rais

  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alitoa Kitendawili, kama hadi sasa hujategua wewe hujui siasa

    Salaam Wakuu, Hivi Karibuni rais Samia alitega kitendawili na akawataka Watanzania Wategue. Kama wewe ni mtu wa kusoma na kufuatilia Siasa za Nchi ya Tanzania na bado huwezi tegua hiki kitendawili, Tutamuita Maua Sama akupe somo. Na jijengee uwezo wa kuelewa Siasa za nchi.
  2. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa rasilimali kati ya Tanganyika na Zanzibar hauko sawa

    Nimewahi ambiwa kwamba Z'bara wanapenda sana kuwa waarabu na wanafanyiwa sherehe za kuwa waarabu. Binadamu wa kiwango hicho kwa hiari yake, lazima ana tatizo la msingi kijamii. Upende usipende, nchi inayoyoma bila mkuu wa nchi kujitambua. Tabia hii imekuwa ni sugu, kwamba wa-Zbar wanajiona siyo...
  3. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7%

    Rais Samia Suluhu Hassan tayari ameongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha yaani (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7% === Katika kipindi cha miezi tisa sasa tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara siku hata siku ambapo ulikuwa kwa wastani wa asilimia...
  4. 5

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ni Babkubwa Rais Samia Visiwa vya Karafuu Pemba Januari 7, 2022

    Mapokezi ni babkubwa Mama yetu Mkuu wa Nchi na Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania nzima Mama Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Rasmi atatua Visiwa vya Karafuu kule Pemba kwa ajili kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Karibu Mama Jemedari Mkuu, Umethubutu...
  5. vnn

    JamiiForums Tanzania Licha ya mapungufu yake lakini Samia Suluhu tunamuheshimu na kumtii kama Rais wa nchi hii,

    Ni utamaduni wetu huu, Baada ya kula kiapo tayari anakua na mamlaka lazima tumtii na kumuheshimu kama Rais wa Nchi, Pasitokee mtu yoyote kujifanya ana madharau yake kisa nafasi aliyopo na kuleta upuuzi wake, imekua hivyo tangu zamani kwanzia Nyerere, Mkapa Mwinyi Kikwete na JPM na hata...
  6. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

    Nchi ya Tanzania kuelekea 2025 Rais Samia Suluhu amedhibiti mfumuko wa bei|| US, UK, Uturuki, Ujerumani hali ni mbaya. === Nchi tajiri kabisa dunia ya Marekani inayomiliki zaidi ya asilimia 20 ya Uchumi wote wa dunia hii nayo ni muhanga wa hili, Marekani inashuhudia mfumuko mkubwa na mbaya...
  7. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Staajabu Siasa za Afrika; Bunge kumchagua Rais mpya nchini Uganda?

    Siasa za Afrika ni sawa na mti wenye majani mabichi yanayokufanya upende kwenda kukaa chini yake kwa sababu una kivuri kizuri ilihali chini kuna mchwa wanautafuna. Nchini Uganda Rais anayesemwa na mpinzani wake kuwa ni dikteta Yoweli Museveni anafikilia kuwanyima haki wananchi wa Uganda...
  8. vnn

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia mtiririko wa visa, ni wazi kuwa Ndugai aliota mapembe na alikuwa akimdharau sana Rais Samia

    Ukweli ni kwamba, Ndugai amekua mbabe kwa muda mrefu sana kwa wabunge kule mjengoni lakini alikua mtiifu namba moja wa Rais John Magufuli (R.I.P). pamoja na mapungufu yote ya serikali ya JPM ikiwa ni pamoja na bajeti hewa mfano kuna baadhi ya wizara zilikua zinapewa hela ya bajeti 18% tu ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Ndugai amemshambulia Rais Samia vibaya sana

    Hata kama ni kueleweka Mheshimiwa Ndugai alishindwa kujizuia na hormones zake zikamtoa kwenye uhalisia na kumuweka kwenye attacking ya liwalo na liwe, hasira ambazo unaweza kuuwa bila ya kukusudia ni hatari sana tuseme aliamua kujitoa muhanga. Nimeisikiliza kideo zaidi ya mara tatu ili kupima...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ndugai asifukuzwe. Rais ndiye awe impeached

    Ndugai wamemsema mpaka amepata maluweluwe. Rais anataka tu kuliangamiza taifa na pressure zake za 2025. Come 2025 rais anataka aonekane amempiku Magufuli kwa kila kitu. Hii inaitwa kicking the can down the road. Sooner or later itabidi tulipe hayo madeni. Usisikie mtu anakuambia madeni...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwa na Katiba ya wananchi unazidi kujitokeza.

    Ili nchi yetu ipate maendeleo ni lazima kuwe na muendelezo wa mipango kutoka Awamu moja kwenda kwenye Awamu nyingine. Iwapo kila Awamu mpya inapoanza kutawala itayatupilia mbali yale yaliyoanzwa na waliowatangulia basi kasi ya maendeleo itapungua!! Haya yamejitokeza sana katika utawala wa nchi...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunathamini umuhimu wa Serikali na tuko imara kuilinda: Rais tunaomba utuongezee nguvu

    Watanzania tulio wengi, hatuna uraia pacha, na tunajua hapa ndipo nyumbani kwetu, japo tunaweza kwenda matembezini lakini mwisho wa siku hapa ndipo kwetu. Kwa mantiki hiyo, kiu yetu ni kuhakikisha nyumbani kwetu panadumu kuwa mahala safi na salama kwa ustawi wetu na vizazi vyetu vijavyo...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Bunge huteuliwa na Rais na kula kiapo cha utii kwa Rais, sio Spika. Hatakubali ratiba ya kumhujumu Rais iingie Bungeni

    Katibu wa Bunge huteuliwa na Rais, na ndiye humwapisha, hatakubali ratiba iingie Bungeni ya kumhujumu SSH, atatoa taarifa mapema ili mapambano yaanze. Askari wa Bunge wanatoka kwenye majeshi ambayo Amiri wake ni SSH, wanamtii, hii ni pamoja na maafisa usalama wa pale Bungeni, Wana utii moja kwa...
  14. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ashangaza wengi kasi ya Ukuaji Uchumi Tanzania

    ==== Rais Samia aifikisha Tanzania ukuaji wa Uchumi wa 5.2% kutoka 2.1%,Heko Tanzania, According to National Bureau of Statistics (NBS) Pato la Taifa yaani Tanzania Gross Domestic Product- GDP limekua kwa kasi ya ajabu katika kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Hassan, Pato letu...
  15. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ulishangiliwa, lakini ubora wa jukwaani haufurahishi

    Kwa mara nyingine tena tukubali kwamba Tanzania hatujaweza kuwa na mchujo wa kupata viongozi wenye busara. Busara hutokana na kuiga pamoja na uzoefu. Kwa mtu aliyeweza kuwa kiongozi wa nchi haistahili awe na mapungufu ya kiwango hiki. Yaani sasa rais ameamua kuja majukwaani na washangiliaji...
  16. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amesahau hili la umeme ni yeye amelileta, tumkumbushe

    Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa. Hili la umeme wa kuunganisha watu wote kwa 27,000 ni yeye amelileta...
  17. Stroke

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya Rais kuvunja Serikali na kuunda Mpya

    Kutokana na yanayoendelea hapa nchini. Ipo haja ya Rais kuvunja Serikali nzima na kuunda mpya kabisa. Kutokuaminiana na hujuma kumetamalaki. Nazungumzia Kutoka kwa PM kushuka chini. Avunje baraza lote la mawaziri. Ateue wapya kabisa. Amuandikie barua Spika kumuomba ajiuzulu kwa maslahi ya...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Ni nani alienda kumuuma Rais Samia sikio kuhusu CCM wenzanke?

    Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake! Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni...
  19. nyboma

    JamiiForums Tanzania Naona Rais Samia anarudisha kwenye mfumo taratibu taratibu watu waliotumbuliwa

    Hii inanipa tafasiri ya kwamba ingawa alikuwa Makamu wa Raisi enzi za Hayati Magufuli pia walikuwa hawaelewani yaani walikuwa ni kama maji na mafuta. Hapa chini tunaona Mama kamrudisha Dr. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishina wa Mamlaka ya usimamizibwa Bima Tanzania (TIRA) ambaye...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Kama Nchi ziliweza kutoa nguvu za Wafalme, iweje sisi wenye Rais

    Ndugai usikubali kufa kindezi (Misemo ya vijana), Wewe ni Kiongozi wa Muhimili wa Bunge na Kikatiba una nguvu za kusikiliza Hoja za kumtoa Rais au hata kuchana speech yake. CCM wachache wanataka nafasi ya Uspika ili na wao wale kama wewe ulivokula, lakini usikubali kuiacha kizembe. Sio Lazima...
Back
Top Bottom