rais

  1. JamiiForums Tanzania Fahamu maisha ya Vladimir Putin wa Urusi

    Fahamu kwa undani maisha binafsi ya kila siku ya rais wa Urusi Vradimil Putin Kwa kawaida Putin huchelewa kuamka na kupata kifungua kinywa Akiwa ni mmoja wa viongozi wa dunia wenye nguvu na ushawishi zaidi na mwenye ulinzi mkali, Rais wa Urusi amekuwa akiishi maisha yanayoaminiwa kuwa ya...
  2. JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Uhalifu utabaki Historia Dar. Amwambia Rais Samia kama shughuli imepata Mwenyeji

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla amempongeza Rais Samia kwa kazi Nzuri anayoifanya ikiwemo tukio alilofanya leo kuendelea kuboresha huduma za Afya. Makalla amemuhakikishia Rais Samia, yeye kama mkuu wa Moka wa Dar na mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama kwamba Mkoa uko Salama na kazi...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia amesema hataki mabango, Je hii ndiyo demokrasia?

    Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango? Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao? Mabango ni haki ya wananchi kueleza...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia, tafuta muda wa kupumzika

    Hello JF, SIjui kama nyie mme observe kama mimi? Mama yetu ana movements nyingi mno. Sijui kasafiri na kuona watu/vikundi vingapi ndani ya hii miezi mitatu ya Urais Mama you cant do everything and be everywhere. I feel like you want to prove a point, kuwa ni Rais wa tofauti na watu wakuone...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila omba wasaa ukutane na Mheshimiwa Rais uombe umueleze upande wako wa stori

    Mimi naamini kabisa ndani ya moyo wako wewe ni mtu mzuri. Una sense of humor ambayo bahati mbaya wengine hawaielewi. Naamini kilichokukuta safari hii ni watu wamekupiga fitna hasa wale Waliochukua clip ya sauti yako na kuikatakata kisha kuunganisha vipande. Naamini kabisa kwenye ile clip...
  6. JamiiForums Tanzania Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

    TUliwaambia huko nyuma, huyu Chalamila ni hafai
  7. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge, Job Ndugai anamuomba Rais aitishe Kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Alhamis, bungeni Dodoma, amemwomba Rais wa Tanzania, Suluhu Samia kuitisha Kikao Maalum cha Wanaume pekee ili kuwawezesha kujadilia masuala mbalimbali yanayowahusu. “tunaomba Rais aite mkutano wa wanaume tu.” Nini Maoni yako?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Napingana na hoja ya wapinzani kuonana na Rais, inafifisha mapambano dhidi ya udhalimu

    Wapinzani kukutana na Rais nikubariki adhabu inayotolewa na watawala dhidi wa wananchi. Naaamini wapinzani wanapofanya siasa bila kuweka mashirikiano na utawala uliopo wanakuwa na nguvu kubwa yakuikosoa serikali na kuwasemea wananchi kuliko kwenda kupeana mikono kusiko kuwa na tija kwa Taifa...
  9. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Tunaomba Rais aitishe kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaka kuanzishwa kwa dawati la wanaume ambalo litakuwa linashughulikia changamoto wanazokumbana nazo wanaume. Amesema kwa sasa mkazo umekuwa zaidi kwa wanawake, watu wakidhani wanaume wapo salama, jambo ambalo si sahihi. "Tutamuomba Mhe.Rais siku nyingine aite...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia; Urais wa nchi ni mambo makubwa

    Habari wana JF, Binafsi nafurahia uongozi wako Mh Rais Samia, lakini napenda kutoa mtazamo tofauti ili kuboresha kwa kuwa bado una muda. Rais wangu, asikudanganye mtu, Uongozi wa Nchi ni mambo makubwa, ni juu ya hatma ya kesho, sio leo tu, ni juu ya leo na vizazi vijavyo. Nchi hii bado ni...
  11. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

    Amteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
  12. JamiiForums Tanzania Kijasusi tunajifunza nini kuchapwa kofi kwa Rais wa Ufaransa?

    Tukio la kushambuliwa kwa makofi Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron linatupeleka mbele na kulazimika kujifunza mambo machache anuawi katika uwanda wa Ujasusi ulimwenguni. Nimeliangalia katika pande nyingi na sasa ninaweza kulichambua kwa sehemu fulani ili kusherehesha na kufunza walinda viongozi...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia amjibu Mbunge aliyehoji kuhusu Uwanja wa Ndege Msalato. Asema Rais kashasema utajengwa

    Katika kipindi cha maswali na majibu, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, amesema Naibu Waziri hawezi kusema kitu tofauti na alichozungumza Rais. Amesema hayo baada ya Mbunge Kunti Majala kuhoji ni lini Serikali itajenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato akisema haupo kwenye Bajeti...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Yoweri Museveni names new Vice President in reshuffled cabinet

    Uganda President Yoweri Museveni. PHOTO | AFP Summary The new cabinet also includes Ms Robinah Nabbanja as Prime Minister. Also in the cabinet is former NTV-Uganda Editor Agnes Nandutu, who has been named Minister in charge of Karamoja region. By AGGREY MUTAMBO WEDNESDAY JUNE 09 2021 Ugandan...
  15. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Waziri wa Afya apewa likizo maalum na Rais Ramaphosa kufuatia tuhuma za ufisadi

    Waziri wa Afya, Dkt Zweli Mkhize amepewa likizo maalum na Rais Cyril Ramaphosa kufuatia tuhuma za ufisadi, ikidaiwa wasaidizi wake wawili wamefanya ubadhirifu wa zaidi ya Dola za Marekani Milioni 6 ambazo ni Fedha za Umma kwa ajili ya COVID19. Kumekuwa na malalamiko kuwa maelfu ya Mikataba...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa Kisheria juu Mtumishi wa Umma kukata rufaa kwa Rais

    Leo mheshimiwa rais Samia amesikika akisema kuwa hataki kuona rufaa ya mtumishi wa umma ikiletwa kwake baada ya kuwa imeshaamuliwa na Tume ya utumishi wa umma. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, kwa mujibu wa sheria yeye ni mkuu wa utumishi wa umma na pia ni sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya teuzi za Mwenyekiti CBE na Mjumbe Baraza la Ushindani

    Rais Samia amemteua Prof. Eleuther Anthony Mwageni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE). Uteuzi umeanza Juni 7 Pia amemteua Dkt. Neema Bhoke Mwita kuwa mjumbe wa Baraza la Ushindani (Fair Competition Tribunal). Uteuzi unaanza Juni 8, 2021 Dkt. Mwita amechukua nafasi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hili la wagonjwa kulipa wakati wa matibabu litasababisha vifo vingi

    Rais Samia ameshauri uwepo mpango mzuri ili kutozuia maiti kwenda kuzikwa. Ameenda mbali na kushauri kwamba wagojwa walipe gharama wakati wa matibabu ili kupunguza mzigo akifariki. Naomba nimshauri Rais wetu: 1. Wagonjwa watibiwe tu ili wapone. Ukiaamrishwa walipe wakati wakitibiwa kutawafanya...
  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hali ni tete Uganda, Corona yashika kasi tena kupelekea shule kufungwa. Rais Samia Hassan aharakishe chanjo

    Habari wadau..! Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500. Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda. Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanadhani Rais Samia yupo Ikulu kalala, kwa sababu walizoea 'show-off' na kelele

    MAMA SAMIA ANAFANYA KAZI, MSIDHANI KALALA IKULU. Na, Robert Heriel Kuna watu wananifurahisha sana, yaani ukiwasikiliza ni kama wachekeshaji fulani hivi ambao hawajatambua vipaji vyao. Wapo wanaosema Mama Samia hafanyi kazi, wapo wanaosema nchi inaongozwa na JK, wapo wanaosema Rais ni Mpole...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…