MBUNGE WA KALIUA MHE. ALOYCE KWEZI AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Mhe. ALOYCE KWEZI amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani huku akiainisha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterkloof Air Force Base Pretoria kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 15 Machi, 2023.
Mark Takano amewasilisha muswada Bunge la wawakilishi Califonia akitaka siku za kazi ziwe nne iwe sheria ya Kitaifa Nchini Marekani.
Takano amesema jambo hilo litaongeza ubora wa maisha kwa wafanyakazi kwani itawaongezea muda wa kuishi, kucheza na kuyafurahia maisha nje ya kazi bila kupoteza...
MBUNGE WA WAFANYAKAZI JANEJELLY NTATE AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI KWA ALIYOYAFANYA KWA WATUMISHI
Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Baada ya nchi kupata taarifa za ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani, ndugu zetu wahaya wameanza propaganda kwamba huyu mama ana asili ya mkoa wa Kagera, natumia fursa hii kuweka wazi kwamba hana nasaba yoyote na Mkoa wa Kagera.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Songea Vijijini Mhe. Jenista Mhagama amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023
Mhe...
United States Vice President Kamala Harris will be the 18th and most senior American official to visit Africa this year in late March.
The tour to Ghana, Tanzania, and Zambia was scheduled for 25 March to 3 April.
This visit will be the most high-profile as the US and Russia go pound-for-pound...
Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa...
Umofia kwenu wana Great Thinkers.
Nilianzisha uzi huu uitwao Rais Samia hii wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ina ukakasi kidogo. ambapo pamoja na mambo mengine nimeona kutenganisha uzi huo na huu ninaouweka hapa hasa kuishauri serikali kwenye masuala ya kimuundo...
Amani iwe kwako mkuu wangu wa nchi.
Nimeweka heading hiyo kuweza kukuvutia kusoma usuli wa hoja yangu.
Sote tunafahamu kwa Mujibu wa Katiba kuwa tasisi unayoiongoza imepewa mamlaka ya kuunda, kupangua ama kufuta wizara mbalimbali za serikali hasa kutokana na mahitaji ya nchi kwa wakati husika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Senior Assistant Commissioner of Police-SACP).
Taarifa iliyotolea na Mkuu wa Jeshi la...
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema katika miaka miwili ya uongozi wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan amewafanyia mengi wafanyakazi ikiwa ni pamoja na kuongeza mishahara watumishi wa kima cha chini kwa asilimia 23.3.
Katibu Mkuu wa Tucta, Hery Mkunda alisema hayo mjini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Machi, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Ikumbukwe kabla ya...
Inasaidia nini kupiga soga na kina Mbowe na kuonyesha umma kuwa mnademokrasia wakati mali za umma zinaibiwa na wananchi wanateseka. Hizi ni demokrasia uchwara
Sasa hivi akina mama wakienda kujifungua imekuwa biashara. Huko nyuma haya mambo yalikoma.
Polisi wanamaliza kesi wanavyotaka...
Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:
Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.
Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine.
Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au...
Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.