MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amewataka Wanawake nchini kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa watoto wa kike wanapata elimu iliyo bora ili waweze kushindana kwenye soko la ajira sambamba na kushika uongozi kwenye nafasi mbalimbali.
Ditopile ametoa kauli...
Mimi Makonda ni mdogo wangu kiumri na hata kiutumishi. Nilikuwepo wakati akihudumu kama mkuu wa mkoa wa Dar. Ni kijana shupavu asiyeyumba katika jambo analoliamini.
Makonda alisaidia sana Jiji la Dar kuwa salama alikimbizana Sana na wauza madawa pamoja na waliotelekeza watoto. Alilimudu Jiji...
Lengo namba nne la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya mwaka 2030 ni kuhakikisha watu wote wanapata elimu bora, yenye usawa na kutoa fursa kwa wote kujiendeleza na kufikia vipawa vyao kikamilifu. Ili kufikia lengo hilo, mamlaka zinatakiwa kutoa fursa sana kwa wavulana na wasichana, kuongeza idadi...
Kufuatia mashambulio makubwa ya anga kote Ukraine leo, Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alionya "kutakuwa na mengine". Akiandika kwenye mitandao ya kijamii, mshirika wa karibu wa Rais wa Urusi Vladimir Putin aliashiria kwamba kuongezeka kwa mashambulizi kunaweza kuwa mwanzo wa kuongezeka...
Hawa ni kama hawapo duniani. Bado siku 6 kufungua vyuo, hawajatoa matokeo ya mitihani ya vijana. Ni uzembe mkubwa, wanawaweka watoto katika wakati mgumu na wazazi kujiandaa na malipo yajayo maana huwezi kufanya lolote kabla ya matokeo.
Tumelalamika wameziba masikio kwa dharau!
Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na makazi bure ili waende kuishangilia tena Al Hilal.
Na haya ndiyo majibu ya mashabiki wengi wa Al...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali kama ifuatavyo:
Amemteua Dkt. Boniphace Christopher Luhende kuwa Wakili Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huu Dkt. Luhende alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa...
SIKU 558 ZA SAMIA MADARAKANI MISINGI YA FALSAFA ZA UCHUMI KUONGOZA UCHUMI ZAFANIKIWA- MWENEZI SHAKA
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa...
Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa.
The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani!
Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na...
Kwa mujibu wa Ofisi ya Rais, tayari Polisi wameanza kuwahoji maafisa wa Idara ya Udhibiti wa Dawa (MCA) na waagizaji Dawa zinazotajwa kusababisha vifo hivyo.
Kwenye taarifa ya Ikulu, Rais Adama Barrow amesema tayari wamefuta leseni za waagizaji wa dawa waliotuhumiwa kwenye sakata hilo na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Baraza la Maulid kitaifa leo tarehe 09 Oktoba, 2022 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
Samia Suluhu Hassan - Rais
Sina shaka tutakwepa pamoja, na waziri wa Afya yupo hapa, tutakwenda pamoja kwenye...
DKT. SAMIZI ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA BARABARA NA MADARAJA ILIYOJENGWA KWA FEDHA ZA SERIKALI YA RAIS SAMIA.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt Florence George Samizi kipindi hiki cha mapumziko ya Bunge ameendelea kufanya ziara Jimboni kwa kufanya shughuli za maendeleo...
Ni maadui watatu waliotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere tangu tunapata uhuru – ujinga, umaskini na maradhi. Hadi anazikwa kijijini kwake Butiama Oktoba, 1999, maadui wa Taifa walibaki ni walewale watatu.
Na kuna viongozi wengi waliopita walijitahidi kupambana na hawa maadui zetu...
Angalizo:-
Huu sio uzi wa kidini, ila nitatumia Biblia na vifungu vyake kukuelekeza ni kwa jinsi gani unaweza kupeta kibali, upended, uteuzi, vyeo nk kutoka kwa rais.
KIBALI:-
Kibali ni upendeleo wa Kimungu unaokupa nguvu ya kuingia popote na kupata utakacho. Ndani ya nchi rais ndiye mtu mkubwa...
Wadau Nawasabahi
Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI?
Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
Ndugu wanaJF na Watanzania kwa ujumla amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja KWa imani yake.
Husika na mada tajwa hapo juu, Matabaka ya elimu Tanzania limekua zimwi linaloendelea kututafuna Kama watanzania hasa kwa vijana wetu katika level tofauti za elimu nchini hasa huku chini kwenye...
Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema, Rais Samia amejitoa na kujitolea kwa moyo wake wote kututumikia Watanzania kwa dhati ya moyo wake. Ni kiongozi ambaye mawazo yake yapo katika kuona kila siku walau maisha ya mtanzania mmoja au kundi la watanzania linainuka kiuchumi, wakati Mtanzania...
Siku ya jana katika kuadhimisha siku ya walimu Duniani, nimekutana na jumbe nyingi zinazoonyesha uelewa wa Watanzania juu ya kazi ya utekelezaji wa miradi katika Elimu inayofanywa kwa weledi chini ya Uongozi wa serikali ya awamu ya sita, tuangazie baadhi ya mambo;
1.Ujenzi wa Shule mpya za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.