Hata ukikopa utalipa na hela yako. Fedha za mikopo ni hela zako pia. Nilikuwa nikiwakataza wanafunzi wa vyuo wasiziite boom pesa wanazokopeshwa na bodi ya mikopo na kuzitumia ovyo maana hizo ni fedha zao, sehemu ya mishahara yao, watazirejesha. Unapokopa nyumba au Gari hizo ni hela zako lazima...