Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania tunaelewa kazi kubwa uliyonayo.
Tunaelewa lawama unazobeba kwakua ndiye Rais wa taifa letu.
Tunaelewa kazi kubwa unayofanya ya kututafutia fedha za miradi nje ya nchi. Tunaelewa jinsi ilivyo kazi kutafuta Fedha yoyote ile iwe ya mkopo au ya msaada...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Manyara katika Mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Kwaraa leo tarehe 23 Novemba, 2022
SEHEMU YA HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, SAMIA SULUHU HASSAN
Kilimo, Mabadiliko ya...
Hivi ni taarifa ya Mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika ujenzi wa kituo cha Afya NTUNTU.
👇👇
Nawasalimu sana wandugu.
Ninaomba niwajulishe jana tarehe 21 November 2022 nilifanikiwa kufika Ntuntu na kukagua Ujenzi wa Kituo cha...
Nchi imekwama, kila kitu kimekwama, si maji wala umeme, si mvua wala chakula, si biashara wala viwanda,
Kila unapogusa pa moto,
Alipoteuliwa huyu dada yetu jina kapuni kwenda kukaa Ikulu yetu kutokea hapo BBC nikajua walau mambo yatakuwa sawa, tutatembea ki Uwingereza wingereza!
Kipindi cha...
Leo Novemba 22,2022. Rais Samia Suluhu amezindua ghala lenye uwezo wa kuhifadhi nafaka tani 25,000 pamoja na vihenge vyenye uwezo wa kuhifadhi tani 15,000 ambavyo vyote kwa pamoja vina uwezo wa kuhifadhi tani 40,000. Lengo la Serikali ni kujenga maghala mengi zaidi nchini ili kuongeza uwezo wa...
Vijana wanne kwa kila wilaya wameandaliwa kufanya maandamano Mkoani Dodoma baada ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa UVCCM.
Maandamano hayo yatakuwa ya kuonyesha vijana wanamuunga mkono Mama Samia awe mgombea pekee wa CCM Mwaka 2025.
Pia vijana hao watatoa tamko kali sana kwa wanaompinga Mama Samia...
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.
DKT BASHIRU, SONGA MBELE
Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.
Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.
Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
Halafu wakiwa nawe katika Hafla zako wanajifanya Kukupenda na Kukusifu.
Na ni hawa hawa wakipelekewa tu Mic na Waandishi wa Habari wanajitutumua Kukupongeza huku wakisema kuwa Unaupifa mwingi.
Tena kuna hawa Saba (7) kila nikibahatika Kuwasikia wakiwa Vijiweni Kwao (Mwao) pale Bahari Beach...
Watanzania Acheni ubaguzi na undumila kuwili, mnajifanya majizi na viziwi na vipofu. Hii tabia ya kujizima data itawacost sana mmesahu aliesema hata msipoigia kura CCM Bado CCM itashinda tu, na sio nongwa maana pia maoni yake kwa wakati huo.
Tangu lini Katibu Mkuu wa CCM anaibeba legacy ya...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika Jumanne tarehe 22 Novemba, 2022 Dodoma.
Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya kumlinda. Mzee naye akishaonyeshwa mpunga, huwa anaropoka haraka sana.
Polepole alikuwa na Warioba...
Hamna haja ya kuendelea kuzungushana DRC, muda umefika wa kulazimisha amani, hutaki sepa.... Na ukizingua unakumbana na mkung'uto..
Kenyan President William Ruto on Monday said the East African Community (EAC) troops deployed in the Democratic Republic of Congo would ‘enforce peace’, not ‘keep’...
Kwa utaratibu wa siasa za Kiafrika ninashauri haraka iwezekavyo katiba ya nchi ibadilishwe na kiongozi yeyote wa chama asiwe au asichaguliwe kuwa Rais wa nchi.
Utaratibu uliopo ni ndoto nchi kupata maendeleo na ni ngumu kuondoa rushwa kwenye jamii. Kiongozi wa chama awe kiongozi wa chama ila...
Ndugu zangu pamoja na kusikitishwa Na maneno ya mh Dr Bashiru nilishindwa kuandika mawazo yangu mapema kutokana na kusumbuliwa na kioo Cha simu ambacho kinaweka ukungu na hivyo kuwa ngumu kuandika. Na nitakapokuwa nimekosea masuala ya herufi nisamehewe
Ndugu zangu maneno ya Dr Bashiru katibu...
Nimeona mwana-CCM mmoja amevaa t-shirt yenye maneno hayo muda si mteu hapa Dodoma mjini.
Swali ni je, tuko kwenye kampeni?
Pili, kwasababu uchaguzi uliopita Samia hakugombea uraisi, bali alikuwa mgombea mwenza, Sasa najiuliza, hizi t-shift zimetengenezwa lini na kwa lengo gani?
Wapinzani...
Kwako mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu Hassan tunakuomba sasa ufufue ule mjadala wa nchi kujiunga kwa mkataba wa EPA.
Binafsi naona hakukua na mjadala mpana na wenye tija juu ya nchi kuridhia au kutoridhia zaidi sana naona tuliongozwa na ushabiki kuliko facts.
Ni vizuri sasa tufanye review ya...
Hili ono haliishi kunijia, nami, kwa upendo mkuu, nakufikishia Rais wangu mpendwa.
Tafadhali fanya kitu pale jangwani; ondoa mateso ya mafuriko kila mwaka tangu tupate uhuru na badala yake ligeuze liwe eneo la kufurahi na kiuchumi, yaani 'kijiutalii' fulani hivi.
Mama uwezo (fedha au mbinu za...
Ni wazi kwamba watu wenye uroho wa madaraja, wanayataka hata kama eakimeaga damu, ambao walikuwa hawamtaki SSH, na Wana kundi lao dogo sana linaloongozwa na NDULI Bashiru (chasaka wa kisiasa, alikuwa CUF, mpaka leo ana kadi huko)na Mpina.
Linazama majini kujificha pumzi ikikata linaibuka juu...