rais

  1. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awastukia Chawa, aanza kufuata ushauri wa Askofu Bagonza

    RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kuruhusu kukosolewa baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi na viongozi wa dini kuwa amezungukwa na watu wanaomsifu kama njia ya kumdanganya asione changamoto za nchi. Hatimaye sasa Rais Samia amewastukia watu hao na kuruhusu rasmi kukosolewa kama...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

    Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa. Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, wahafidhina ndani ya CCM, wameafiki Kwa shingo upande, maamuzi ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa, Kwa vyama vyote?

    Nimeisikiliza Kwa makini Sana hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa Leo, huko Ikulu, wakati anaongea na viongozi wa vyama vya siasa nchini. Kwa kweli Sina budi kumpongeza Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Kwa msimamo wake Kwa kueleza kuwa kama Taifa, inabidi tujenge mshikamano, umoja na...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aitwe na kutambuliwa kama Mama wa Taifa

    Ndugu zangu watanzania, Nashindwa nianze na lipi juu ya kumuongelea Rais huyu shupavu, Hodari, Mahiri, mnyenyekevu,mwenye moyo wa upendo,huruma na ukarimu, Msikivu na mwenye Subira, madhubuti na Imara, mwenye msimamo na asiye yumba, mwenye Dira na muelekeo sahihi, mwenye Sera na ajenda za...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuisema tu Serikali ina madeni, atakuja mwenye Serikali yake na yeye aje akusute

    Akiwa kwenye mkutano na Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa Rais Samia amesema ni kweli serikali hii ina madeni lakini watu wasiishie tu kusema hivyo, bali waseme pia kwenye uchambuzi madeni hayo yamefanya nini. Akiongeza kuwa serikali ikifanya vizuri watu wasisite pia kusema kuwa serikali...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaweza akastahimili lakini chawa wake anaweza asistahimili

    Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania. Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo mkubwa wa ustamihilivu kama aliyokuwa nayo, sababu yanampata lakini anakaa kimya lakini chawa wake...
  7. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Jumanne nyeusi kwa Rais Samia inakuja

    ANGUKO LA UCHUMI KWA TAIFA LA MAREKANI (1929~1933) Aliyeitwa Herbert hoover aliyekuwa na miezi nane tu kwenye uongozi wake kutokana na kutokujuwa vema nini maana ya urais wa marekani uchumi ukaanguka, siku ambayo wao waliyoitaja kama jumanne nyeusi hali ilikuwa mbaya zaidi 0.75 walipoteza...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Hongera TRA, hongera Rais Samia

    Kuna mambo tunatakiwa kupongeza kama tunavyokosoa. Kiukweli kwenye swala la ukusanyaji kodi toka Rais Samia aingingie Madarakani yuko vizuri! Kuna watu wanaleta propaganda kwamba bandarini tunaibiwa Sana lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mwezi huu wa 12 kavunja record yake ya mwaka...
  9. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kuna atakayethubutu kuikemea Ofisi ya Msajili wa Vyama hasa Naibu mbele ya Rais hapo kesho?

    Wakati bado najiuliza nani ataenda kuiwakilisha NCCR Magaeuzi kwenye kikao cha viongozi wa vyama vya siasa na Mh Rais, ila bado napata swali mwenyewe! Hivi walivyo wanasiasa wetu kesho unatarajia nn? Kusifia tu na kuwa wapole ama watathubutu ata kukemea vitendo vya Naibu Msajili wa vyama vya...
  10. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya Freeman Mbowe akiwa na Rais Samia waliyopiga Ikulu inaonesha asali nyuma

    MADAI Kumekuwepo na picha inayozunguka mtandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo kukiwa na chombo chenye asali ndani yake. Ukweli wa picha hii upoje? Picha inayodaiwa kuwa na chombo chenye asali Picha...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nampa 100% Rais Samia

    Kongole Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Umeifungua Tanzania, Watalii wanamiminika wa kutosha, umemwaga ajira, umepandisha madaraja kwa watumishi sasa ni neema tupu. Umeboresha huduma za Jamii, sasa elimu bure Darasa la (I) kwanza hadi kidato cha Sita (VI) Mikopo ya kutosha kwa wanafunzi wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kukutana na Vyama vya Siasa Januari 3, 2022

    Kauli ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu juu ya vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara aliyoitoa Desemba 2021. Januari 3, 2023 atazungumza na viongozi vya vyama vya siasa juu ya hali na mwelekeo wa hali ya kisiasa nchini.
  13. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tuondole DC Mtanda Arusha

    Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar. Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda. Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub ....... DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea...
  14. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia vunja mifumo hii utusaidie wananchi wa maisha ya chini Morogoro hasa wilayani Kilosa, tunaonewa

    Habari wakuu JF! Iko hivi; Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayepinga kuwa katika awamu ya sita kumefanyika ujenzi wa shule, hospitali, zahanati, vituo vya afya miundombinu ya hali ya juu kuliko awamu zote. Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayekataa kuwa awamu ya sita imeleta...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Salamu za Mwaka Mpya 2023 za Rais Samia kwa Watanzania

    Salamu za mwaka mpya 2023 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa watanzania wote. Amemshukuru Mungu mtukufu, mkarimu na mwingi wa rehema kwa kuiona siku ya leo tunapoaga mwaka 2022 sasa tunaingia mwaka mpya 2023, amewatakia watanzania wote mwaka wenye furaha na...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2023

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa salamu za mwaka mpya wa 2023 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni salamu hizo: Makomredi, marafiki, mabibi na mabwana: Hamjambo! Wakati mwaka 2023 umewadia, mimi nikiwa hapa Beijing...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyemtumia Rais Samia taarifa za wizi wa Mahindi ya NFRA atafutwa na Polisi

    Jeshi la polisi wilayani Handeni mkoani Tanga linamsaka aliyetuma ujumbe kwa Rais Samia wa kuibiwa mahindi ya msaada ya NFRA kwa kutumia jina la Mwenyekiti wa kijiji. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Siriel Mchembe leo Desemba 30,2022 alipokuwa kwenye kikao na wananchi wa...
  18. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Madhara ya TRA kufunga akaunti za benki za wafanyabiashara! Mnaomshauri Rais mnataka afeli ionekane Mwanamke hawezi kazi

    Mlifikiri ni siri sasa vimeanza kuibuka hadharani! Kitakachofuatia ni watu kuondoa fedha zao Benki kama ilivyokuwa kwa Magufuli, soon mtapata majibu yenu kwenye uchumi! Huu uhuni nina uhakika MWIGULU yumo ndani yake maana ndiye anayeongoza Genge la kumdanganya mama ili aanguke waseme hawezi...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan 2022

    ALIYOYAFANYA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Aliyoyafanikisha mwaka 2022. Madarasa Mapya 15,000 Wanafunzi 907,802 Wajiunga Kidato cha Kwanza kwa Pamoja Ada Kidato cha 5 & 6 Yafutwa, Elimu Bure Msingi hadi Sekondari Nyongeza ya...
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Watu aliowasema Rais Samia kuhujumu Bwawa la Nyerere ni kina nani?

    RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika awamu ya 5 chini ya Hayati Dk John Pombe Magufuli waliamua liwalo na liwe ila Bwawa la Nyerere lijengwe licha ya hujuma kubwa zilizofanyika na baadhi ya watu ili mradi huo usitekelezwe. “Awamu ya tano tukasema liwalo na liwe lakini azma hii ya Mwalimu...
Back
Top Bottom