rais

  1. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nawe fanya mahojiano na waandishi wa habari kama anavyofanya Rais Mwinyi

    Rais Samia amekuwa akifanya mahojiano na mwandishi mmoja mmoja lakini hii inakuwa sio nzuri kwa sababu wale waandishi wanauliza masuali yasiyokidhi kiu za wananchi Namuona Rais Mwinyi anafanya mkutano na waandishi wa habari wengi na wanamuuliza masuali mazuri tu ambayo wananchi wanatamani Rais...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi siku ya sheria, Februari 2

    Uongozi wa Mahakama ya Tanzania, umesema Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuongoza sherehe za Siku ya Sheria Februari 2, Chinagali jijini Dodoma, badala ya Februari Mosi, 2022. Hatua ya kuahirisha sherehe hizo zilizokuwa zifanyike Februari Mosi imetokana na sababu zisizoweza kuzuilika. Kwa...
  3. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Wajukuu wa Rais Samia watembelea daraja jipya la Salenda na kupiga picha

    Tunataka uzalendo kama huu. Sio kwenda kupiga picha kwenye kuta za majengo huko Paris na New York.
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ujambazi wa polisi liwe fundisho kwa Serikali ya Rais Samia

    Baada ya vitendo vya kijambazi vinavyofanywa na polisi kushamiri katika siku za karibuni, sasa imefika wakati serikali ijithathmini namna ya kuwachuja polisi wanaofaa kuajiriwa. Madhara ya kung’ang’ania form four failures (Divison 4 & 0) ndiyo yametufikisha hapa tulipo. Sasa serikali ianze mara...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini katika mikutano ya Rais Samia na viongozi wa dini na machinga hakuna aliyemweleza kuhusu kupanda kwa bei za vyakula?

    Upon mfumumuko mkubwa wa za bidhaa nchini, maeneo yaliyoathirika Zaidi ni nishati na chakula. Kupanda kwa bei hizi kulipaswa kuwa agenda za kujadiliwa kabla ya kujadili siasa. Mtu mwenye njaa ni mwepesi kurubuniwa akawa mwovu lakini aliyeshiba siku zote ukumbuka mkono uliomlisha na kuulinda...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Makamu wa Rais Mpango, afanya Utalii wa Ndani Gombe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametembelea Hifadhi ya Taifa Gombe, mkoani Kigoma na kupata fursa ya kujionea vivutio mbalimbali vya utalii hususani wanyama adimu aina ya Sokwe Mtu. Makamu wa Rais aliyeambatana na Mke wake Mama Mbonimpaye Mpango...
  7. blogger

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amebaki na mitihani mikubwa mitatu tu katika elimu

    Ngugu zangu kwanza mimi kama watanzania wengi wazalendo naomba ni ' dikleee' interest. Mimi ni mtu ambaye sina chama, so huwa niko huru kusema au kuusapoti upande wowote ninaohisi kwa siku hiyo una maslahi kwangu. Rais ana nafasi ya kujenga ambayo haitasahaulika maisha akifanya haya.. 1...
  8. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro soma alama za nyakati, jiuzulu

    IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU. Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Upambanaji wa rushwa na Ufisadi kimataifa - Tanzania yang'ara

    ===== Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka, Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa...
  10. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Agenda ya ACT-Wazalendo kumuombea Mbowe msamaha kwa Rais

    Shabaha kubwa na ya Makusudi ya ACT-WAZALENDO kumuombea Mhe Freeman Mbowe msamaha kwa Rais amsamehe kuhusu kesi yake ya tuhuma za ugaidi inaonekana chama hiki kwa kujua au kutokujua kinataka kutumika kuisafisha serikali ya awamu ya 6 baada ya kuona kua hii kesi inalitia taifa aibu. Sasa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Elimu na Rais wa Chama cha Skauti Tanzania: Mgogoro wa Kikatiba unaoendelea kwenye chama

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AMBAYE NI RAIS WA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA MANTIKI YA MGOGORO WA KIKATIBA SKAUTI Salaam kwako Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, rais wa chama cha Skauti Tanzania. Napenda kuchukua nafasi hii kuelezea yangu machache...
  12. 2019

    JamiiForums Tanzania Rais gani aliwahi kukubalika akiwa madarakani Tanzania?

    Baada ya vyama vingi 1995 mpaka 2005 Mkapa alipondwa sana,ooh katili, fisadi n.k akatoka. Watu wakasema bora Mwinyi tu mzee wa ruksa. 2005-2015 Kikwete kasi mpya nguvu mpya ari mpya, rais kijana,mcheshi lakini alikumbatia wezi, majambazi mafisadi tuhuma zote ziliibukia kwake. Akatoka akapondwa...
  13. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Baada ya kumaliza changamoto ya madarasa tutaajiri walimu 7000

    Hello unemployed teachers! Poleni kwa kusubiri na bado mtaendelea kusubiri Serikali yenu bado INA mambo mengi ya kimaendeleo lakini haija wasahau . Leo tarehe 27/01/ ni birthday ya Mh. Rais SAMIA SULUHU HASSAN akiwa Dodoma alipiga simu kwa waziri wa elimu aliyekuwa mgeni rasmi wa tamasha pale...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Sheria haina vifungu vya msamaha wala kuvumiliana. Iweje Rais wa Nchi atangaze misamaha mitatu kwa watumishi wenye makosa?

    Tafadhali, enyi wenye uweledi na taaluma za Uongozi! Hili lakutangaza misamaha likoje? Niliamini utumishi Bora ni kuzingatia kanuni za utumishi, na kwamba mtumishi anahesabika kukosea baada kutotekeleza wajibu kulingana na kanuni! Vipi Kuna kanuni za kusameheana? Kama hazipo kwanini kiongozi...
  15. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeshindwa kufanya PhD kutokana na majukumu kuwa mengi

    Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema alijaribu kufanya Shahada ya Uzamivu lakini kutokana na majukumu mengi ameshindwa huku akisema ataimalizia baadaye. Mkuu huyo wa nchi amesema hayo leo Alhamishi Januari 27, 2022 wakati wa mahojiano maalumu yaliyorushwa na Shirika la...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Usalama vinamhujumu Rais kutokana na matendo maovu kushika kasi

    Matukio ya uovu yamezidi kushika kasi kipindi hiki kwa namna ambayo inaonesha dhahiri kuwa kuna hujuma inafanyika kwa ndugu Rais Samia Suluhu Hassan. Matendo haya ya uovu ubaya zaidi yanafanywa na vyombo vinavyotakiwa kulinda wananchi. Matokeo yake sasa ndo vinahusishwa na kuteka na kuua...
  17. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Rais Samia! Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu

    Mnamo tarehe 27 Januari 1960 Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan alizaliwa huko Makundichi Zanzibar. Leo anatimiza umri wa miaka 62. Ni Rais wa kwanza mwanamke nchini kwetu na mfano wa kuigwa kwa wasichana, wanawake na watu wa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Rais kwa kuwaziba mdomo wapinzani kuhusu kuungua kwa Soko la Karume

    Binafsi nimeshangazwa na ukimya wa wapinzani baada ya tukio la kuungua moto soko la Karume. Sijasikia pole yoyote kutoka kwa upinzani si CHADEMA wala ACT walioneshwa kusikitishwa na jambo hilo. Ni kimya kikuu kimetanda. Ni wapinzani hawa hawa ambao polisi wakidhibiti mikusanyiko yao haramu...
  19. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unapoingia mkoani Mara fuatilia kuna chembechembe za watu kula kwa urefu wa kamba pale Musoma Airport

    Nakukumbusha mheshimiwa rais mliidhinisha pesa za upanuzi wa viwanja kadhaa vya ndege hapa nchini na cha Mkoa wa Mara hapo musoma kikiwa ni kimojawapo. PICHA: Sehemu ya mji wa musoma unavyoonekana kutokea juu. Taarifa tulizo nazo pesa ilitolewa ili kufidia wananchi waliopo kwenye eneo la...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Rais Samia Kufanya Mahojiano na TBC Januari 27, 2022

    Salaam Wazalendo Wote Tafadhali soma Taarifa yote Kama ilivyoambatanishwa hapo chini
Back
Top Bottom