rais

  1. Billal Saadat

    JamiiForums Tanzania Wasifu kwa minajili ya kutunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi kwa Rais Samia Suluhu

    Mheshimiwa Mkuu wa Chuo Kwa heshima na taadhima, pia kwa unyenyekevu mkubwa,ninaomba niwasilishe taarifa kumhusu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kwa minajili ya kuifahamisha hadhira hii kwa nini mwisho wa maelezo haya nitakuomba umtunuku Shahada ya...
  2. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jiang Zemin aliyekuwa Rais wa China afariki dunia akiwa na miaka 96

    Aliyekuwa Rais wa China bwana Jiang Zemin amefariki dunia leo alfajiri mjini Shanghai China akiwa na umri wa miaka 96. Taarifa kutoka vyombo vya utawala vya China [ kamati kuu ya Chama cha kikomunisti cha China, kamati ya kudumu ya bunge la taifa la China , Baraza la mashauriano ya kisiasa na...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Angola: Serikali yaidhinisha kukamatwa mtoto wa Rais wa zamani, Dos Santos

    Mwanasheria Mkuu, Helder Pitta Groz amethibitisha taarifa za Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol) kumtafuta na kumkamata Isabel dos Santos, mtoto wa Rais wa zamani wa nchi hiyo. Isabel ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Mali na Ubadhirifu wa Fedha za Umma wakati Mwenyekiti wa kampuni ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atetemesha, apongezwa kila kona kwa uzalendo wake wa kutanguliza mbele taifa

    Ndugu zangu Rais Samia Ameendelea Kudhihirisha kwanini anapendwaa na kukubalika na watanzania,Amethibitisha sababu za mamilioni ya watanzania Kuendelea kumwamini na kumuunga mkono katika juhudi zake za kulijenga Taifa,Amethibitisha sababu za Tanzania Kuendelea kuwa yenye Amani,utulivu ...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

    RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 10 UWT JIJINI DODOMA. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akifungua Mkutano Mkuu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya Rais Samia kwa Watanzania

    Rais Samia akiwa njiani kuelekea Dodoma alisimama katika Halmashauri ya Wilaya Chemba kusalimiana na wananchi na kusema "Ahadi yetu kwenu tutarudisha kuwatumikia wananchi na kuondoa changamoto zinazowakabili hii ndio ahadi yetu kwenu"-Rais Samia Suluhu. Changamoto zinazowakabili watanzania...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Comoro afungwa maisha kwa kuuza 'Passport' kwa wasio raia

    Mahakama imetoa adhabu hiyo kwa Ahmed Abdallah Sambi aliyekuwa Rais mwaka 2006 - 2011 baada ya kumkuta na hatia ya Uhaini dhidi ya Serikali na Nchi. Kwa mujibu wa Mashtaka, Kiongozi huyo amekutwa na makosa ya kuuza Hati za Kusafiria kwa watu wasio na Uraia pamoja na Ubadhirifu wa Tsh. Trilioni...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kazi za Rais na Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni zipi?

    Kwa wale wabobezi wa jinsi Serikali ya JMT inavyofanya kazi mnaweza kutusaidia kutuelezea job descriptions za Rais na Mawaziri wake. Na ikiwapendeza mnaweza kuongezea na zile za Wakuu wa Mikoa na Wilaya zetu. Nauliza hivi ili tusiyojua, tujue ni nani tumpongeze au tumlaumu punde viongozi hawa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wakulima waapa kumpigania na kumuunga mkono Rais Samia na CCM

    Ndugu zangu hiyo ndio kauli ya wakulima. Ndio kauli ya pamoja, Ndio msimamo wa wakulima, Ndio uamuzi wa wakulima, Ndio Hitimisho la wakulima. Wakulima wanasema na kuapa kuwa watamuunga mkono Rais Samia katika uongozi wake wa kuendesha serikali yake ya CCM, wameapa kumpa ushirikiano wa kutosha...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burundi aipongeza benki ya CRDB

    Rais wa Jamhuri ya Burundi, Evariste Ndayishimiye akiwa kwenye mazungumzo na ujumbe wa Benki ya CRDB, ulioongozwa na Mwenyekiti wake, Dkt. Ally Laay na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakati walipomtembelea kwenye makazi rasmi yaliyopo eneo la Kiriri, Bujumbura, Novemba...
  11. J

    JamiiForums Tanzania KISONGO: Maelfu wakanyagana wakitaka kumwona Rais Samia Suluhu yeye awaombea kwa Mungu na kuwaahidi makubwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wananchi wa Kisongo Wilaya ya Arumeru Magharibi alipokuwa njiani akirejea mkoani Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi Mkoani Arusha tarehe 27 Novemba, 2022.
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kutana na Rais wa wanaume wanaopigwa na wake zao, Ndg Komba

    Wanaume tumeumbwa kuzitawala nyumba zetu. Na hili ni pamoja na mke na watoto na wote wanaolala nyumbani mwako. Na hii ndio maana ya kichwa cha familia. Kuna huyu Ndg Komba, yeye si kichwa bali mkia wa familia. Anaeleza kuwa , huwa anasokomezwa makonde mazito mazito na mkewe! Mimi bado...
  13. Maria Nyedetse

    JamiiForums Tanzania Mama yetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT

    SALAM, Leo naomba kumwandikia MAMA YETU KIPENZI MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN kama mwanaye na mwananchi mwenye UCHUNGU NA NCHI YAKE... Mheshimiwa Rais, kwa hakika naomba kukiri kuwa toka umechukua nchi umetekeleza sera ya kuongeza fedha kwenye mzunguko yaani expansionary monetary and fiscal...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Kupinga uchaguzi wa rais Brazil inaruhiswa ila ukipeleka ushahidi wa mchongo na ukashindwa unapigwa fine

    https://www.yahoo.com/news/brazil-election-court-throws-bolsonaro-144821018.html
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Namlaumu Rais wa awamu ya kwanza

    Habari, Kwangu mwalimu Nyerere namlaumu na nitaendelea kumlaumu kabisa yeye ndio chanzo cha haya yote yanayotea hapa Tanzania. Ilikuwaje kama yeye Rais baada ya uhuru asingeibadilisha katiba? Na bado akaendelea kutumia katiba ile ile? Hapa nahisi huyu Rais ni wa mchongo kwa maana aliwekwa na...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli na uwazi wa serikali ya Rais Samia umeleta utulivu na Amani, Kuaminika na Kuungwa Mkono na watanzania

    Ndugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia. Watanzania wanafahamishwa na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali iheshimu Katiba maana wewe umekuwa Rais by Default kwa Katiba kuheshimiwa na kupiganiwa, ipiganie Katiba

    1. Ruhusu mikutano ya Siasa iendelee maana iko Kikatiba na kisheria. 2. Heshimu Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo 3. Waondoe akina Halima na wenzake bungeni. hawana uhalali wa Kikatiba na Kisheria kuwa pale na wewe unajua fika...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Kiafrika hadi raha, baba Rais na mwanaye makamu, waendelea kuongoza

    Rais na mwanaye kama makamu waendelea kuongoza Equatorial Guinea, Rais huyo mwenye umri wa miaka 80 ndiye anaongoza duniani kwa kushikilia madaraka kwa muda mrefu kwenye hiyo nchi yenye umaskini uliokubuhu licha ya uwepo wa mafuta mengi. Afrika yetu patamu, Wazungu na mabeberu watuache na...
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Magufuli alijitoa nafsi yake kuwasaidia Watanzania. Rais Samia anajitoa nafsi ili achaguliwe tena 2025

    Rais Samia ana bidii kubwa katika kufanya kazi lakini siyo kwa sababu zilezile za Magufuli. Wanafanya kazi ambayo kimsingi ni ni ile ile lakini kwa sababu tofauti Nimeona sometimes watu wanampinga Rais Samia nimejiuliza hawa watu wanatania au vipi? Lakini naona tofauti katika utendaji kazi wa...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Malawi: Makamu wa Rais akamatwa kwa tuhuma za kupokea Rushwa

    Taasisi ya Kupambana na Rushwa (ACB) imesema Saulos Klaus Chilima alipokea Tsh. Milioni 651.5 ili kutoa kandarasi za Serikali kwa mfanyabiashara Zuneth Sattar. Makamu wa Rais anakabiliwa na mashtaka 6 yanayohusiana na Rushwa, huku mfanyabiashara Sattar aliyekamatwa nchini Uingereza Oktoba 2021...
Back
Top Bottom