rais

  1. Kamanda Asiyechoka

    Madereva kumbe na nyie mnamchukia rais aliyejipa madaraka huko porini?

    Nimeshangaa sana kumbe madereva wa mabasi na malori wanajitambua. Wanamchikia rais huyu dhalimu ambae alijipa madaraka kibabe akiwa kwenye poli la nyika huko Dodoma.
  2. Zack Abdul

    RAIS DKT SAMIA APIGANIA SEKTA BINAFSI.

    📌Ndani ya nchi aipendelea fursa, saaa mwelekeo ni hadi nje ya nchi. 📌Mwigulu asema amewasisitiza ishiriki kwenye mipango ya serikali 📌Yatengenezewa mazingira hadi Qatar, nia ni iwajibike Dira 2050
  3. Q

    Rais Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti

    Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti. Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa. Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa...
  4. Megalodon

    Mkakati wa Makamu wa Rais Deo dhidi ya Vijana naufanqnisha na mbwembwe za Makonda wakati yupo Arusha- hakunaga tija

    Strategies ya bwana Deo kuhusu interns kwenye corporate entities za serikali eti ndio mpango wa serikali kuwapa vijana uzoefu wa kuajirika serikalini ! Hii ni reactive strategies isiyokuwa na sustainability yoyote ahead ! Kama mpaka leo bado tunawaza kuongeza wig kwa vijana kuajiriwa...
  5. kavulata

    Prof. Tibaijuka mpe sapoti Rais Samia kwaajili ya wasichana wa shule yako.

    Professor umefanya kazi nzuri sana kuonyesha mfano kuwa wanawake wanaweza kama wakipewa nafasi. Shule yako ya wasichana ni miongoni mwa shule bora hapa nchini. Najua hizo ni jitihada za kufanya women empowerment kwa vitendo. Mwanamke kuwa Rais wa nchi ndiyo empowerment kubwa kupita zote kwa...
  6. Kamanda Asiyechoka

    Tafiti: Bomoa bomoa ya vibanda vya wamachinga ni kwa sababu hawakumchagua rais Samia pamoja na kupewa Tisheti na pesa

    Hii bomoa bomoa ya vibanda vya wajasiriamali ni hasira za raisa aliyepo madarakani bila ridhaa ya umma. Amekasirika kiasi cha kuita wafanyabiashara ni takakataka. Kisa tu mwaka jana hawakumpigia kura na hawamtaki. Politika science has revelead.
  7. Zack Abdul

    Makamu wa Rais Ndejembi akutana na Katibu Mkuu wa UN

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Antonio Guterres, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa – New York nchini Marekani. Mazungumzo hayo yamefanyika...
  8. Tlaatlaah

    Rais William Ruto wa Kenya ni kiongozi wa kipekee sana barani Africa, waafrica tunafaa kummpa mau yake, anafanya kazi nzuri na kubwa kwajili ya Africa

    Hebu ukipata nguvu, msikilize na kutazama facial expressions na body language za hao wazungu anaowapiga lecture, unaweza kuobserve kitu na kujifunza pia. well done Dr.William Somoe Ruto, very able President of THE republic of Kenya for speaking for Africa. :1Head: Mungu Ibariki Tanzania, Mungu...
  9. C0000-5068-428-1

    Watumishi wa Umma wanalojambo kubwa sana La kumshukuru Rais Samia Suluhu!

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu, Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na...
  10. Mohamed Said

    Kumbukumbu za Rais Mkapa Uchaguzi wa Rais 1995

    https://www.facebook.com/share/v/1B2qhgYhck/?mibextid=wwXIfr Historia hii ya Mkapa kuchaguliwa kuwa mgombea ili ikae vizuri inahitaji utafiti kujua wagombea wengine mfano wa Kikwete wanasema nini kuhusu mchango wa Mwalimu katika ugombea wao wa kutaka kupendekezwa kupeperusha bendera ya CCM...
  11. Zack Abdul

    TONE LA MAJI LA KWANZA KILWA LAFUNGULIWA,WAZEE WAOMBA DUA KWA RAIS SAMIA

    Mradi mkubwa wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Kijiji cha Mavuji kilwa Masoko umekamilika na wananchi wameanza kupata huduma ya maji na kuondokana na changamoto ya magonjwa kama kipindupindu ulokua unawakumba mara kwa mara kutokana na adha ya maji. Baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza...
  12. Mkalukungone Mwamba

    Rais wa Guinea Mamadou Doumbouya ametimuliwa na waandamanaji New York

    Rais wa Guinea alikaribishwa New York kwenye Mkutano wa UN, kwa Maandamo ya Diaspora wa Guinea, mpaka aliogopa kushuka kwenye gari ikabidi Dereva akimbize gari kukwepa aibu ila jamaa walikimbiza gari mpaka sio poa hii ndo dawa ya Madikteta wote. Halafu Polisi wa Marekani hawajapiga mtu mabomu...
  13. Wakusoma 12

    Kama Makamu wa Rais anaweza kunyamazishwa na wazee wa chama wasiozidi 5 na most of them wazanzibari kuna nchi hapo?

    Hili ni swali je kuna nchi ya namna hiyo hapa duniani? Kote duniani kwenye mataifa yote ya kidemokrasia na utawala wa raia viongozi hondolewa na; 1. Wananchi 2. Bunge 3. Mahakama Sasa hiki ni nini wazee? Are we MAD?
  14. M

    Misukosuko mikubwa inamkuba, wananchi wanazidi kumchukia. Huyu rais atamaliza 2030?

    Tangu tupate uhuru hakuna rais ambae amekumbwa na kadhia ya kuchukiwq na hata kutawala kwa kulazimisha tu. Je, atamaliza hii ngwe mpaka 2030? Amechukiwa sana zaidi hata ya Hitler wa Ujereman
  15. Zack Abdul

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiahidi anatekeleza. 🇹🇿🔥

  16. M

    Makonda: Tulipanga Jezi ya Taifa izunduliwe na Rais, Wizara zote ziwepo, taasisi zote tuzialike

    Niliamini busara itumike, tuwe na jezi iwe pride ya nchi. Tulipanga sisi wizarani jezi hiyo izinduliwe na mheshimiwa Rais. Wizara zote ziwepo, taasisi zote tulipanga tuzialike, tulikuwa na mpango, hapa kina Haji wanajua hapa, kina Neema, ya kwamba ifike hatua ukienda TFF, ukienda wapi, ilikuwa...
  17. Zack Abdul

    UNGA 2026: Mhe.Ndejembi aanika mafanikio ya Rais Samia kwenye sekta ya afya

    Na Dr. Zack, WAF- New York Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Tanzania imepunguza vifo vya akina mama kwa asilimia 80 ndani ya kipindi cha miaka saba chini ya uongozi thabiti wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Mhe. Ndejembi amesema haya leo...
  18. L

    Video: Msanii Mkubwa Wa Marekani Na Dunia Rick Ross Ampongeza Rais Samia Kwa Kuiweka Tanzania Katika Ramani ya Dunia. Kutua Nchini Muda wowote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu . Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    Vituko vya Slobodan Milošević (aliyekuwa Rais wa Serbia na Yugoslavia) na mke wake, Mirjana "Mira" Marković. Wapenzi wa kuanzia chekechea,shule, chuo

    Slobodan Milošević (aliyekuwa Rais wa Serbia na Yugoslavia) na mke wake, Mirjana "Mira" Marković, walikuwa miongoni mwa wanandoa wenye nguvu, ushawishi na vituko vingi zaidi katika historia ya kisiasa ya Ulaya. Mke wake alijulikana kama "Lady Macbeth wa Balkan" kutokana na jinsi alivyomtawala na...
  20. Parabolic

    ACT Wazalendo ndani ya GNU: Mamlaka ya Makamu wa Kwanza wa Rais na athari kwa siasa za Muungano

    Zanzibar. Uamuzi wa ACT-Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) Zanzibar umefungua ukurasa mpya wa siasa za visiwani na kwa kiwango fulani umeibua maswali kuhusu namna hatua hiyo inavyoweza kuathiri siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Tanzania Bara. Mjadala huo...
Back
Top Bottom