitisha siku...
  19. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi waliokula pesa za Maabara za wananchi, nao pia watakamatwe

    Rais Samia. Tafadhari sana. Wakuu wa wilaya wenye tabia ya Sabaya ni wengi. Wilaya nyingi watu wana vilio vya wakuu hawa ambao walikula michango ya wananchi na hasa kwenye ujenzi wa maabara na madarasa. Wananchi walitoa michango kwa nguvu, lakini bila huruma pesa zimeliwa. Hawa nawaona ni...
  20. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Mama zetu wana thamani kubwa kwenye maisha yetu

Back
Top Bottom