Rais Paul Kagame amesema Nchi yake haiko tayari kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia migogoro kwa maelezo kuwa hilo sio tatizo la Rwanda hivyo hawezi kubeba mzigo usi wake.
Kagame amesema chanzo cha mgogoro wa DRC na Rwanda ni mabaki ya vikosi vya Wahutu wenye itikadi kali ambao walijaribu...
VIFARANGA KWA MAELFU VYACHOMWA MOTO AWAMU YA SITA! UCHOKOZI WA RAIS SAMIA!
1.0 Utangulizi
1) Rais Samia Suluhu Hassan alimkashifu Hayati John Pombe Magufuli hadharani kwa eti kuchoma moto vifaranga. Mbaya zaidi, hii ilitokea mbele ya mgeni, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya.
2) Ndio maana...
Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote ana haki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza...
Leo Jumatatu ya tarehe 09/01/2023 wanafunzi wamefungua shule ikiwemo wanafunzi 1,073,941 walioanza kidato cha kwanza ambao wote walipangiwa shule hakuna mwanafunzi ambaye yuko nyumbani kusubiri chaguo la pili "Second Selections"
Ikumbuke tangu kuanza kwa utoaji wa elimu bila malipo nchini...
Wafuasi hao wa Jair Bolsonaro ambaye hakukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa Urais, Jumapili Januari 8, 2023 walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu katika Mji Mkuu wa Brazil, wiki moja baada ya kuapishwa kwa, Rais Luiz Inacio Lula da Silva.
Mamia ya waandamanaji waliruka vizuizi vya usalama...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amesema Rais Samia ameweka historia nyingine jimboni kwake kwa kufanikisha kutafuta fedha Bilioni 63 kuanza ujenzi wa barabara kubwa ya kiuchumi kutoka Kibondo- Mabamba inayokwenda kuunganisha mkoa wa Kigoma Kagera na...
Hongera mh. Rais Samia kwa mtazamo na maono yako kuzingatia misingi na falsafa za maridhiano. Safari hii ni ndefu sana ambayo bado naviona visiki kwenye msamaha wa mikutano ya hadhara ambayo ilizuiwa kwa upande mmoja ili kudhoofisha upande wa pili.
Nakupongeza kwa kuwa umezingatia misingi...
Sijaelewa ni kitu gani kimewatokea hawa jamaa.
Enzi za Chuma Jpm walikuwa moto sana. Kule youtube alikuwepo Cipyrian Musiba, kule Twitter ndio usisema account kama zote.
Vyama vya idara mbali mbali vya chama shamra shamra huku na kule. Pesa walikuwa wanapat wapi?
Mbona mmepoa sana wakati huu?
Ndugu zangu watanzania,
Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anaelekea kufunga miaka Miwili Tangia alipoapishwa kuwa Rais wa Taifa Letu,Imekuwa Ni miaka ya kazi,miaka ya utumishi uliotukuka,miaka ya kujenga umoja wa watanzania,miaka ya kushikamana Kama Taifa,miaka ya kupanda na...
Kuna clip imesambaa kwenye mitandao ikimuonyesha nesi anayelazimisha kutumika dawa zilizo expire.
Huyu aliyerekodu video ile na ikarushwa tukaifaidi anastahili kupongezwa na kama ni mfanyakazi basi apandishwe cheo.
Mwaka 2016 mke wa Waziri Maiga alifanya kosa la kutoheshimu zebra crossing...
Tunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi.
Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza kudhibiti nchi kwa kuwa mpole?
Tuanze na Nyerere, Mandela. Kenyata nk. Je, walikuwa na haiba zipi ktk...
Kiongozi wa Muungano wa Waandishi wa Habari wa nchini humo, Patrick Oyet, ameripoti kuwa Wanahabari 5 wanashikiliwa na Idara ya #UsalamawaTaifa kuanzia Januari 3 na mmoja kuanzia Januari 4, 2023.
Shirika la Uangalizi wa Waandishi wa habari la Committee to Protect Journalists (CPJ) limetoa wito...
Kama tulivyomsikia majuzi, wakati anakutana na viongozi wa vyama vya siasa nchini huko Ikulu, Rais Samia Suluhu Hassan, alitoboa Siri kuwa haikuwa rahisi kufikia Maridhiano na chama kikuu Cha upinzani nchini Cha Chadema, Kwa kuwa pamoja na nia yake njema ya kuleta Maridhiano ya kisiasa nchini...
Tufikie hatua tuweke pembeni tofauti zetu. Naona kuna mwanga mkubwa mbeleni kwa mwenendo ambao unaonekana kwa matendo ya Rais.
Ni Rais mchapa kazi na ana nia ya dhati ya kufanya kazi na watanzania wote. Naamini akiendelea hivi kuna siku tutakuwa na nchi nzuri huko mbeleni. Hili la kuruhusu...
Rais #VladmirPutin amechukua uamuzi huo baada ya Mkuu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi, #PatriakiKirill, kupendekeza kusitishwa kwa #RussiaUkraineWar kuanzia adhuhuri ya Ijumaa Januari 7 hadi saa 2 asubuhi Jumapili Januari 8, 2023.
Kanisa la #Kiorthodoksi, ambalo hutumia Kalenda ya zamani ya...
Mohamed Ould Abdelaziz amesema Maafisa wa Usalama wamemzuia alipokuwa Uwanja wa Ndege wa Nouakchott akijiandaa kupanda ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa, pia wakiishikilia pasipoti yake.
Amesema "Nilijitambulisha lakini wakanizuia licha ya kuwa sina zuio lolote la Kimahakama.” Serikali...
Sote tunafahamu kuwa katika mwaka wa kwanza wa uongozi wa Rais Samia Suluhu, Serikali imefanikiwa kujenga vyumba vipya vya madarasa 15,000 kwa ajili ya wanafunzi wa Sekondari pamoja na shule za msingi (shule shikizi).
Mwaka uliokwisha (2022) Serikali imejenga vyumba vya madarasa 8,000 kwa ajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.