rais

  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CCM Haiwezi Kulala: Rais Ashuka Shina

    CCM haiwezi kulala, Rais wa nchi asingekuwa anakaa kwenye vikao vya kawaida vya shina kusikiliza wanachama. Chama kinatuma ujumbe mkubwa kwa wanaodhani chama kimepoteza mwelekeo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea. Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Raia wa Burundi akamatwa kwa kujifanya msaidizi wa Rais Samia

    Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limemkamata Gadiel Lameck Mtema (45) raia wa Burundi kwa tuhuma za kujifanya msaidizi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kitengo cha maombi ya ufadhili na udhamini na kufanya jaribio la kuwatapeli shilingi milioni 15 viongozi wa kanisa la EAGT Kidatu mkoani humo, kwa...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mkakati wa Kiuchumi Watikisa EAC

    HUYU MAMA(RAIS SAMIA)NI MTU HATARI SANA! George Michael Uledi. May 6,2026.12:10AM. (ON EMBARGO) Mara nyingi nyota ya mtu inabeba tabia zake za ndani za "kiungu" ambazo umtofautisha na mtu/binadamu mwingine katika dunia hii.Biblia inasema kwenye KITABU cha Zaburi👇🏽👇🏽 Zaburi 147:4 na Ayubu 9:9)...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia anaamanisha au ni siasa uchwara?

    Kwa nini kama kweli, Mungu analaani WATUMISHI wasio timiza wajibu, wao iweje amwache aliyeua watu 518 kisa awe apo alipo atapewa Nini na Mungu? JE kwa Nini anaishi mpaka Leo?
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaapisha viongozi aliowateua, leo Mei 6, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=J6rFxg187NY
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama ipo ipo tu; CCM na Rais Samia wanazidi kudharauliwa na Watanzania, CHADEMA inazidi kukubalika

    Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa. Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji mikubbwa kama Mwanza na Dar majji tatizo.. Ziara ya Ruto ina umuhomu gani kwa Tanzania. Ujenzi wa oil...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Chadema atoa maamuzi ya kikao cha kamati kuu, yaitwanga vikali ripoti ya Jaji Chande, wamvaa Rais Samia

    05 May 2026 Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Jaji David Maraga asikitishwa na kauli ya Rais Samia

    Jaji mkuu mstaafu wa Kenya, David Maraga ameandika katika ukurasa wake wa X akieleza masikitiko yake kwa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Mei 4 wakati akimpokea Rais wa Kenya, William Ruto jijini Dar es Salaam. Endelea.... "Kama Jaji Mkuu, nilithamini udugu uliopo ndani ya Jumuiya...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Walimu 150 wa Amali Waliohudhuria Mafunzo India Warejea, Prof. Shemdoe awapongeza kwa kuonesha nidhamu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda wamewapokea walimu wapatao 150 wa amali waliokwenda kwenye ziara ya mafunzo ya mwezi mmoja nchini India, ambayo...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Kenya: Hatutishwi na matamshi ya Rais Samia

    Mwanaharakati wa Kenya, Hussein Khalidi amesema kuwa wanaharakati wa Afrika Mashariki hawatishwi na kauli ya Rais wa Tanzania, Saia Suluhu Hassan ya kuwaonya Gen-Z wa Afrika Mashariki kuwa watachapwa viboko kila watakapokwenda. Soma Pia: Rais Samia: Tusikubali kuchochewa na wanasiasa...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ruto Amshukuru Rais Samia kwa Mwaliko wa Kihistoria

    "Niruhusu nitoe shukrani zangu za dhati kabisa kwa Mheshimiwa Rais, dada yangu, Samia Suluhu Hassan. Kwa mwaliko wake wa heshima kwangu kufanya ziara hii ya kihistoria katika taifa lenu tukufu na la kindugu, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania." #RutoBungeni
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Hotuba Ya Dkt. William Samoei Ruto, Rais Wa Jamhuri Ya Kenya, Mei 5, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=WEGofJlMUxU
  14. R

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Maadui wetu siyo Wakenya wala Watanzania, ni ajira na umasikini

    Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, leo Mei 5, 2026, amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na kuunganisha nguvu katika kupambana na changamoto zinazozikabili nchi zote mbili. Pia soma Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyojenga Diplomasia ya uchumi kwa weledi mkubwa

    Na África J&L, Dar es Salaam Wakati Rais William Ruto atakapohutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, akiwa kiongozi wa kwanza wa Kenya kufanya hivyo, wengi wataona tukio la kihistoria. Lakini kimsingi, hili ni zaidi ya historia. Ni ushahidi wa jitihada za utekelezaji wa diplomasia ya uchumi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa tuzo Profesa Ndunguru kwa kuboresha TPHPA

    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), Profesa Joseph Ndunguru ni miongoni mwa wafanyakazi waliopewa tuzo ya ufanyakazi bora na Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya Mei Mosi yaliyofanyika mkoani Njombe. Profesa Ndunguru anayetoka Chama cha wafanyakazi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna makubaliano TANESCO na Shirika la umeme la Rwanda (REG) kuanza kuuziana umeme

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026. Rais Samia amezungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Rwanda, ikiwemo Mradi wa Umeme wa Rusumo unaohusisha Tanzania, Rwanda, na Burundi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Biashara yetu kati ya Tanzania na Rwanda imekuwa hadi kufikia Bilioni 644 mwaka jana 2025

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026 ambapo amebainisha kuwa mazungumzo yalifanyika yaliyohusisha pia mawaziri na viongozi wengine wa serikali. Pia alieleza Biashara kati ya nchi hizi mbili imekua kwa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Matukio mbalimbali ya ziara ya Rais Paul Kagame nchini Tanzania, Mei 3, 2026

    Matukio mbalimbali katika Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Mei, 2026. Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame akizungumza na Waandishi wa Habari kufuatia Ziara yake ya Kikazi Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Mei, 2026. Rais wa...
  20. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi! Raisi mtaafu J.Kikwete.???

    Kwamaana hakuna mwingine ni yeye aliyebakia, sasa anatuvusha vipi katika hali hii. Katika kipindi hiki kigumu yuko wapi? Hasa ukizingatia umahili wake katika kutatua migogoro, mbalimbali ya kisiasa na kiutawala sehemu mbalimbali Duniani. Nchi imeharibika ikiwa mikononi mwake hivyo ni wajibu...
Back
Top Bottom