Pamoja na kupewa dege na Rais bure kuwasafirisha yanga kwenda Algeria, naskitika kusema hapa kwamba tarehe 3/6/23 uto atapokea kipigo kama cha ngedere aliyekula parachichi za mkinga.
Leo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi.
Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
1. Kwanza kabisa napenda kusema kwamba Mimi binafsi huwa sipendi na wala sina utamaduni wa kupenda kutoa maoni yoyote humu mitandaoni wala kwenye Jamii kuhusiana na masuala ya siasa na hata ya masuala mengine yoyote ya kijamii. Kwa kifupi Mimi siyo mtu wa kupenda mijadala kabisa hususani...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini wakati wa Magufuli Komanya Kitwala ameruhusiwa kufungua kesi na Mahakama, Ili kupinga kustaafishwa kwa lazima na Mkuu wa nchi, kwa manufaa ya Umma.
Kwa taarifa kamili soma kiambatisho Cha gazeti hapo chini.
----
Mahakama Kuu Masjala Kuu imemruhusu...
JAMHURI ya Muungano wa Tanzania-Kazi Iendelee.
Mei Mosi kulifanyika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani, kama ilivyo kawaida ya siku zote inapofika tarehe na mwezi huo.
Kitaifa siku hiyo iliadhimishwa mkoani Morogoro ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika sherehe...
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin Archange Touadera amesema Nchi hiyo itapiga Kura ya Maoni Julai 2023 kwaajili ya kupitisha mabadiliko yatakayowezesha Rais aliyeko madarakani kuwania Urais kwa kipindi cha 3.
Kupitia hotuba yake kwa Taifa, Rais Touadera ameeleza kuwa tayari...
MHE. JULIANA SHONZA - "KWA MARA YA KWANZA TUTAMPITISHA RAIS MWANAMKE KWA KISHINDO MWAKA 2025"
"Tutampitisha Rais Mwanamke Madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2025 kwa kumpigia kura za kutosha, kura za heshima. Hatutamchagua kwa sababu ni Mwanamke, hatutamchagua kwa sababu ni takwa la Serikali...
Salaam ndugu zangu,
Nimekutana na video fupi ikionesha Rais wa TFF Wallace Karia akisema kwamba itakuwa si vizuri kwa Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo.
Je, kuna ukweli wowote wa juu ya hili? Tusaidieni kumhoji
Picha1: Sehemu ya Tweet inayomlaumu Rais Karia kwa kauli...
Kupitia ukurasa wa mtandao wa Twitter, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pongezi kwa Rais Recep Tayyip Erdoğan kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa Rais wa Uturuki.
Ameandika:
"Pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Rais Recep Tayyip Erdoğan, kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa...
MUFINDI KUSINI WAMZAWADIA RAIS SAMIA NG'OMBE
“Zawadi hizi; Ng'ombe Wawili, Mmoja kwa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na mwingine kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo zimetolewa na Wana-Mufindi Kusini na mimi ninazikabidhi kwa niaba ya kuwawakilisha wananchi wa Mufindi Kusini...
Mamlaka za nchini Malawi zimemaliza kesi ya rushwa dhidi ya Rais wa zamani Bakili Muluzi aliyewahi kuhudumu kwa mihula miwili ya miaka mitano kama Rais kati ya 1994 na 2004 lakini alishtakiwa miaka mitano baada ya kuondoka madarakani.
Yeye na aliyekuwa katibu wake wa kibinafsi, Lyness Whisky...
Rais mpya wa Nigeria, Bola Tinubu ametumia hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kutoa tangazo kuu la kuondoa ufadhili serikali kwenye mafuta ikiwa ni sera zake mpya ili kupunguza shinikizo la kiuchumi.
"Ruzuku ya mafuta haipo," aliuambia umati uliojaa katika mji mkuu, Abuja.
Alishinda...
Baada ya kukwama kwa mradi huu kwa miaka kumi, serikali ya Rais Samia Suluhu inajenga mradi huo ambao utakua na maduka 2060 na kuzalisha ajira za moja kwa moja zaidi 15000 na zisizo za moja kwa moja 50000. Eneo la mradi huo ni zaidi ya viwanja 10 vya mpira wa miguu.
Mradi huo utakapokamilika...
Nguvu nyingi ilikuwa inatumika kuficha hali ya afya ya huyu jamaa, wakawa wanakana na kusema yupo mzima anachapa kazi, maradhi yamemuumbua.
Hivi Putin yuko wapi maana naye anaishi kama nguchiro tangu ile siku alikoswa koswa pale Klemrin ambapo drones zilimfikishia salamu.
====
Belarus...
Poleni sana Wananchi kwa kupoteza mchezo jana. Naamini nafasi bado ipo kama mtaenda na mipango na mbinu sahihi ugenini.
Nikirudi kwenye mada hapa, shida yangu ipo kwenye namna ya ahadi ya Rais kuhusu kutoa Milioni ishirini na namna ilivyofanyika.
Mjadala huu haufungamani na upande wowote...
Baadhi ya Viongozi Wakuu waliowasili jijini Abuja ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, Paul Kagame (Rwanda), Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini), Abdelmadjid Tebboune (Algeria) na Denis Sassou Nguesso (Jamhuri ya Congo).
Wengine ni Umaro Sissoco Embalo wa Guinea Bissau, Julius Maada...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.