rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Taarifa ya rais Samia kuhusu bei za mafuta kwingineko sio kweli.

    Hii imekaaje, rais kutangazia umma kwamba Tanzania ndio nchi yenye bei ndogo sana ya mafuta ya petroli na dizeli katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati. Katika kutetea hoja yake hiyo rais amejaribu kunukuu bei ya bidhaa hiyo katika bara la Ulaya ambapo amesema ni Euro 6,000 kwa lita...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia kutunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha NASARAWA cha Nigeria, leo Aprili 11, 2026

  3. L

    Tizama Hapa: Rasmi Magari Yapunguzwa Katika Msafara Wa Rais Samia ili Kutimiza Ahadi Yake. Yatembea Katika Mfumo Wa Kikomandoo Na Kijeshi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge. Ni Mama wa Vitendo ,ni Mama anayetimiza anachoahidi na...
  4. Mwanamwana

    Rais Samia: Huduma za mawasiliano zinazotolewa nchini zizingatie mila na tamaduni zetu Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema hayo leo, Aprili 10, 2026, alipokuwa akitoa maelekezo kwa Serikali katika hafla ya uzinduzi wa minara 758 pamoja na uunganishaji wa Mkongo wa Mawasiliano katika wilaya 85 ambapo ameelekeza kuwa serikali ihakikishe huduma ya mawasiliano inayotolewa nchini...
  5. ChoiceVariable

    Rais Samia Aweka rekodi ya Kujenga Masoko ya Wajasiriamali Kwenye Miji Yote Tanzania Nzima.Haijawi Tokea Kabla

    My Take Wengine waliotangukia walijenga ila Samia amejenga na kujenga zaidi. https://www.instagram.com/p/Cen-Vgxqcjl/?igsh=MTNsdnk1ZG1yNjd6YQ== Kuna wale nyumbu na haters wake watakuja kubisha na kutukana hovyo huku wakiumia kuona mafanikio hayo makubwa yanayoacha rekodi ,alama na Kuandika...
  6. Inside10

    Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta

    Serikali kupitia Msemaji Mkuu wake, Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kauli ya Rais Samia aliyotoa mchana wa leo Aprili 8, 2026, kuhusu bei za mafuta; Soma: Rais Samia: Bei ya mafuta Marekani na Ulaya ni Dola 800 na Euro 400/600 lita 1, Sisi tuko vizuri, tuna uhakika wa miezi 3 UFAFANUZI Leo...
  7. W

    Chuo Kikuu cha Nigeria Nasarawa kinatarajia kumtunuku Rais Samia shahada ya Udaktari wa Heshima

    Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa (NSUK) cha Nigeria, kinatarajia kumtunuku Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, shahada ya Udaktari wa Heshima, Aprili 11, 2026. Kulingana na taarifa iliyochapishwa kwenye gazeti la Premium Times la nchini humo, kiongozi huyo atatunukiwa shahada hiyo wakati wa...
  8. R

    Rais Samia: Bei ya mafuta Marekani na Ulaya ni Dola 800 na Euro 400/600 lita 1, Sisi tuko vizuri, tuna uhakika wa miezi 3

    Akizungumza Aprili 8, 2026 katika hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, Rais Samia ametoa mchanganuo wa bei za mafuta kwa mataifa ya Ulaya na Marekani, akieleza kwa Tanzania ni nafuu na bado kuna uhakika wa Mafuta kwa miezi mitatu. Soma pia Rais Samia: Naanza...
  9. Waufukweni

    Rais Samia: Naanza kupunguza matumizi ya mafuta ofisini kwangu, kwenye msafara wengine nitawaweka kwenye kibasi kimoja

    Rais Samia ametangaza hatua mpya ya kubana matumizi ya mafuta ndani ya serikali, akieleza kuwa matumizi hayo yamekuwa makubwa kutokana na wingi wa magari na safari za kikazi. Akizungumza wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi katika Ikulu ya Chamwino, amesisitiza umuhimu wa taasisi za umma...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Rais Samia tafadhali zifute hizi taasisi kwa manufaa ya umma

    1. Wakala wa vipimo (WMA). Wakala wa vipimo ulianzishwa ili kuleta usawa kwa mlaji na mtoa huduma lakini vituo vya mafuta vinadhulumu walaji. Sasa hivi bei ya mafuta iko juu na vituo vya mafuta bila aibu wanatuibia huku wakala wa vipimo upo tu . Wakala hii ifutwe haraka na watumishi wake wote...
  11. B

    Nini kimebadili mwelekeo wa uongozi wa Rais Samia ulioanza kwa 4R?

    Katika miaka ya mwanzo ya uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan alionekana kubadili upepo wa kisiasa kwa kuonesha utashi mpya uliogusa moja kwa moja masuala ya demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na mwelekeo wa kidiplomasia. Kauli na hatua zake za awali zilijenga taswira ya kufungua milango...
  12. ChoiceVariable

    Samia ndio Rais wa kwanza kuweka Historia ya kununua Vitendea kazi Vingi kwa Watumishi na Taasisi zote, Kila Taasisi kuna Magari mapya

    Yaani ni kuanzia mahakamani Hadi Time ya umwagiliaji Ambulance za Wahonjwa Hadi pikipiki za maagisa ugani. Mitambo ya kuchimbia visima na mabwawa Hadi baiskeli za wahudumu wa Afya. Mitambo ya Ujenzi Hadi magari ya zimamato Kila Wilaya. My Take Sio tuu kwamba amenunua Vitendea Kazi lakini...
  13. Idugunde

    Tungekuwa na bunge ambalo sio rubber stamp. Rais Samia angeondolewa madarakani kupitia ibara ya 46A ya katiba ya JMT kwa kumteua Agela Kizigha

    Kwa ujumla raisa Ameqakosea wananchi ambao wanalipa kodi ili kulipa mishahara ya Wabunge na posho zao. Kama hili bunge lisingekuwa rubber stamp ilipaswa rais Samia aondolewe madarakani kupitia ibara ya 46A . Huwezi kuteua mtu ambae aaliiba pesa za watanzania masikini ambao hawana maji, shule...
  14. W

    Rais Samia aagiza uchunguzi wa haraka wa moto uliotokea Ubungo Mawasiliano

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS, IKULU Zanzibar 05 Aprili, 2026 Baruapepe: press@ikulu.go.tz TAARIFA KWA UMMA RAIS SAMIA ATOA POLE KWA WAATHIRIKA WA MOTO MAWASILIANO, AAGIZA UCHUNGUZI WA HARAKA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia...
  15. Cute Wife

    Mpaka sasa Rais Samia ana njia moja tu ya kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi...

    Wakuu, Njia iliyobaki kwa Rais Samia kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi kutokana na mauaji ya Oktoba 29, ni kuangusha lawama zote kwa vyombo vya ulinzi, kisha apishe kiti kuruhusu uchaguzi mwingine kufanyika. Aseme vyombo vya ulinzi vilitenda mauaji yale kwa order zao, either kwa...
  16. Cute Wife

    PostGE2025 Vyama 16 "Kuomba mkutano na Rais Samia", njia ya mkato kuelekea Maridhiano?

    Wakuu, Ikulu wawekea post kuwa Rais Samia ameitikia wito wa wagombea nafasi ya Urais kwa vyama 16. Kwa maneno mengine ni kwamba hawa wagombea ndio wameomba mkutano na Rais Samia ili wajadili pamoja kuhusu hali ya kisiasa na masuala ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla. Watu sio wajinga...
  17. L

    Rais Samia Akutana Na Wagombea Urais Wa Vyama Zaidi Ya 16 Uchaguzi Uliopita. Anyoosha Na kukunjua Mkono Wa Maridhiano. Wakoshwa na uchapakazi wake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaendelea kuonyesha na kudhihirisha kuwa yeye ni chaguo la Mungu Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na aliyepewa kibali na Mungu kuongoza Taifa letu. Anaendelea kuonyesha kuwa yupo kwa ajili ya ustawi...
  18. Roving Journalist

    Rais Samia akutana na Wagombea Urais kutoka Vyama 16 baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025

    RAIS SAMIA AKUTANA NA WAGOMBEA URAIS WA TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana tarehe 31 Machi, 2026, alikutana na wagombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
  19. B

    Rais Samia sema neno juu ya upandaji wa bei ya mafuta

    Habari wanabodi.... Kauli ya Rais ni Sheria.... Watanzania wote tuna imani na tunaamini kwamba Rais akitoa kauli juu ya jambo fulani bhasi hakuna mtu wa kupinga, kinachofuata hua ni utekelezaji na utendaji juu ya kauli hiyo. Sasa bhasi kwa pamoja tumuombe Rais Samia aseme neno Juu ya...
  20. L

    Jakaya Kikwete akiwa na Timu ya mpira wa kikapu Dar City nchini Afrika Kusini

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema Sana Humu jukwaani na kula sehemu hapa Nchini kuwa Rais Samia ni Chaguo la Mungu Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu na kuwekwa Hapo Alipo kwa kibali maalumu cha Mwenyezi Mungu Mwenyewe. Rais Samia akikupatia Baraka na kukutakia Heri ni lazima ufanikiwe,ni...
Back
Top Bottom