rais

  1. Ruto aagiza waamiaji haramu waondoke Kenya kabla ya 7 Sep 2026

    Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza kuanza kwa operesheni ya nchi nzima dhidi ya raia wa kigeni wasio na vibali na wanaoendesha biashara ndogo ndogo, maduka ya rejareja, vibanda na biashara za kuzunguka mitaani. Wafanyabiashara hao wameelekezwa kufunga biashara zao. Hatua hiyo inalenga kuzuia...
  2. Ushauri kwa Makamu wa Rais mpya, Mhe. Deogratius Ndejembi - safari yako inaanza, haya ni maoni yangu

    Wakuu, kama tunavyofahamu, hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa katika uongozi wa juu wa nchi yetu baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, na Bunge kumthibitisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati, kuwa Makamu mpya wa Rais. Ndejembi...
  3. Rais wa Zanzibar aahidi Tsh. Milioni 1 kwa kila goli, Tsh. Milioni 5 kwa kila ushindi wa KMKM na KVZ CAF

    Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kutoa motisha ya kifedha kwa timu za KMKM na KVZ FC ambazo zinaiwakilisha Zanzibar katika mashindano ya klabu barani Afrika yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Rais Mwinyi ameahidi kila timu kupata shilingi milioni tano (TSh...
  4. O

    Tunamuomba Rais SAMIA SULUHU HASSAN auende Kamati ndogo ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa,tunapendekeza na kushauri kwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kuunda Kmati au Timu ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jji CHANDE.Kamati au Timu hii iuendwe na watu toka Serikalini,Taasisi za...
  5. Rais Samia akutana na Xi Jinping Beijing

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 4 Septemba 2024: Rais Samia Mkutano na Xi Jinping, China Tarehe 4 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Beijing, China, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Xi Jinping wa China katika ukumbi wa Great Hall of the People. Mkutano huo ulifanyika wakati Rais...
  6. Rais Samia ni miongoni mwa viongozi mashujaa na madhubuti sana barani Afrika

    Sote ni mashahidi kwamba, Dr Samia Suluhu Hassan, alipokea nchi katika mazingira magumu ya kiuchumi katikati ya janga la COVID-19 na katika hali ya majonzi, masikitiko makubwa na huzuni ya kitaifa baada ya kufariki Rais hayati John Pombe Magufuli akiwa madarakani, na akatuvusha salama. In fact...
  7. MAELEKEZO YA MHE. RAIS DKT. SAΜΙΑ WAKATI AKIWAAPISHA WAKUU WA MIKOA NA KATIBU TAWALA WA MKOA

  8. B

    Naunga Mkono Hoja Ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Habari wana bodi, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Jana tar 02/09, Rais Samia alipokua anawaapisha wakuu wa mikoa wateule pale katika ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar alizungumza mengi pamoja na kuwasihi wakuu wa mikoa wapya kufanya kazi kwa bidii na kuwatumikia wananchi. Pamoja na mengi...
  9. Rais Samia China Kilele cha FOCAC

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 03 Septemba 2024 — Ziara ya China na ushiriki FOCAC Tarehe 03 Septemba 2024, Rais Dr.Samia Suluhu Hassan aliwasili Beijing, China, kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa FOCAC (China–Africa Cooperation). ▪︎ Hili ni tukio muhimu kwa kumbukumbu...
  10. Makamu wa rais Ndejembi aagiza saruji kushuka bei

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameitaka Wizara ya Viwanda na Biashara kukaa meza moja na wazalishaji wa saruji nchini ili kuweka mikakati ya haraka itakayohakikisha bidhaa hiyo inapatikana kwa wingi na kurejea katika bei nafuu ya awali. Ndejembi ametoa agizo hilo jana jijini...
  11. L

    Chemsha bongo,Katiba ya mbovu ya Sasa inasema,RAIS akifa ,makamu wa RAIS anatawala.

    Chemsha bongo. Naona tatizo kwenye katiba mbovu ya Sasa tuliyonayo. Inasema kwamba,RAIS aliepo madarakani aliechaguliwa na wananchi kama akifa Leo,basi makamu wa RAIS ataongoza nchi Hadi uchaguzi Mkuu unaofuata. Huyu Makamu wa RAIS anakua amechaguliwa na wananchi Gani? Mfano mwaka mmoja...
  12. Nukuu Za Rais Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar

  13. Rais Samia ana uchungu sana na Nchi kuliko wananchi wenyewe!

    Kwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza. Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake kwanini? Hajitafakari na kuwajibika kwa dosari hiyo.!? Je yeye ndie pekee anayeweza kuongoza nchi na...
  14. Rais Samia aapisha Wakuu wa Mikoa wapya Ikulu Ndogo Zanzibar

    Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,akizungumza na Viongozi baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa ya Mbeya,Geita,Pwani,Mwanza pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani katika Ikulu Ndogo ya Tunguu,Zanzibar Leo Tarehe 02 Septemba,2026
  15. Wakuu wa mikoa hatujawapeleka huko kuwa wafalme bali kuwa watumishi wa wananchi - Rais Samia

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliopishwa hususan Wakuu wa Mikoa kwenda kutekeleza majukumu yao kwa kujiamini na kuchukulia dhamana waliyopewa kama wajibu wa kusimamia shughuli zote za Serikali katika maeneo yao. Rais Samia amesema hayo...
  16. R

    Responded Rais Samia: Dar es Salaam ni kuchafu, ni aibu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa...
  17. Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
  18. Rais Samia Azindua PAPU Tower Arusha

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 2 Septemba 2023 — kuzinduliwa kwa PAPU Tower Arusha Rais Mhe Dr. Samia Suluhu Hassan alizindua rasmi Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower), lililopo Philips, Arusha. Alifanya hafla hiyo pamoja na viongozi wa PAPU, akiwemo Katibu Mkuu Dkt. Sifundo Moyo.
  19. AG Johari Apongeza Rais Samia, VP Ndejembi

    "Mhe. Naibu Spika, Naomba kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuiongoza nchi yetu kwa Umahiri, Mafanikio makubwa pamoja na Uzalendo. "Napenda pia Niungane na Wabunge na Watanzania wote kutoa pongezi kwa...
  20. Rais Samia Zambia: Ashuhudia Hichilema Akiapishwa

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ahudhuria Sherehe za Uapisho wa Mhe. Hakainde Hichilema, Rais Mteule wa Jamhuri ya Zambia zilizofanyika katika Uwanja wa Taifa wa Mashujaa, Jijini Lusaka, tarehe 01 Septemba, 2026.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…