rais

  1. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sasa unaona umuhimu wa kuwa na marafiki wakweli kama Rais Magufuli

    Rais wangu Samia rudi kwenye misingi uliyoianzisha wewe na rafiki yako Magufuli, huyu ndiye rafiki yako mkubwa kuliko wote ulionao. Kubali kukosana na wachache kwa manufaa ya wengi
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli, kama sio leo basi ni suala la muda tu kupewa tuzo ya heshima kama Rais aliyesimamia vema rasilimali na kupunguza kero kwa wananchi

    Kama alivyowahi kunukuliwa akisema, Jengo la Tanesko ubungo, akitokea kiongozi mwenye kusimamia sheria, litavunjwa tuu, na hatimaye akaja kushika mwenyewe na likavunjwa, Na sasa, akija kutokea Rais asiye na unafki ndani yake, lazima JPM atapewa tuzo! Tunaposema JPM (hayati) anastahili tuzo ya...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANZIA Tanzia: Mzee Ali Hassan Mwinyi afiwa na mwanaye anayeitwa Hassan Ali Hassan Mwinyi

    Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi amefiwa na Kaka yake Hassan Ali Hassan Mwinyi Leo Mazishi yatafanyika leo Alasiri Mangapwani Zanzibar ambapo watu pamoja na Mwili wa Marehemu wataondoka nyumbani Chukwani Saa Saba na Nusu Inalillahi waina ilaihi rajiuna --- Nimepokea kwa masikitiko...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Zanzibar ni eneo dogo lakini hatarishi

    Ukiiangalia Zanzibar kama Zanzibar nipadogo lakini padogo penye mambo makubwa, mhalifu kutoka eneno lolote anaweza kuingia Zanzibar", Rais Samia ameyasema hayo alipokuwa akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Makamanda wa Polisi wa Mikoa/Vikosi katika Shule ya...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Mkenda dhambi hii ya udahili vyuoni isisubiri tamko la Rais Samia

    Elimu ndio chombo pekee kinachoweza kuwakutanisha mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini katika ofisi moja na mgahawa mmoja. Takwimu zinaonyesha kuwa shule binafsi za msingi na sekondari nchini ni ghali kuliko za serikali lakini ndizo zenye mazingira mazuri ya kujifunzia na kutoa ufaulu mkubwa kwa...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini, Ramaphosa ahojiwa na wabunge kuhusu wizi wa fedha kwenye shamba lake

    Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa Jumanne amekabiliwa na maswali makali bungeni, wakati wabunge walipotaka majibu jinsi anavyokabiliana na wizi wa mamilioni ya dola kutoka kwenye shamba lake. Kwa mujibu wa shirika la habari la AP Ramaphosa alipigiwa kelele na wabunge wa upinzani wakimtaka...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amejaa hofu ya Mungu, ndiyo maana unaona akihubiri haki

    Ndugu zangu nadhani sote tumeendelee kusikia kile kinachojiri huko mkoani Kilimanjaro ambako Mh. Rais wetu yupo huko. Ndugu zangu ukimfuatilia Mh. Rais wetu hata kabla ya kuwa Rais wetu ni kiongozi aliyekuwa akipenda kuona haki ikitendeka kwa watu wengine bila kujali hali zao. Hali hiyo na...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aonya vikao vya Polisi kudhaminiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelionya jeshi la Polisi nchini kutotumia wadhamini kufanya vikao kazi na badala yake Jeshi hilo lijitegemee na vikao vyake vifanyika kwa gharama za Jeshi. Amesema kuwatumia wadhamini katika kuwezesha kuendesha vikao hivyo...
  9. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameamua kuwatolea uvivu Jeshi la Polisi na kuyaanika hadharani maovu yao!

    Kwa kweli Katika hotuba aliyoitoa leo huko kwenye Chuo cha Polisi Moshi, Rais Samia ameamua kuyaweka wazi maovu yanayofanywa na Jeshi hilo la Polisi na hivyo nampongeza Sana Rais wetu kwa ujasiri wake huo. Kwanza amesisitiza kuwa ni lazima Jeshi la Polisi lizingatie Nidhamu, Haki na Weledi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya Rais Samia jana Agosti 29 ni uthibitisho wa neema tuliyojaliwa Tanzania

    Moja kati ya mambo yanayofanya uongozi wa nchi yoyote upendwe ni jitihada za wazi za kustawisha maisha ya wananchi, kutatua kero zao na kutekeleza maono yenye dhamira njema na maisha ya watu. Uadilifu, weledi, haki za binadamu na kulinda mila na desturi za watanzania ni baadhi ya mambo...
  11. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka afurahishwa na DIT kuhamisha magari 1,000 kutoka mfumo wa mafuta kwenda wa gesi. Ampongeza Rais Samia kwa kutoa TZS 100BL kwa ajili ya CNG

    CCM YAPONGEZA JITIHADA ZA RAIS SAMIA KUIWEZESHA DIT KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuiwezesha Taasisi ya Teknolojia ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afungua kikao kazi cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Polisi, Shule ya Polisi TZ (TPS) Moshi, Agosti 30, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa / Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, leo tarehe 30 Agosti, 2022. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania - IGP...
  13. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ingilia kati. Kodi zinazolipwa na wananchi zimezidi na haziendani na Miradi ya Maendeleo inayofanywa na Serikali

    Wanabodi, Tumeshuhudia nguvu iliyotumiwa na serikali katika kuhakikisha kwamba kuna tozo kwenye miamala ya kielektroniki inayofanywa na wananchi. Hii inaweza ikawa njia ya serikali kutanua wigo wa kodi ya kuwa wezesha kufanya shughuli zingine za ziada ambazo zinaweza zikawa na manufaa kwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania CCM yapongeza jitihada za Rais Samia kuiwezesha DIT

    CCM YAPONGEZA JITIHADA ZA RAIS SAMIA KUIWEZESHA DIT KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuiwezesha Taasisi ya Teknolojia ya...
  15. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia achapishwa ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland umekuwa ukisambaa mitandaoni ukiwa na kichwa kinachosema "Rais Samia aongeza matumaini mapya kwa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Scotland na Tanzania," Gazeti hilo linalosomeka kuwa ni toleo la 1 Novemba 2021 la gazeti la kitaifa la...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Magereza mrekebishe tabia za wahalifu

    Rais Samia amelitaka jeshi la magereza kuwarekebisha tabia wahalifu walioko magerezani kwa kuwa sio wote walioko magereza ni wahalifu waliokubuhu. Ambapo amesema, kushindwa kuwarekebisha tabia kunawafanya wahalifu watende makosa zaidi mara baada ya kurudi uraiani kwa kuwa wanakuwa hawana namna...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asema majaji wanawake wamesaidia kupunguza malalamiko dhidi ya Mahakama

    Rais Samia amesema malalamiko kutoka kwa wananchi kwenda kwa mahakama yamepungua kwa kiasi kikubwa ambako kumetokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuwa na majaji wanawake. Kwa sasa amesema ameshateua majaji 23 wa kike na 27 wanaume na ameazimia kufikia 50/50. Amesema majaji wanawake wanateuliwa...
  18. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Kagame ndiye Rais pendwa ukanda wa Afrika Mashariki

    Hiyo ni kwa mujibu wa Kenyans.co.ke walioweka swali kupitia ukurasa wao wa Twitter kwamba "Je, iwapo Afrika Mashariki ingeongozwa na mmoja wa marais wanne walio madarakani, nani angefaa?" Mpaka sasa kura zilizopigwa ni 25,000 na matokeo ni kama yafuatayo: 1. Paul Kagame - 59% 2. Uhuru Kenyatta...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wafungwa watendewe haki, ni binadamu kama walivyo wengine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Majaji na Kamishna Jenerali wa Magereza leo tarehe 29 Agosti, 2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Viongozi watakaoapishwa ni: A. MAGEREZA Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza, SACP Mzee Ramadhani Nyamka, kuwa Kamishna Mkuu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya uzalendo kwenye mioyo ya watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe

    Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwa Sasa kuwa mh Rais mama Samia amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo kwa watanzania katika kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe. Watanzania kwa Sasa wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais wetu na dhamira yake katika kuijenga Tanzania iliyo...
Back
Top Bottom