rais

  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump aagiza boat za Iran zilizoko Mlango bahari wa Hormuz zizamishwe!!

    Baada ya boat za Iran kuonekana zinateka meli na zingine kuonekana kutega mabomu kwenye Mlango bahari wa Hormuz, Rais wa Marekani Donald Trump ameliagiza jeshi la majini na la anga kuzizamisha boat zote zinazofanya uhalifu kwenye mlango bahari wa Hormuz!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ripoti hii ni ya Rais wasije wakatokea watu wengine wakadai ownesrhsip ya ripoti hii

    "Tumesikia masuala yaliyobainishwa na tume pamoja na mapendekezo kwa muhtasari. Lakini mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais, na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership (umiliki) wa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Sikutarajia Kadhia hii ingetokea nikiwa Rais, Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu

    Rais Samia amesema; "Waheshimiwa viongozi na Watanzania wenzangu, wakati nikielekea kuhitimisha nataka nikiri kwamba mimi binafsi sikutaraajia kadhia hii ingetokea kwenye nchi yetu kipindi hiki nikiwa kiongozi mkuu wa nchi. Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu. Lakini nataka...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: tumepanga kukamilisha mchakato huu (wa katiba mpya) katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita

    "Pamoja na hayo, bado kuna mambo kadhaa ya kufanyiwa kazi katika mawanda ya siasa, ikiwemo suala la mabadiliko ya Katiba. Kama mnavyofahamu, na kama nilivyoahidi, tumepanga kukamilisha mchakato huu katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita. Na ni suala la kipaumbele kwenye ilani ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Vurugu hazikuondoa changamoto, bali zimeongeza

    Rais Samia amesema kuwa yaliyotokea Oktoba 25 (29) hayakuondosha wala kupunguza changamoto tulizokuwa nazo, bali zimeongeza changamoto. kama ghasia zile zisingedhibitiwa nchi ingepata athari kubwa sana na ingetuchukua miaka mingi kuinuka tena. Amewasii watanzania kulinda amani ya nchi.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tusimame dakika moja tuwaombee waliopoteza Maisha Oktoba 29

    Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila mtu kwa imani yake."
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bila shaka, jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndiyo imefanya Tanzania iwe leo ilivyo

  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia ndiyo imefanya Tanzania iwe ilivyo vinginevyo tungekuwa tunazungumza hadithi nyingine

    "Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale ambao tutabaini wamekiuka sheria na taratibu za kazi zao kwamba hatutawajibisha, tutawajibishana." -...
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa habari za Oktoba 29 hususani vyombo vya habari vya nje na vya kimataifa

    Wakuu, Anazungumza Rais samia wakati akipokea ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu 2025
  10. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uchunguzi wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nani kamdanganya Samia kinga ya Rais inamuhusu?

    Samia amekua delussional hadi hajui anazidi kujikaanga hata CCM watamkataa
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa wa Afrika Kusini ndiye msemaji wa masuala ya haki za binadamu bila woga kimataifa, kama Mwalimu Nyerere

    Tumepata Rais toka Afrika, Rais Cyril Ramaphosa ambaye kama Mwalimu Kambarage Nyerere, anayeweza kuongea kimataifa juu ya haki, na watu wakamwelewa.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Maono ya jicho la tatu: Namuona Dkt. Asha-Rose Migiro mbali sana , akiwa Mwenyekiti wa bunge maalumu la katiba na baadae Rais wa Jamhuri yetu

    Jicho la tatu ambalo kikawaida linaona zaidi ya uono wa kawaida na mara nyingi linaona mbali kiasi kwamba anayeona anaweza kudhaniwa ni nabii. Wengine wamejaliwa karama ya matumizi sahihi ya jicho hili. Katika kuangazia mambo mbalimbali, Leo jicho langu la tatu linamuona Dkt.Asha.rose Migiro...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mnangagwa akabidhi Mamia ya Baiskeli kwa Maveterani wa Vita katika maadhimisho ya Uhuru Zimbabwe

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa leo amekabidhi mamia ya baiskeli kwa maveterani wa vita katika eneo la Maphisa, Kezi, ambako sherehe za maadhimisho ya miaka 46 ya Uhuru wa nchi hiyo zimefanyika Jumamosi hii.
  15. Etwege

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye bila kutumia elimination method hatoboi

    Rais ajaye asipoeliminate baadhi ya mafisadi papa kutoka CCM mtandao, basi yatamuwahi na kumueliminate yeye. Masilahi ya kudumu ya CCM mtandao ni kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania na yoyote atakayewapinga kufikia lengo lao hili wana mbinu zote za kumfikia na kumbomoa. Ni either...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nabii feki Uegber Angel adai Rais mstaafu wa Zambia Lungu alikufa kwa sababu alimkatalia kuingia Zambia

    Nabii feki Uegbert Angel toka Zimbabwe amedai mbele ya misukule inayomwabudu kuwa kifo cha Rais mstaafu wa Zambia Hayati Edgar Chagwa Lungu kimesababishwa na yeye kuzuiliwa kuingia nchini Zambia enzi za uhai wa Lungu. Amedai Hayati Lungu alimzuia kuingia Zambia. Ikumbukwe huyu nabii feki...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afuta vibali vya wawekezaji wageni uchwara wa Madini na kuwapa Vijana wazawa wa BBT Madini

    My Take Pamoja na uamzi huu mzuri wa kuwapatia fursa Vijana wa zawa Vitalu vya Madini lakini Machadema yataanza kutukana hovyo badala ya kupongeza kama Afrika nzima inavyompongeza Rais Samia Kwa uamzi wa kishujaa na kizalendo. https://www.instagram.com/p/DXMc7YtDEjQ/?igsh=YTFkODFzZnhsbGF4
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump aisifu Israel!!

    Trump awasifu Israeli kupitia Mtandao wake wa Truth Social, akiiita "Mshirika MKUBWA wa Marekani" na kuangazia nguvu na uaminifu wake. "Ni Jasiri, Jasiri, Waaminifu, na Werevu... Israeli inapigana vikali, na inajua jinsi ya KUSHINDA!" aliandika. Wafuga Midevu na Majini najua watanuna sana...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Mwabukusi: Hakuna Chama kinachopendwa Nchi hii kama CHADEMA

    “Hakuna Chama kinachopendwa Nchi hii kama Chadema, na ndicho chama cha kweli cha upinzani hapa Tanzania, kuthibitisha hilo Juzi mmeona furaha ya watanzania Chadema walipofunguliwa kufanya Siasa” Adv. Boniface Mwabukusi - RAIS WA TLS "Hivi vyama vingine ukikuta watu wanajiita wanachama, jua kuna...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran atoa statement nzito kwa dunia

    Wanatuita magaidi, lakini wao ndio magaidi halisi. Wanachinja mtu yeyote, popote, wakati wowote wanapotaka, na kisha wanazungumzia haki za binadamu. Aibu kwao." Rais wa Iran
Back
Top Bottom