"Kwa kutambua umuhimu wa haki kama misingi ya amani, utulivu, lakini pia maendeleo ya taifa letu, na ustawi wa wananchi kwa ujumla. Haki ndiyo inayo-prevail katika hayo yote hayo. Nendeni mkae"
Hayo yamesemwa na Rais Samia Leo, Mei 26,2026 wakati akiwaapisha Majaji aliowateua hivi karibuni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 26 Mei, 2026, amewaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aliowateua hivi karibuni kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani.
Majaji walioapishwa ni
(i) Mhe. Imani Daud Aboud;
(ii) Mhe. Rabia Hussein Mohamed...
Aliteuliwa na Rais Samia mwaka 2023 kuwa mkuu wa wilaya Mbogwe yeye na mwenzake Maganga wakakataa uteuzi.
Jana wamefikishwa mahakamani kwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha.
Je, ni kweli walitakatisha fedha au ni kisasi?
Pia soma
Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth...
NI JAKAYA KIKWETE;
Jana nilitoa picha ya Marais 6 wote waliowahi na wanaoendelea kuongoza Taifa letu nikichukua mitazamo yenu kuhusu nani kwano unampa namba 1-6 kwa utendaji.
Kwangu mimi (wenyewe wanaita mimi kama mimi) kwanza nitatoa heshima kwa Marais hayati Nyerere na Mzee Ruksa kwa kuwapa...
Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa??
Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ?
Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?.
Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi...
US kadeal na MAFWELE ,sababu alousema ni "Kuwateka akina Agatha".
Sasa Kuna wale walikua Wanapiga Vita UKRISTO, Waloua watu Okt 29, Wanaomfunga Lissu na kuanzisha vita dhidi ya DEMOKRASIA.
Na nyinyi Jiandaeni, Tena nyinyi Kipigo Chenu ni Cha Mbwa Koko
Soma pia Mafwele azuiwa kuingia...
Watanganyika tunaonewa sana. Kwanza kabisa taifa letu lilimezwa na sasa halijulikani lilipo. Tanganyika imemezwa. Tunadanganywa eti kuna Tanzania bara na Zanzibar.
Alafu tunaumizwa sana. Maana utekaji umekuwa ukiumiza amani ya mioyo ya watu.
Angalia tukio la Sativa. Kwenda kutupwa porini na...
Wakuu nipo barabarani muda huu,
Ama kwa hakika maisha yamebadilika.
School buses zipo busy kuchukua wanafunzi.
Wazazi wanakwena makazini na watoto wao.
This is pure madness, there is no control.
Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu,
No child at this hour , wanahitaji kupata...
Ningelifungua page hapa JF nikasikiliza maoni ya watu. Katika anonymity ya JF, kuna watu wa CCM wenye nia njema ( ingawa ni debatable kama CCM kuna mwenye nia njema in exclusion of Judge Sinde Warioba) watakupa ukweli mwema na ukakuongoza kutoa maamuzi.
Unapokuwa kwenye vikao nao, wanaangalia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia anayesimamia nchi za Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe, Bw. Nathan Belete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2026.
Bw. Belete ambaye kwa sasa...
Ukifika malekani ukisikia neno mfia nchi au mzalendo basi ni jambo rahisi kuona kila nyumba ikiwa na bendera ya marekani.
Nchi zenye kupenda watu wake zinaangalia utaifa na watu wake.Sio huku tanzania Amani labda za wanyama ambao hawa wezi kuuliza.
Kuna mda unaweza kusema sisi ambao raia...
#HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini.
Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
biashara
biashara na uwekezaji
changamoto
dangote
heche
john
john heche
katiba
katiba mpya
kuboresha
kuboresha mazingira
kufungua
kutatua
maridhiano
mazingira
mpya
njia
pamoja
raisrais samia
samia
serikali
sifa
uwekezaji
wawekezaji
Kukutana kwa Rais Suluhu na mmoja wa wafanyabiashara wakubwa Afrika, Aliko Dangote kumeonesha kuwa Tanzania inaendelea kuwa eneo lenye mvuto wa uwekezaji.
Hii hutuma ujumbe chanya kwa wawekezaji wengine wa ndani na nje kuwa Serikali ipo tayari kushirikiana na sekta binafsi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...