rais

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aajiri vijana 18,449 serikalini kukuza ufanisi wa kazi

    Rais Samia Suluhu Hassan ameendeleza juhudi zake za kuwawezesha vijana na kuboresha ufanisi wa kazi katika taasisi za serikali. Ndani ya miezi sita ya kwanza ya mwaka 2023,serikali imeajili vijana 18,449. Idadi hiyo inajumuisha walimu wapatao 13,130 ambao wamepata nafasi za ajira katika sekta...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Yanga ilivyozoa jumla ya milioni 175 kwa Rais Samia

    UONGOZI wa Young Africans Sports Club umetoa taarifa ya kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hafla ya kuipongeza klabu hiyo kwa kucheza mchezo wa Fainali ya Kombe la Shikirisho la CAF, Msimu huu. Katika taarifa hiyo mbali na mambo mengine...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Yale makelele yote ya mjini ameyazima Rais Samia

    Baada ya ndugu zetu uto kufanikiwa kushinda ubingwa wa medali na kisha kualikwa chakula cha jioni na Rais Samia. Makelele yalikuwa mengi ohhhhh tumealikwa na mama sisi ndio timu ya taifa mablabla mengi. Baada ya kula ubwabwa na kupongezana kwa sana, sherehe ikaharibika mwishoni kabisa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia uliwaalika tu Uwapendao wana Yanga ilikuwaje ghafla tena Ukawalazimisha Usiowapenda Simba nao waje Ikulu?

    Umejishtukia au? Wana Simba SC Msimamo Wetu ni ule ule kwa Kutuchukia Kwako na Kutupenda Kinafiki leo Ikulu Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 hutopata Kura zetu wana Simba.
  6. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

    Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal! Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh Rais issue ya Feisal? Na je! Aliefikisha ujumbe kwa Mh Rais alikuwa wa mlengo gani? Hakuwa na upande...
  7. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar...
  8. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mwendazake alikuwa ni rais alieendekeza ukabila sana

    Japokuwa hata hii pdf ya ajira za ualimu na afya sijaweza kuwa miongoni mwa waliochaguliwa lakini naweza kusema enzi za mwendazake ukabila ulitamalaki sana, wasukuma waliweza kupenya kwenye ajira mbalimbali pdf nyingi za kipindi cha mwendazake zilijaa wasukuma akina ngusa,lushinge maduhu na...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kumsifia Rais Samia kila usimamapo Mbele yake sio kosa; haikuanza Leo.

    KUMSIFIA RAIS SAMIA KILA USIMAMAPO MBELE YAKE SIO KOSA; HAIKUANZA LEO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kumtukuza Rais, kumsifu na kumlambalamba miguu, kumpangusa pangusa na kitambaa, kumfagilia, kumpepea, na kumpamba ni mambo ambayo yalikuwepo tangu zamani. Wala hatajaanza Kwa hawa Ndugu...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu picha za Mbunge wa Ngara zikiwekwa maofisini kama picha ya Rais

    Updates: Video imeambatanishwa . . . Mbunge wa Ngara (CCM) Ndaisaba Ruhoro anadaiwa kulazimisha picha zake zibandikwe maeneo yenye mkusanyiko wa watu ndani ya jimbo huku baadhi ya watu wakihoii kwa nini iwe lazima. Picha hizo zinaelezwa kubandikwa maeneo ambako kuna picha za Rais na sehemu...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt Lumbanga asifu ujasiri wa Rais Samia

    Picha: Balozi Dkt Marten Lumbanga Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Dkt Marten Lumbanga amesifu ujasiri na uwazi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uongozi kiasi cha kukaribisha mawazo huru kutoka vyama vya siasa kwa manufaa ya nchi pamoja na kuruhusu vyama vya siasa vifanye mikutano ya...
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Nasubiri kuona Wabunge watakaopinga Muswada wa Sheria ya Fedha

    Rais huyo wa Kenya ametoa kauli hiyo na kueleza kuwa Kura ya Wazi itafanya awatambue Viongozi watakaopinga mpango huo kuwa maadui wa Maendeleo na hawana nia ya kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wanaomaliza Vyuo bila kupata kazi. Kauli ya Ruto inakuja ikiwa ni masaa kadhaa yamepita tangu Naibu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hizi nashawishika kuamini kuwa sijamuelewa Rais Samia kama ni Dikteta ama Mwanademokrasia

    Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia. Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano. Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya...
  14. BigBro

    JamiiForums Tanzania Baba wa mke wa Rais Zanzibar

    Kuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais Kenya: Hatutajenga Barabara kwenye Majimbo yanayopinga Sheria ya Fedha

    Rigathi Gachagua ambaye ni Naibu Rais wa Kenya amesema Wabunge wote wanaoikataa Sheria hiyo wasitarajie miradi mikubwa ikiwemo ya Ujenzi kwenye majimbo yao kwasababu hakutakuwa na sehemu ya kutoa hizo fedha kama watapinga. Gachagua amesema Serikali inasubiri Sheria hiyo ili iweze kuongeza...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awaandalia Yanga Hafla ya Kuwapongeza

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili. Hafla hiyo ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania William Ruto, Rais wa Kenya: Waafrika tuachane sasa na malipo ya kutumia Dola

    Ni muda muafaka sasa kuachana na malipo ya Dola ya Marekani. By William Ruto. Rais wa Kenya, William Ruto ametoa ushauri huo kwa viongozi wa Afrika akisema ni muda wa kuanza kuchukua hatua ya kuachana na malipo ya fedha kwa kutumia Dola ya Marekani badala yake kuwepo na mfumo wa malipo wa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania January Makamba amepeleka wapi mabilioni ya pesa za ruzuku ya mafuta? Amchonganisha Rais na wananchi

    January Makamba amepeleka wapi mabilioni ya pesa za ruzuku ya mafuta? Amchonganisha Rais na wananchi Rais Samia Suluhu Hassan alimuagiza Waziri wa Nishati, January Makamba, kuweka ruzuku ya mafuta kiasi cha shilingi Bilioni 100 kwa mwezi ili kutoa ahueni kwa wananchi kwenye bei ya mafuta na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, PR yako ya kumsafisha rais juu ya shida ya Maji jijini wana Dar es salaam hatudanganyiki

    Siku hizi RC Chalamila kila akipata fursa ya kuzungumza mbele ya rais, haachi kutoa data zenye ukakasi kuhusu suala la maji jijini Dar es salaam. Amekuwa mara kwa mara akitoa data kuwa rais katoa fedha kujenga miundo mbinu ya maji hapa na pale jijini, hata hivyo hanukuu ni bajeti ipi hizo pesa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Wiki ijayo nitakuwa na kikao na Viongozi wa Dini ajenda kubwa ni Tokomeza adui ili Rais Samia apenye bila kupingwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo akizingumza katika mapokezi ya ndege mpya ya mizigo aina ya BOEING B767-300F, mapokezi yanayoongozwa na Rais Samia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam.
Back
Top Bottom