rais

  1. Dkt. Kaseya amfariji Rais Samia baada ya msiba

    Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Afrika CDC) Dkt. Jean Kaseya akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia...
  2. Eda ni nini? Je, Rais Samia kuendelea kuongoza akiwa eda?

    Kifo cha Hafidh Ameir, mume wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kimeibua maswali kuhusu kipindi ambacho mwanamke Mwislamu huingia baada ya kufiwa na mume wake. Kipindi hicho kinachojulikana kama eda kina masharti gani, huchukua muda gani na kinatofautianaje na maombolezo ya kawaida? Soma...
  3. Rais Samia Asimikwa Mkuu wa Machifu Tanzania

    • 8,Septemba 2021 — Rais Dr. Samia Suluhu Hassan Asimikwa kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania ▪︎ Tarehe 8 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alisimikwa kuwa Mkuu wa Machifu wote Tanzania katika Tamasha la Utamaduni lililofanyika Kisesa, Magu, Mwanza. ▪︎ Katika tukio hilo, Machifu walimtawaza...
  4. Bibi alietembea kwa miguu ampe Rais zawadi ya kuku apewa gari

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 52, Maggie Sapatu, kutoka Mwinilunga nchini Zambia, amezawadiwa gari baada ya kutembea kwa miguu karibu kilomita 1,000 hadi Lusaka kwa lengo la kumshukuru Rais Hakainde Hichilema. Maggie alianza safari hiyo Agosti 15, 16, akiwa amebeba kuku wawili wa kienyeji...
  5. Rais ni nembo Ya nchi, Tumpende na kumpa ushirikiano wa kutosha

    Watanzania wenzangu, katika safari ya kulijenga taifa letu, tunahitaji kuwa na moyo wa kushirikiana na viongozi wetu. Rais ana jukumu kubwa la kuiongoza nchi na kusimamia mambo mbalimbali yanayogusa maisha ya wananchi. Kwa hiyo, tunapokuwa na jambo zuri linalofanyika, tusisite kulitia moyo...
  6. F

    Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

    Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa...
  7. Pita Msechu ameshatoa wimbo kufuatia kifo Cha Mume wa Rais?

    Ambao mko karibu na vyanzo mnipe jibu
  8. Viongozi wamfariji Rais Samia msiba wa mumewe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba pamona na Viongozi mbali mbali wa Vyama na Serikali na Wananchi, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia...
  9. Peter Greenberg hajatoa pole kwa mh. Rais mpaka muda huu

    Wakati wa shida ndio utajua nani rafiki yako. Rafiki mpendwa wa mheshimiwa rais Samia ndugu Peter Greenberg ameshindwa kutoa pole zake kwa Samia kufuatia kifo cha mzee Hafidhi. Kuelekea masaa 24 baada ya msiba hamna rambirambi kutoka kwa Greenberg hata kashindwa na wavuja jasho wakina Kigwangallah
  10. Kwa niaba ya Watanzania, natoa pole kwa Mheshimiwa Rais kwa msiba huu uliotugusa!

    Kwa masikitiko makubwa, tunatoa pole na rambirambi zetu za dhati kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia msiba wa mume wake mpendwa. Katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, tunamuombea Mwenyezi Mungu ampe Mheshimiwa Rais nguvu, moyo wa subira na faraja katika kukabiliana na pengo hili...
  11. M

    Watu kufurahia kifo cha Mume wa rais wao kinaleta taswira gani kwenye taifa?

    Hii ni picha mbaya sana taifa na binadamu kwa ujumla. Kwamba watu wanapiga ndulu kwa furaha tele kwa kuwa mume wa rais wao kafariki. Tunapata picha gani hapa? Watu wanalipa kisasi? Wana chuki kwenye mioyo yao? Taifa limepasuka kila kona.
  12. Mkurugenzi na Mayor Temeke Muoneenni Mh Rais Huruma!

    Tanzania ni kubwa sana , ina miako zaidi ya 26 na wilaya karibu 300. Tanzania ina masoko zaidi ya elfu 8 . Masko yanasimamiwa na local government ambayo ipo kumsaidia mheshimiwa Rais. Sasa , pale wanapofanya vibaya anayelaumiwa ni Rais ni sio hao wwatendaji. Mh Rais , anapenda usafi hata juzi...
  13. Mume wa Rais Samia kuzikwa leo kizimkazi

    Mwili wa Hafidh Ameir Hassan, mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, unatarajiwa kuzikwa leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar. Hafidh Ameir amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar, ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Kifo...
  14. Emmanuel Nchimbi kushiriki maziko ya mume wa rais zanzabar kabla ya swala ya Magharibi?

    Leo Zanibar kabla y jua kuelekea Magharibi kutakuwepo na ibada ya mazishi ya Mume wa Rais. Viongozi wakuu wastaafu na waandamizi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano na mapinduzi ya Zanzibar watafika zanzibar. Uvumi wa kutoonekana kwa Makamu wa Rais aliyejiuzulu Utafutwa?
  15. N

    Je, Katiba inasemaje ikiwa Rais atakuwa Eda?

    Kwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo. Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha...
  16. Makamu wa Rais Atangaza Msiba wa Mwenza wa Rais Samia

    TAARIFA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  17. Kimedani: Mtawala au Rais hawezi kuwa na Imani na mtu mwenye ndoto ya kuwa Rais au mtawala kama Yeye.

    Hamjambo! Mtibeli ni Mwalimu wa wote. Utake usitake. Ukishupaza shingo Kafie mbele na lazima jambo baya litakukuta. Mwanaume hawezi kuwa na urafiki na rafiki anayemtamani Mkewe. Hiyo ni Kanuni. Ukishakuwa mtawala utaelewa hili. Sisi Watibeli tunafahamu saikolojia ya mtu mwenye mamlaka na...
  18. David Kafulila: Rais Samia ametoa Shilingi trilioni moja ili kuwakopesha wakulima kwa riba ya 9% zipo NMB na CRDB nia kukuza Kilimo walau kwa 8-10%

    https://www.instagram.com/reel/Dc-fV2YAgEN/?stkn=MTI3M3czY3cyajR1NA==
  19. “Kumtetea Rais Samia Mbele ya Wananchi Si Kazi Rahisi: Wingi wa Malalamiko ya Utekaji, Mauaji, Dhuluma na Ukosefu wa Haki Wazua Maswali Mazito”

    Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana! Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…