rais

  1. JamiiForums Tanzania Napendekeza mwijaku awe Rais wa klabu yetu ya simba sc

    Jamaa ana elimu kubwa na pia ameitumikia klabu yetu kwa muda mrefu na kwa mafanikio makubwa. mimi naona anafaa kuwa Rais wa timu yetu ukizingatia umri wake bado ni kijana
  2. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Ufaransa: Nini maana ya Uchumi wa bluu, Je, ni muhimu kuhudhuria? Pata shule fupi

    Utangulizi: Kijiografia bahari zinachukua takriban 71% ya eneo lote la uso wa Dunia yetu na kwa nadharia za kisayansi inaaminika kwamba maisha ya viumbe yalianzia baharini. Hivyo basi, kwa vyoyote vile iwavyo, bahari imekua sehemu muhimu kabisa ya maisha ya kila siku ya binadamu. Binadamu...
  3. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nikiulizwa Rais Magufuli ametuachia nini kikubwa, nitasema "Ametuachia ujasiri dhidi ya corona", hofu ya corona hakuna kabisa Tanzania.

    Wakati Hofu kuu ilipokuwa imeikumba dunia kutokana na corona, Magufuli alituongoza watanzania kumtanguliza Mungu kwa maombi na Mungu alituponya na kuiondolea mbali kabisa hofu ya corona. Na mawakala wa corona walipotaka kutupandikizia hofu ya corona baada ya kifo cha Magufuli kwa gia ya mawimbi...
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika kuzuru kaburi la Hayati Magufuli ni kiashiria alikuwa na mchango mkubwa katika maendeleo Afrika?

    Leo tarehe 10/02/2022 amewasiri Rais wa Benki ya Maendelo Afrika wilayani Chato kwa ajili ya kutembelea mahali alipozikwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuri. Je, ni kiashiria kuwa Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi bora ktk bara letu la Afrika?
  6. JamiiForums Tanzania MOHAMED SAID: Alifungwa enzi za Nyerere, asamehewa na Rais Samia-2

    Pamoja na imani yake kuongezeka Mohamed alikuwa amekata tamaa ya kuishi, hivyo wakati wote akiwa gerezani hakutaka kujifunza ujuzi wowote akiamini hatoweza kuutumia kwa sababu kilicho mbele yake ni kunyongwa hadi kufa. Hilo likamfanya ajikite kwenye shughuli anazopangiwa kila siku, lakini si...
  7. JamiiForums Tanzania Je, baada ya kuona video hii, Rais Samiah Suluhu anaweza kudiriki kukopa tena pesa nje ya nchi?

    Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo? ================================ Update: 15/02/2022...
  8. JamiiForums Tanzania Rais asibughudhiwe pindi amalizapo wakati wake, aachwe apumzike

    Habari wanajamvi! Nazungumzia Rais kushitakiwa amalizapo muda wake (kama alifanya makosa akiwa madarakani). Asili ya sisi Waafrika (watu weusi) ni kupenda kukomoana, majungu na visasi. Inawezekana kabisa ukiwa madarakani ukafanya/ukasimamia jambo kwa mujibu wa taratibu lakini kwa kufanya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukikubali tu Kukutana na Wazee wa Yanga SC akina Said Motisha Watanzania Werevu Watakudharau na Utajiaibisha mno

    Tafadhali Rais wangu Mpendwa Samia Suluhu Hassan kamwe usikubali Kuingizwa katika huu Mtego wa Kukutana na Wazee Njaa na Wazee Majungu wa Yanga SC kwani watakuharibia, hutoamini na inaweza hata Kuathiri Ndoto zako za kuwa Rais mwaka 2025 hasa katika Sanduku la Kupiga Kura. Na kibaya zaidi...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia na matumizi ya kodi zetu

    Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo. Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa. Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo...
  11. JamiiForums Tanzania Tuangalie nyuma: Hayati Joseph Magufuli na madafu ya Odeon Cinema

    RAIS JOHN POMBE MAGUFULI NA MADAFU YA ODEON CINEMA Ndugu zangu hii clip ya Rais Magufuli akinywa madafu Odeon Cinema imenikumbusha mbali sana. Kwanza imenikumbusha jengo la senema yenyewe ambayo sisi tumezaliwa tumeikuta na umaarufu wake kwa kuonyesha michezo ya Kihindi ya akina Ranjan na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Pongezi mabadiliko makubwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais. Asante Zuhura Yunus

    Hii ni Pongezi kwa Kurugenzi ya Habari ya Rais, lakini natambua umuhimu wa Kiswahili. Nashauri wale mliokua allergic na English toka awamu ya 5 basi piteni tu. Leo baada ya miaka mingi tumeona Kurugenzi ya Rais ikitoa taarifa kwa lugha ya English, Lugha ambayo inawafikia wenzetu wengi wa nje ya...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

    Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi. Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu. Kipindi cha ukame...
  14. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa juu wa Iran awakosoa Rais Biden, Trump asema wameharibu sifa ya Marekani

    Picha: Ayatollah Ali Khamenei Kiongozi wa juu kabisa mwenye usemi wa mwisho nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amewatuhumu Rais wa sasa wa Marekani, Joe Biden, na mtangulizi wake, Donald Trump, kwa kuiharibu sifa ya Marekani. Ukosoaji huo wa moja kwa moja ni hatua ya nadra kufanywa na...
  15. JamiiForums Tanzania Kishindo kingine cha Rais Samia katika SGR; TRC yaingia mkataba na kampuni ya China ununuzi wa behewa 1,430

    Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  16. JamiiForums Tanzania UFAFANUZI KUHUSU MILABAHA ILIYOTOLEWA MANENO NI MENGI MH RAIS LIANGALIE NA HILI NI TATIZO

    Habari Mh Rais! Kuhusu kinachoendelea kwenye suala la milabaha kinachoonekana mahesabu take yametengenezwa katika mazingira ya kiupigaji na kizurumati , Kuna wasanii wakubwa sana wa zamani hawapo kwenye list na hiyo milabaha na wengine kupewa pesa kiduchu sana Sasa kwa inavyoonekana ni kama...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, Rais Samia kaonesha uwezo mkubwa sana

    Salama? Nisiwe na maneno mengi. Rais Samia alikabidhiwa nchi kipindi kigum na cha hatari Sana. Wengi tulitarajia nchi itamahinda. Just imagine kaipokea nchi kutoka Kwa Rais ambaye aliivuruga nchi vya kutosha, alijifanyia anachotaka na kuwaumiza wengi kadri alivyojisikia. Rais Samia aliipokea...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Senegal aagiza leo mapumziko ya taifa kusherekea ubingwa wa AFCON

    Rais wa Senegal Macky Sall, ametangaza leo Jumatatu Februari 7, 2022 kuwa ni siku ya mapumziko maalum nchini kwake kwa ajili ya kusherehekea ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika #AFCON2021 waliochukua usiku wa kuamkia leo kwa kuifunga Misri kwa penati 4-2. Sall, alikuwa njiani kwenda katika...
  19. JamiiForums Tanzania Mzee Wassira: Ujenzi wa Hospitali ya kumbukumbu ya Mwl. Nyerere sifa wapewe wananchi wa Mara na siyo Serikali

    Mzee Wassira ni mmoja kati ya wazee ambao huwa haonyeshi kucheka cheka pale anapoongelea jambo, mfano aliongelea jambo urais ambao wengi wanaonyesha nia wkt huu na kusema muda wao bado na hata yeye aliwahi kuutaka ila kwa sababu ya muda basi muda wake umepita na hawezi tena. Mimi ni mmoja kati...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia awaambia walimu kuwa kuna mambo mazuri yanakuja

    Serikali imeahidi neema kwa walimu huku ikiwataka waendelee kufanya kazi kwa moyo. Ahadi hiyo imetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan, leo Februari 7, 2022 wakati aliposimama wilayani Butiama kwa ajili ya kusalimia wakazi wa wilaya hiyo. "Walimu hoyeee, walimu mpo eehh sasa naomba niwaambie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…