rais

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia kwa kusimama na wakulima kwa kuwaruhusu kuuza mahali popote palipo na Bei nzuri

    Ndugu zangu Sote tunafahamu kuwa secta ya kilimo katika nchi hii imeajiri na kubeba kundi kubwa Sana la watanzania, Ni secta ambayo ndio pumzi ya familia na Kaya nyingi, Ni secta inayotegemewa na watanzania wengi Kama shughuli kuu ya kiuchumi, Ni kimbilio la wengi, Ni ngazi ya wengi, Ni njia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangazwa tena mshindi wa tuzo mbili za kimataifa

    Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan ametangazwa na Jumuiya ya Kimataifa ya Watetezi na Amani kuwa mshindi wa tuzo mbili za kimataifa ikiwemo ya amani duniani 2022. Tuzo nyingine aliyotangazwa kuwa mshindi ni Rais wa kwanza mwanamke barani Afrika kuipata ni tuzo ya Rais wa Dhahabu ya Malengo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mjue Paul Biya, Rais mzee zaidi Barani Afrika

    PAUL BIYA: RAIS MZEE ZAIDI BARANI AFRIKA Jina kamili: Paul Barthélemy Biya'a bi Mvondo Ana miaka 89 Ni Rais wa Cameroon tangu Novemba 6, 1982 Amewahi kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 7 2008 Aliondoa Ukomo wa kukaa Madarakani ili atawale kwa muda anaotaka 2018 alishinda Urais kwa 80% dhidi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mexico yathibitisha kudukuliwa taarifa za afya za Rais pamoja na Jeshi

    Kundi lililofanya udukuzi kwenye nchi za Amerika Kusini limetajwa tena kuhusika na udukuzi na wizi wa data, ikiwemo taarifa za ya hali ya moyo wa Rais Andres Manuel Lopez Obrador pia yaliibwa. Mexico imethibitisha kwamba ilikumbwa na udukuzi mkubwa wa data zinazotunzwa na jeshi, ikiwa ni pamoja...
  5. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Raid Vladmir Putin kuidhinisha kura ya Maoni kutwaliwa kwa Donbass

    HOTUBA YA RAIS VLADMIR PUTIN KUIDHINISHA KUTWALIWA KWA DONBASS. Watu wa Donbass wamefanya chaguo lao, chaguo lisilo na utata, Tutawakumbuka daima mashujaa wa "Russian Spring". Hakuna Umoja wa Kisovieti, zamani haziwezi kurudishwa, na Urusi ya kisasa haihitaji hii, hatujitahidi kuirejesha kwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amefanikiwa kujenga matumaini katika Mioyo ya Watanzania, Ndio Sababu ya kutamalaki kwa Amani na Utulivu hapa nchini

    Ndugu zangu Ni ngumu Sana kuongoza watu walio kata tamaa,walio jaa hasira , wanaolia na kuvuja machozi mioyoni mwao, Ni ngumu kuongoza na kusikilizwa na watu wasioona mbele kwa matumaini, Ni ngumu Taifa kutulia na kuwa lenye amani na mshikamano ikiwa limejaa watu ambao hawajuwi hatima ya maisha...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa changamoto inayowapata vijana wanapotaka kuongeza jamii inatonakana na uwepo wa lishe duni. Ametolea mfano wa matumizi makubwa ya vumbi la mkongo na supu ya pweza kwa vijana wa kiume, pamoja na matumizi makubwa ya chips...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Wakuu wa wilaya nchini wameacha kufanya kazi kwa hofu ya kuondolewa au kuhamishwa vituo vya kazi. “Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka. Sikusema nitawabadilisha leo au kesho, kwahiyo kama hamfanyi kazi hao ndiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, katika Jengo la Kitega Uchumi jijini Dodoma Ummy Mwalimu - Waziri wa Afya Lishe bora ni msingi wa afya na uchumi wa mtu mmoja, familia...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa mbali na kwamba ninakipato, lakini kipato changu kinaishia kwenye kula tena kwa kukatisha milo, Je,lipi bora, nilipe ada tufe au tule tuish

    Kwa jinsi ilivyo kwa sasa, huwenda nawakilisha wananchi wengi mamilioni kwa mamilioni wenye swali kama hili Maisha yamekuwa ghali sana kushinda vipato vyetu, Wengi wetu, vipato vyetu haviruhusu kucheza mbali na kula tuu, na hapo ni kwa kukatisha Milo, kama mtu kwa kipato hikihiki ambacho...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi ateua Mrajis wa Mahakama Kuu Zanzibar

  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alituliza Taifa

    Tukubali tukate lakini ukweli utabaki kuwa huu kwamba tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu amefanikisha kulituliza taifa na kuhakikisha tupo salama. Maswali ya wengi yalikuwa angewezaje? Lakini kwa uwezo wa Mungu na utendaji kazi wake kwa kuzingatia maadili na uongozi bora, Rais Samia...
  13. JamiiForums Tanzania Kamala Harris atembelea Korea Kusini, Korea Kaskazini walipua makombora baharini

    Kama ilivyokua kwa Pelosi kuitembelea Taiwan ambapo Wachina walijibu kwa kupiga bahari kwa makombora, ndivyo imekua kwa Korea Kaskazini kuonea bahari kwa kuipiga kwa makombora kisa makamu wa rais wa USA ametembelea Korea Kusini. ======= US vice president Kamala Harris arrived South Korea a...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu Ni kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii, Hana sifa za kiuongozi za kuwa Mkuu Wa nchi

    Ndugu zangu huo ndio ukweli kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii ya Tanzania, Hata Kama angezaliwa kabla ya Uhuru na kuwepo wakati huo na ikatokea uchaguzi, bado Lisu asingepewa nafasi ya kuwa Mkuu Wa nchi Hii ya Tanzania, kwa kuwa anakosa sifa za kiuongozi anazopaswa kuwa nazo Mkuu Wa...
  15. JamiiForums Tanzania Awamu ya Kwanza hadi ya Nne serikali ilitoa fedha za miradi, awamu ya Tano na Sita anatoa Rais - kwanini?

    Wadau Nawasalimu. Naomba kupata Ufafanuzi juu ya Utoaji wa Fedha za Serikali kwenda kwenye Miradi ya Serikali. Kwanini Siku hizi Hatusikii tena kuwa SERIKALI imetoa Sh.kadhaa kwa ajili ya Mradi fulani badala yake ANATAJWA MTU kuwa katoa hizo Fedha Je hizo Fedha ni Zake Binafsi au za SERIKALI...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ni kuwa Tundu Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, hana sifa za kuwa Mkuu wa Nchi

    Tundu lisu Hawezi akawa Rais wa Nchi hii ya Tanzania, Hata Kama angezaliwa kabla ya Uhuru na kuwepo wakati huo na ikatokea uchaguzi ,bado Lisu asingepewa nafasi ya kuwa Mkuu wa nchi hii ya Tanzania kwa kuwa Lisu anakosa sifa za kiuongozi anazopaswa kuwa nazo Mkuu Wa nchi. Tundu Lisu ni Mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna kuingia Mikataba pasipo kumshirikisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili leo tarehe 29 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Prof. Ibrahim Juma - Jaji Mkuu Haitoshi kuwa na sheria nzuri ambayo haitimizi malengo ya kutungwa kwake. Zipo...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kumaliza changamoto ya huduma ya maji mjini Mtwara

    RAIS SAMIA KUMALIZA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA MAJI MJINI MTWARA Serikali imetoa shilingi bilioni Kumi na Tisa kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mtwara (MTUWASA) ili kufumua mfumo wa usambazaji wa maji ambao ni chakavu na kuweka mpya. Hatua hiyo itataua kero ya upatikanaji wa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kutoka Serikali imefanya, hadi Rais ametoa

    Kuna upotofu Fulani ulianza toka enzi za Raisi aliyependa kuabudiwa JPM na sasa umekuwa ndio utaratibu. Utasikia Raisi Katoa PESA kadhaa mara Raisi katafuta PESA kuafanya kitu kadhaa. Hivi Rais Katoa wapi hizo PESA kama sio Kodi yangu? Hivi ikiwa Raisi kakopa PESA wakulipa ni nani kama sio...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Yoweri Museven: Wabunge wa Bunge la Ulaya wapunguze ujuaji

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amelikosoa bunge la Umoja wa Ulaya baada ya kuitaka serikali yake kusitisha mradi wa kimkakati wa bomba la mafuta na nchi jirani ya Tanzania. Wiki mbili zilizopita wabunge wa Umoja wa Ulaya walipitisha azimio la onyo la ukiukwaji wa haki za binadamu na hatari ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…