Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufungua Kikao Kazi cha Maofisa Wakuu wa Jeshi la Polisi Tanzania kitachofanyika katika Shule ya Polisi, Moshi mkoani Kilimanjaro. Kikao hicho cha siku tatu kitahusisha Wakuu Waandamizi wa makao makuu, Makamanda wa Polisi mikoa na vikosi.
Akitoa taarifa hiyo...
Baadhi ya wanasiasa wa Azimio la Umoja one Kenya wanataka Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, kujiuzulu baada ya kutokubaliana na Matokeo ya Urais, huu ndio mchakato pekee unaoweza kufuatwa.
-
Ibara ya 251(2) ya Katiba inatamka kwamba mtu anayetaka kumwondoa Mwenyekiti...
Chama cha NCCR-Mageuzi, upande wa Mwenyekiti James Mbatia umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi wakidai inashindwa kutekeleza majukumu yake kwa weledi ikiwamo kusuluhisha mgogoro unaoendelea ndani ya chama hicho.
Chama hicho...
Sijafurahishwa kabisa na huu ubunifu wa watu wa takwimu kutumia jina la Rais na viongozi wengine kuhamasisha sensa.
Mama Ana Makinda ni mtu mashuhuri, angeweza kutumia hata jina lake au maafisa wengine! Kutumia jina la Rais naona kama haijakaa sawa!
Kama iko sawa toa hoja, haya si malumbano ni...
Hapo vip!!
Binafsi nikiangalia huko na kule ndani ya CCM sioni kiongozi mwenye sifa ya kumzidi Lowassa mpaka sasa.
Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii. Wengine watasema mara ooh ni mzee. Kama hoja yao ina ukweli mbona Marekani ambayo ni taifa lililoendelea duniani na...
Serikali ya Japan imetangaza kutoa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 30 katika kipindi cha miaka mitatu (2022 – 2025) kwa Nchi za Bara la Afrika ili kuziwezesha kutekeleza programu na miradi ya maendeleo itakayoleta mageuzi ya kiuchumi barani humo.
Kiasi hicho cha fedha kimetangazwa kutolewa...
Ni muda kidogo sasa tangu kutekelezwa kwa agizo la kuwaondoa Wamachinga maeneo ya katikati mwa majiji na miji mikubwa kama Dar es Salaam, Mwanza na Arusha kwa lengo la kuwapanga vizuri lakini pia kuyaweka maeneo hayo katika hali ya usafi.
Habari mbaya ni kwamba katika maeneo mengi...
RAIS SAMIA AENDELEA KUFANYA MAKUBWA WILAYA YA LUDEWA, AMWANGA MABILIONI.
Rais Samia Suluhu Hassan amepania kupeleka maendeleo makubwa Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kama ambavyo amekuwa akifanya kwa Nchi nzima kwa ujumla.
Rais Samia kupitia TARURA amefanikiwa kufungua Barabara ya Lifuma-...
Rais Vladimir Putin leo Agosti 27, 2022 amesaini amri ya kuwalipa kiasi hicho cha fedha watu wote walioondoka Ukraine na kuhamia Urusi wakiwemo Wastaafu, Wajawazito na Walemavu.
Amri hiyo iliyowekwa kwenye tovuti ya serikali, inaweka malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa waliolazimika kuondoka...
Wakuu ni muda mrefu saana maji taka toka ktk nyumba jirani na Mheshimiwa Dr Mpango, yana tiririka na kupita karibu na milango ya apartments za wapangaji wake.
Ki tendo hiki hakivumiliki na ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama yeye kuacha kiendelee bila kuchukua hatua.
Siwezi kuweka video au picha...
Mbona Viongozi Wenzako wengine hawana hiki Kiherehere kama ulichonacho?
au huo Unaibu Uwaziri sasa Umeshauchoka na Unajipendekeza kwa Mama Ili ikimpendeza sasa akuteue Waziri Kamili kabisa?
Tafadhali hebu hamishia hii Nguvu Kubwa unayoitumia kutuasa Kusensabika kwa kumwambia Rais ( Mama )...
Ikulu ya rais Zelensky wa Ukraine inalalamika kuwa Urusi ameziangamiza melivita mbili za jeshi la Ukraine kwa kutumia makombora ya shabaha kali yaliyorushwa toka kwenye ndegevita za Urusi. Ndege hizo zilishambulia zikiwa kwenye kijiji cha Novofedorivka huko Crimea.
Mwambieni Zelensky aache...
Ni tarehe 26/08/2022
Andiko langu la pongezi na onto kwa kijana wetu mpendwa ambae binafis ni kijana mwenzake lakini lazima nimwoneshe yakuwa aliko teuliwa kwenda Kuna vichaka vya wachawi kwa masilai Yao awe makini.
Lazima nikili yakuwa uteuzi wa Huyu kijana kuwa mkurugenzi wa CRDB...
Wanaharakati Koome Mbogo, Michael Asola, na Eric Githinji wamehamishia Pingamizi lao katika Mahakama ya Rufaa ili kuzuia Mahakama Kuu kumtangaza Rais kutokana na kesi za kupinga ushindi wa Naibu Rais William Ruto.
Walalamikaji hao hawakuridhika na uamuzi wa Mahakama Kuu kutupilia mbali ombi lao...
Ama kwa hakika.
Kizuri hakidumu.
Tanzania tunaendelea kumkumbuka Rais Bora kabisa tuliopewa na Mungu kama zawadi.
Ameacha alama ambayo Afrika na Dunia nzima bado wanaendelea kumuenzi.
Tunakukumbuka sana Mkuu.
Leo Agosti 25, 2022 Putin ametia saini amri ya kuongeza ukubwa Jeshi kutoka Wanajeshi Milioni 1.9 hadi Milioni 2.04 ikiwa ni miezi 6 tangu kuanza Vita baina yake na Ukraine.
Kwa mujibu wa agizo lililotolewa leo kupitia Wizara ya Sheria, ongezeko hilo linajumuisha ajira mpya za Wanajeshi 137,000...
Nimebahatika kufuatilia na kushiriki mikutano na mijadala maeneo mbalimbali kuhusu Muungano wa Tanzania hii.
Mitazamo ya baadhi ya watu inaashiria muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar unaendelea kuwa moja ya mambo yenye udonda sugu. Kila inapotokeza fursa ama tukio la kuujadili muungano, mambo...
Baba Mwita ameandika kupitia mtandao wa Twitter kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akistaafu hupatiwa mafao kwa kiwango hiki.
Rais wetu anapostaafu atapata mafao yafuatayo:
1. Fedha ya 50% ya mshahara wake WOTE aliowahi kulipwa katika kipindi chote alipokuwa Rais. (mara moja) 2...
Agosti 23, 2022 tunatarajia kuwa na zoezi la sensa ya watu na makazi. Zoezi muhimu katika mipango ya sera na maendeleo ya Taifa.
Hata hivyo mwaka huu tumeona matangazo yamekuwa mengi sana hadi inaleta maswali kama fedha za umma zimetukima ipasavyo. Uhamasishaji umekuwa mkubwa kama kuna mgomo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.