Jamaa ana elimu kubwa na pia ameitumikia klabu yetu kwa muda mrefu na kwa mafanikio makubwa. mimi naona anafaa kuwa Rais wa timu yetu ukizingatia umri wake bado ni kijana
Utangulizi:
Kijiografia bahari zinachukua takriban 71% ya eneo lote la uso wa Dunia yetu na kwa nadharia za kisayansi inaaminika kwamba maisha ya viumbe yalianzia baharini. Hivyo basi, kwa vyoyote vile iwavyo, bahari imekua sehemu muhimu kabisa ya maisha ya kila siku ya binadamu. Binadamu...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
akaunti
ccm
chama
jifunze
kazi
kugharamia
maana
matibabu
nyingine
prof. jay
raisrais samia
samia
serikali
serikali ya ccm
ummy mwalimu
upinzani
vijana
wajinga
watanzania
Wakati Hofu kuu ilipokuwa imeikumba dunia kutokana na corona, Magufuli alituongoza watanzania kumtanguliza Mungu kwa maombi na Mungu alituponya na kuiondolea mbali kabisa hofu ya corona. Na mawakala wa corona walipotaka kutupandikizia hofu ya corona baada ya kifo cha Magufuli kwa gia ya mawimbi...
Leo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri.
Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?
Pamoja na imani yake kuongezeka Mohamed alikuwa amekata tamaa ya kuishi, hivyo wakati wote akiwa gerezani hakutaka kujifunza ujuzi wowote akiamini hatoweza kuutumia kwa sababu kilicho mbele yake ni kunyongwa hadi kufa.
Hilo likamfanya ajikite kwenye shughuli anazopangiwa kila siku, lakini si...
Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo?
================================
Update: 15/02/2022...
Habari wanajamvi!
Nazungumzia Rais kushitakiwa amalizapo muda wake (kama alifanya makosa akiwa madarakani).
Asili ya sisi Waafrika (watu weusi) ni kupenda kukomoana, majungu na visasi.
Inawezekana kabisa ukiwa madarakani ukafanya/ukasimamia jambo kwa mujibu wa taratibu lakini kwa kufanya...
Tafadhali Rais wangu Mpendwa Samia Suluhu Hassan kamwe usikubali Kuingizwa katika huu Mtego wa Kukutana na Wazee Njaa na Wazee Majungu wa Yanga SC kwani watakuharibia, hutoamini na inaweza hata Kuathiri Ndoto zako za kuwa Rais mwaka 2025 hasa katika Sanduku la Kupiga Kura.
Na kibaya zaidi...
Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.
Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.
Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo...
RAIS JOHN POMBE MAGUFULI NA MADAFU YA ODEON CINEMA
Ndugu zangu hii clip ya Rais Magufuli akinywa madafu Odeon Cinema imenikumbusha mbali sana.
Kwanza imenikumbusha jengo la senema yenyewe ambayo sisi tumezaliwa tumeikuta na umaarufu wake kwa kuonyesha michezo ya Kihindi ya akina Ranjan na...
Hii ni Pongezi kwa Kurugenzi ya Habari ya Rais, lakini natambua umuhimu wa Kiswahili. Nashauri wale mliokua allergic na English toka awamu ya 5 basi piteni tu.
Leo baada ya miaka mingi tumeona Kurugenzi ya Rais ikitoa taarifa kwa lugha ya English, Lugha ambayo inawafikia wenzetu wengi wa nje ya...
Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi.
Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu.
Kipindi cha ukame...
Picha: Ayatollah Ali Khamenei
Kiongozi wa juu kabisa mwenye usemi wa mwisho nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amewatuhumu Rais wa sasa wa Marekani, Joe Biden, na mtangulizi wake, Donald Trump, kwa kuiharibu sifa ya Marekani.
Ukosoaji huo wa moja kwa moja ni hatua ya nadra kufanywa na...
Habari Mh Rais!
Kuhusu kinachoendelea kwenye suala la milabaha kinachoonekana mahesabu take yametengenezwa katika mazingira ya kiupigaji na kizurumati ,
Kuna wasanii wakubwa sana wa zamani hawapo kwenye list na hiyo milabaha na wengine kupewa pesa kiduchu sana Sasa kwa inavyoonekana ni kama...
Salama?
Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana.
Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga nchi vya kutosha, alijifanyia anachotaka na kuwaumiza wengi kadri alivyojisikia.
Rais Samia aliipokea...
Rais wa Senegal Macky Sall, ametangaza leo Jumatatu Februari 7, 2022 kuwa ni siku ya mapumziko maalum nchini kwake kwa ajili ya kusherehekea ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika #AFCON2021 waliochukua usiku wa kuamkia leo kwa kuifunga Misri kwa penati 4-2.
Sall, alikuwa njiani kwenda katika...
Mzee Wassira ni mmoja kati ya wazee ambao huwa haonyeshi kucheka cheka pale anapoongelea jambo, mfano aliongelea jambo urais ambao wengi wanaonyesha nia wkt huu na kusema muda wao bado na hata yeye aliwahi kuutaka ila kwa sababu ya muda basi muda wake umepita na hawezi tena.
Mimi ni mmoja kati...
Serikali imeahidi neema kwa walimu huku ikiwataka waendelee kufanya kazi kwa moyo.
Ahadi hiyo imetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan, leo Februari 7, 2022 wakati aliposimama wilayani Butiama kwa ajili ya kusalimia wakazi wa wilaya hiyo.
"Walimu hoyeee, walimu mpo eehh sasa naomba niwaambie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.