Wafuasi hao wa Jair Bolsonaro ambaye hakukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa Urais, Jumapili Januari 8, 2023 walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu katika Mji Mkuu wa Brazil, wiki moja baada ya kuapishwa kwa, Rais Luiz Inacio Lula da Silva.
Mamia ya waandamanaji waliruka vizuizi vya usalama...