rais

  1. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais awasili Rwanda kumuwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Afrika

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi anazungumzia Ripoti ya CAG iliyosababisha Mkurugenzi wa ZAECA ajiuzulu

    RAIS wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Mwinyi, leo Septemba 05, amezungumza na wanahabari kuhusiana na masuala mbalimbali ikiwemo Ripoti ya CAG ya Mwaka 2021. RAIS MWINYI: NAANZA ZIARA ZA KUSHTUKIZA TAASISI ZA UMMA Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameahidi...
  3. JamiiForums Tanzania Muswada wa kupunguza mamlaka ya Rais wa Sri Lanka mbioni kuwa sheria

    Waziri wa Mambo ya Nje, Ali Sabry amesema muswada wa marekebisho ya #Katiba unaopunguza mamlaka ya Rais na kurejesha utawala shirikishi unatarajiwa kuwa sheria katika wiki chache zijazo SriLanka pia iko katika mchakato wa kuandaa sheria mpya ya kupambana na ugaidi ambayo itaambatana na kanuni...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto: Maamuzi ya mahakama tunamuachia Mungu

    "Sisi ni watu ambao tunamtambua Mungu, maamuzi yatakayoenda kutolewa kesho tumemuachia Mungu na viongozi wa mahakamani waamue na kenya iweze kwenda mbele". "Mimi naomba kwa heshima kubwa mumuombee Kenyatta hasa katika kipindi hiki cha transition, Mungu amsaidie ampatie hekima, kuwe na...
  5. JamiiForums Tanzania Siyo sahihi kumuita Rais Samia "Mama"

    Imezoeleka na kulazimishwa na CCM kwamba watanzania wamuite Rais wao "mama" badala ya "Mheshimiwa Rais" ama "Ndugu Rais". Madhara ya kumwita Rais Mama ni pale anapoona kama vile anaowaongoza ni watoto wake na yeye ni mlezi katika misingi ya umama badala ya usimamizi wa serikali kama Rais...
  6. JamiiForums Tanzania PM Majaliwa: Rais Samia amerejesha amani kwa Watanzania

    "....tumpongeze Rais Samia kwa kurejesha amani kwa Watanzania. " Hayo ameyasema huko Kizimkazi, Zanzibar. NB: Lini amani ya Watanzania ilitoweka...?!
  7. JamiiForums Tanzania Donald Trump amtaja Rais Joe Biden kuwa ni ‘adui wa taifa’

    Donald Trump amemuita Rais wa Marekani, Joe Biden kuwa ni ‘adui wa taifa’ na akimshutumu kuwa anatumia Idara ya FBI kumdhibidi. Amezungumza hayo katika mkutano na wafuasi wake uliofanyika Pennsylvania, akidai alichofanyiwa na FBI ni moja ya unyanyasaji wa kushtua katika historia ya Marekani...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia ukijisikiliza hapo huwa unajiasikiaje?!

    Tuiogopeni technology hakika!
  9. JamiiForums Tanzania Kagera: Kinana aishukuru serikali ya Uchina na Rais Samia kwa kujenga Chuo kikubwa cha VETA Ukanda mzima wa Magharibi kwa Tsh. 22.3b.

    Kinana aishukuru serikali ya China kufanikisha ujenzi wa VETA Kagera Na mwandishi wetu, Kagera Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ameishukuru serikali ya China kwa kufanikisha ujenzi wa Chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi...
  10. JamiiForums Tanzania Kunani Zanzibar? Ina eneo dogo kuliko Dar es salaam, lakini Rais anahangaika kuiongoza, vikao na waandishi wa habari,fukuza nyingi

    Kwa jinsi Zanzibar ilivyo, nadhani Ina ukubwa sawa na Dar es salaam. Lakini naona Rais Mwinyi kama ana "struggle " kuiongoza. Kuna mawili, anataka publicity au ameshindwa kufit katika jamii ya wazanzibari. Rais Mwinyi anaitisha vikao na waandishi wa habari kuliko hata Rais yeyote wa afrika...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia anasemaje

    Rais amesikia sauti zenu jamani kumbe Bunge la mitandaoni ni kubwa
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi, Septemba 3, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi (Kizimkazi Day) leo tarehe 03 Septemba, 2022.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana mkosi?

    Tangu aingie madarakani nchi imekumbwa na hali ya ukame, mwaka huu mavuno yamegoma karibu nchi nzima na tayari bei za mazao zimepanda sana hatujafika hata mwezi wa 10. Mbaya zaidi jana TMA wametabiri kuwa msimu wa mvua utakao anza mwezi November utakuwa na mvua za chini ya kiwango na huenda...
  14. JamiiForums Tanzania Kizimbani kwa kujifanya yeye ni Rais Samia na kujipatia Tsh 40,000/-

    Mfoi alikiri hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Richard Kabate wakati Wakili wa Serikali, Ashura Mzava, akimsomea mshtakiwa maelezo ya awali, baada ya upelelezi wa kesi hiyo kukamilika. Mshtakiwa, anadaiwa kujiwasilisha kuwa yeye ni Rais Samia na kutumia...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa nyanda za juu kusini wanasema Mama ametufikia na kutujaza matumaini, wanauliza nani hajafikiwa na mama?

    Ndugu zangu huo ndio msemo mpya ulioibuka huku mtaani kwa kundi kubwa la wakulima ambao kwao kilimo ndio pumzi yao, wanasema hakika Mh. Rais Samia amewafikia kwa wakati na kuwajaza matumaini katika mioyo yao. Hii imetokana na kuwasili kwa wakati kwa mbolea za ruzuku zinazouzwa kwa bei elekezi...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Ondoa posho za wabunge na mawaziri, shusha mishahara yao peleka kwenye vifaa tiba kwa ajili ya wananchi!

    Waziri wa afya ameshatoa yake kuhusu shirika la Bima NHIF kushindwa kujiendesha na kuelemewa na mzigo. Muathirika mkubwa ni mwananchi wa kawaida kwasababu wafanyakazi na wanasiasa hawatokosa fedha za matibabu! Ili kusaidia, fedha za posho za wanasiasa fyeka zote peleka kwenye madawa na vifaa...
  17. JamiiForums Tanzania Myanmar: Kiongozi aliyeondolewa madarakani afungwa miaka mitatu, tayari anatumikia mingine 17

    Mahakama inayosimamiwa na Jeshi imetoa hukumu hiyo dhidi ya Aung San Suu Kyi ambaye tayari anatumikia kifungo kingine cha miaka 17 kwa makosa 11, endapo atakutwa na hatia kwa makosa mengine, anaweza kufungwa hadi miaka 200. Suu Kyi na wanachama wengine 12,000 wa chama chake wamefungwa jela...
  18. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan - Zanzibar, leo Septemba 2, 2022

    Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan - Zanzibar, leo Septemba 2, 2022 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni amesema kuwa kupitia mfuko wa tozo, Wizara ya hiyo inajipanga kujenga vituo vya polisi na makazi ya askari 51780 nchi nzima. Mpango wa awali wa wizara hiyo ilikuwa ni kukamilisha...
  19. JamiiForums Tanzania Urusi: Rais Putin hatohudhuria mazishi ya Gorbachev

    Taarifa ya Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov imeeleza kuwa Rais Vladmir Putin amebanwa na ratiba nyingine hivyo hatoweza kufika tukio la kuaga mwili wa Kiongozi huyo wa mwisho wa Umoja wa Kisovieti aliyejipatia sifa nyingi kutoka Mataifa ya Magharibi. Gorbachev, ambaye alifariki Agosti 30,2022...
  20. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Kauli ya kumshukuru Rais kwa kutoa pesa isitugawe Watanzania

    Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kufahamu kwanini viongozi wanapenda sana kumshukuru Rais kwa kutoa fedha huku watu wanaochanga ni wananchi, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba amesema sifa hizi hutolewa kwa kuwa Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi. Amesema kuwa hii haiondoi ukweli kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…