rais

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tafadhali simama uhesabiwe katika wanaotetea haki ya Spika kumpinga Rais

    Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi, na hajui unachokitetea ni nini, leo hii yamemkuta Spika Ndugai, mwanasiasa mwenzio na mtesi wako, the...
  2. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya miaka ishirini? Kweli Rais Samia anatupeleka pabaya

    Wanabodi, Serikali inataka kufanya mengi na katika kufanya hayo, inataka kutumia muda mfupi kutekeleza miradi ya kimkakati kama njia ya kupeleka maendeleo kwa wananchi. Labda kuna uwezekano kwa serikali kukamilisha mipango yake bila kukopa lakini maelezo tuliyoyapata kutoka kwa viongozi wa nchi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ukali wa Rais Samia ni mzuri kwa nchi yetu kwa sasa

    Raisi ameanza kuamini tuliyokuwa tunamwambia kwamba asiwaamini wote wanao mzunguka. Lakini vilevile amegundua kuna watu walikuwa wana mfitini na kuwaelekeza upinzani kuhusu kukamatwa kwa Mbowe na kuhakikisha wapinzani anawaona kama wabaya. Ndugai " Sasa 2025 mtaamua mkitoa waliopo nao sawa waje...
  4. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia leo kafanya kosa kubwa sana. Huwa hatukunjui makucha kwa waliotukosea

    Leo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai. Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu. Mama angepaswa kuwa soft kabisa kwa siku ya leo. Na ingependeza kama angeanza kumshukuru kwa dhati Ndugai kwa kuomba...
  5. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Japokuwa simkubali Ndugai, lakini katika hili ameonewa na kudhalilishwa isivyo sahihi na Rais

    Ngoja niweke ushabiki na chuki zangu pembeni dhidi ya Ndugai, katika hili la sasa la Rais Samia kumfokea, kumdhihaki, kumbeza, kumnanga na kumzodoa hadharani Spika wa bunge la Tanzania, Job Ndugai binafsi ninaona sio haki, sio uungwana na sio heshima. Spika Ndugai ameonewa na kudhalilishwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Niliambiwa watakaokuangusha ni hawa hawa KIJANI wala siyo Wapinzani!

    Hii kauli imenifikirisha sana Waswahili wana msemo wao " kikulacho ki nguoni mwako" Wanaweza kukuaminisha Mbowe ndiye tatizo kumbe wana lao jambo binadamu siyo watu kwa kweli. Leo nimemuelewa sana mh Rais Samia! Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia.
  7. nyboma

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu keshapasua jipu tayari huko“ Sote tumejua CCM ni kama fisi tu wanakulana wao wao”

    Kinachoniuma sana mimi mfuasi kindakindaki wa iliyokuwa awamu ya Tano ni kwamba Masalia yetu ambayo tulitegemea 2025 yatakuwa imara yameshavunjwa miguu tayari hayana ujanja tena. Tena wamesemwa kama watoto yatima ambao hawana wazazi, tukianzia Katelephone kisha Spika (JBL) naona ndio mwisho...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanesco iliharibiwa hapa katikati eti mwananchi aunganishiwe umeme kwa sh 27,000/=

    Naangalia marudio ya hotuba ya rais hv sasa kupitia ITV rais Samia anatema cheche. Amegusia suala la kuunganisha umeme kwa sh 27,000/= na akasema kuwa haina uhalisia kabisa na haiwezekani. Amemtaka waziri wa nishati kuweka gharama zitakazowezesha Tanesco kujiendesha kwa faida. Tena akamtaka...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wapinzani ni washauri sahihi wa serikali, walimshauri Rais avunje baraza tukawapinga; naamini wanatonywa mengi

    Wapinzani walipomwambia Rais avunje Baraza ateue na kuapisha upya niliikuwa mmoja wa waliodhani ni ushauri batili. Wapinzani wakasema kuna watu walitaka Mhe. Rais asiapishwe nikawapuuza nakudhani wanataka kumtisha Mhe. Rais akose utulivu Wakasambaza taarifa za sukuma Gang nikaona wanaanza...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais utakapobadilisha Mawaziri, badilisha na Makatibu Wakuu wa Wizara husika

    Ni maoni yangu tu, maana hao makatibu wakuu ndio watendaji wakuu wa wizara. Kama waziri hayupo sawa, maana yake hata katibu wa wizara atakuwa hayupo sawa Ni mtazamo wangu tu
  11. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Msuguano baina ya Spika na Rais ni ulevi wa madaraka

    Upo msuguano wa dhahiri baina ya Spika na Rais. Spika ni kiongozi wa Bunge “Bunge” na Rais ni Kiongozi wa Serekali “Executive”. Wote ni Wakuu wa mihimili hapa anakosekana Jaji Mkuu ambae ni Mkuu wa Mahakama. Ukizitazama kwa makini misuguano baina ya Rais na Spika utaona dhahiri kila mmoja...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais kumlaumu Mkuu wa Mhimili wa Bunge, hatua mujarabu ni avunje Bunge

    Rais Samia Suluhu Hassan kusema kiongozi mhimili wa Bunge kuusema mhimili wa serikali kuu yaani taasisi ya Urais ni dalili za kutengeneza mazingira ya kushindana naye katika uchaguzi wa 2025 inaashiria hali ya sintofahamu ndani ya chama tawala. Huku bunge la Tanzania kuwa la chama kimoja baada...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la ma GT, hivyo hatutataji majina na naomba usitaje jina lolote!. Hatua ya kwanza ni sikiliza kauli hii Hivi hata baada ya kauli kama hii, kama wewe ni mtu mzima na akili zako timamu, bado unasubiri nini to do the right thing, the needful?. Swali ni jee tumshauri...
  14. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyempa Rais pongezi na tahadhari ya kupingwa na kijani

    Leo mheshimiwa Rais Samia Suluhu amesema kuwa baada ya kuapishwa kuna mtu alimfuata akampa hongera pamoja na pole. Pia akamwambia kwamba katika uongozi wako, hautapingwa na wapinzani zaidi ni kijani mwenzako Je mtu huyo ni nani aliyempa Rais taarifa hii ambayo kwa sasa inajidhihiri? Ni...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Taifa haliwezi kwenda na fedha za tozo pekee

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kumekuwepo watu wanaohoji kwanini Nchi imekopa japokuwa kuna fedha za tozo, akifafanua kuwa Taifa haliwezi kwenda na fedha za tozo pekee Ameeleza hayo akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa JMT akimjulia hali Mufti Abubakar Bin Zubeir anayepatiwa matibabu MNH

  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi na mke wake Isaura Nyusi wamekutwa na virusi vya corona

    Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi na mke wake Isaura Nyusi wamekutwa na virusi vya corona na wamejitenga kwa sasa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya rais Bw. Nyusi na mke wake wameamua kujitenga kwa kuzingatia muongozo wa afya baada ya kupatikana na virusi , ijapokuwa hawakuonesha dalili...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa Spika Ndugai kwa Rais Samia ni kifo cha mende kwa lile kundi

    Walidhani wanaweza kutumia wingi wao kila idara na bungeni kutingisha gogo. Lkn wamekumbana na kisiki cha Zanzibar kikiwa kinalindwa na katiba ya nchi na chama. Wanaanzia wapi kuukata mpingo? Aliyepewa jukumu la kukitikisa kisiki kapima kina cha maji halafu mwenyewe kaona isiwe taabu. Kwani...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Temeke kupewa shilingi bilioni 3.14 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa

    ASANTE MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA KURIDHIA WILAYA YA TEMEKE KUPATA SHILINGI BILIONI 3.14 KWA UJENZI WA MADARASA 157 KATIKA SHULE 25🇹🇿 Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo leo tarehe 03 Januari, 2022 amefanya Uzinduzi wa makabidhiano ya vyumba vya madarasa vilivyogharimu...
  20. Memento

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

    Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253. Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna...
Back
Top Bottom