~ Tozo kandamizi.
~ Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani.
~ Maisha kupanda bei, leo hii kula mlo mara mbili ni anasa. Maana maharage tu ni Tsh. 3,000.
~ Kufutia mafisadi makosa huku wasio na urafiki nae wakisota gerezani
~ Ndege za waarabu kushusha makontena hifadhi za taifa.
Jina lake Samia; kwanini aitwe mama Samia, badala ya kuitwa Rais Samia?
Maana ukisema mama inasimama badala ya mama yake, au mume wake angeitwa Samia (Mrs).
Rais wetu Mpendwa, binafsi najiona mwenye bahati kuwa na Rais wa aina yako. Kikubwa zaidi ni kwa jinsi ulivyoubeba uhusika wa kuwa Kiongozi usiyebagua watu wako. Zaidi ya kuwa Kiongozi wa Taifa letu lakini pia Umejaaliwa SANA UTU.
Mama yetu pamoja na Majukumu mengi uliyonayo natamani japo...
Wapigadili, walafi, mafisadi na matapeli wana akili sana. Kila kiongozi anayeingia madarakani humkalia kikao na kujua wapi anawashwa ili wamkune hapo hapo!
Hakuna Rais aliyewahi kuwa na mapenzi na watu wake Kwa hapa Tanzania kama Julius Nyerere lakini hatukuwahi kusikia akiitwa "Rais wetu...
Mambo mengi yametajwa kuhusu mafanikio ya Mhe. Samia Suluhu Hassan katika miaka hii miwili, lakini kuna jambo kubwa sana ambalo bila kulisema hayo mengine yote ni bure na hayana maana. Ni kuhusu kujenga FAMILIA.
1. Rais ameunganisha familia- Watu wengi walikuwa magerezani, mahabusu...
Natanguliza shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunileta duniani na kuweza kupata uhai ambao Leo hii unanifanya naweza kufikiri Kwa mapana.
Leo katika kupitia pitia katika mitandao ya kijamii nimekutana na nukuu iliyonukuliwa wanahabari...
Rais leo hakika umekonga nyoyo za wengi kwa kukabidhi shamba darasa kwa vijana ambapo umefanikisha lengo la kupunguza tatizo la ajira na hata itapelekea kutowesha tishio la njaa nchini na Afrika Mashariki.
Kwa dhati nampongeza waziri Bashe kwa kusimamia hili kwa mafanikio makubwa.
Jambo la...
Leo kuna jambo nilikuwa nafuatilia na katika kupekuapekua huko mitandaoni, nikawa napitia kanuni na sheria za mashindano ya CAF nikakutana na kitu kilichonifanya nijiulize maswali kuhusiana na zawadi za magoli za Muheshimiwa Rais Samia Hassan.
Katika document ya CAF inayoitwa "Regulations of...
Nikiwa lecturer bora au kwa namna nyingine nikiwa mmoja wa wafanyakazi bora wa nchi ya nchi ya Russia hatimaye wiki iliopita nimeweza kutimiza ndoto yangu ya kukutana na Rais wa Urusi bwana Vladimir Putin na kuweza kushikana nae mkono ama hakika hayo kwangu ni mafanikio na hata kama nikifa leo...
Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 (Bilioni 70) kutoka kwa Barick Gold Mine kwa ajili ya ujenzi madarasa nchi nzima hasa kwa ajili ya Wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 watakaoanza masomo katika muhula ujao wa masomo
Rais Samia ameeleza kuwa kwa sasa wanafunzi watakaomaliza masomo...
Kinachoendelea kwa Serikali ya CCM na CCM yenyewe ni mwendo wa maridhiano ili nchi itulie kila anayekula na kipofu asiguswe mkono.
Kama hiyo ndiyo njia muafaka iliyochaguliwa basi hakuna haja ya kujenga chuki na waasisi wa Umoja Party inayoendelea nchini kutafuta wadhamini Ili hatimaye kipate...
Nasubiri jibu lako Mheshimiwa Rais hasa nikijua kuwa huwa Unanisoma GENTAMYCINE na Wengineo hapa JamiiForums na Kuburudika nasi vile vile.
Hongereni pia Vilabu vya Simba na Yanga kwa ama Kutokujua Kwenu au kwa Uzwazwa wenu Kukubali kuwa Mali ya CCM na Serikali.
Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZNBC), Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezitaka Wizara na wadau wa sekta mbalimbali zinazofanya biashara wakutane kila miezi mitatu kujadiliana kuhusu changamoto na kuzipatia ufumbuzi.
Pia...
Kupitia kwenye ukurasa wa Twitter, aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini Godbless Lema ameandika:
“Mh Rais SSH kama akiendelea kujenga Demokrasia yenye sura hii kutoka Moyoni mwake bila hila, bila shaka anaweza kuja kuwa kati ya Rais bora kabisa Tanzania...
1. Kiwango cha Ujinga ( Ungumbaru ) kwa Wananchi wa Taifa lake Kuongezeka.
2. Utamaduni wa Visasi na Chuki kwa Waliokuchukia na Usiowapenfa Kuongezeka.
3. Kiwango cha Elimu Kushuka na kuwa ICU huku Ufaulu wa Kisiasa kwa Wanafunzi Kuongezeka.
4. Kiwango cha Wanaume wengi kupenda kuwa kama Dada...
Kuna nini labda Kimejificha hapa? Je, hii Mvua inamuadhimisha Hayati Dk. Magufuli kwa Kifo chake Miaka Miwili iliyopita au ni Mvua ya Kuonyesha kuwa Mama ( Rais Samia ) ana Baraka na sasa Tozo, Mikodi, na hali ngumu ya Maisha iliyoko ndiyo inaenda kuwa Historia?
GENTAMYCINE nimekaa pale kusoma...
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo baada ya Simba kushinda magoli 7-0 dhidi ya Horoya katika mchezo wa Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwenye Uwanja wa Mkapa.
Mbunge wa Viti Maalum CCM Vijana Taifa anayetokea Mkoa wa Mara Mhe. Juliana Masaburi amepongeza Rais Samia kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani hasa akijikita kwa kuelezea miradi mbalimbali ya kimaendeleo iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa na Serikali kwa kipindi cha Miaka Miwili ya Rais...
"Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo.
Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake...
Mimi Kwa maoni yangu namwona Mhe. Rais akitupeleka kuyafikia haya yafuatayo;
1. Taafa lenye maridhiano ambalo litatufanya sote tuwe ndugu
2. Anaelekea kutuachia Taifa lenye Katiba mpya itakayoratibu maendeleo na ustawi wetu kulingana na mahitaji ya sasa
3. Upo uwezekano mkubwa akatuachia Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.