rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Rais Samia: Sikutarajia Kadhia hii ingetokea nikiwa Rais, Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu

    Rais Samia amesema; "Waheshimiwa viongozi na Watanzania wenzangu, wakati nikielekea kuhitimisha nataka nikiri kwamba mimi binafsi sikutaraajia kadhia hii ingetokea kwenye nchi yetu kipindi hiki nikiwa kiongozi mkuu wa nchi. Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu. Lakini nataka...
  2. McLaren

    PostGE2025 Rais Samia: Tutagharamia matibabu ya majeruhi ya Oktoba 29. Wafanyabiashara tutaangalia namna 'tutawafariji'

    Wakuu, Samia ameyasema baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
  3. S

    Rais Samia: tumepanga kukamilisha mchakato huu (wa katiba mpya) katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita

    "Pamoja na hayo, bado kuna mambo kadhaa ya kufanyiwa kazi katika mawanda ya siasa, ikiwemo suala la mabadiliko ya Katiba. Kama mnavyofahamu, na kama nilivyoahidi, tumepanga kukamilisha mchakato huu katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita. Na ni suala la kipaumbele kwenye ilani ya...
  4. Mwanamwana

    PostGE2025 Rais Samia: Vurugu hazikuondoa changamoto, bali zimeongeza

    Rais Samia amesema kuwa yaliyotokea Oktoba 25 (29) hayakuondosha wala kupunguza changamoto tulizokuwa nazo, bali zimeongeza changamoto. kama ghasia zile zisingedhibitiwa nchi ingepata athari kubwa sana na ingetuchukua miaka mingi kuinuka tena. Amewasii watanzania kulinda amani ya nchi.
  5. Waufukweni

    PostGE2025 Rais Samia: Tusimame dakika moja tuwaombee waliopoteza Maisha Oktoba 29

    Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila mtu kwa imani yake."
  6. S

    Rais Samia: Bila shaka, jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndiyo imefanya Tanzania iwe leo ilivyo

  7. The Watchman

    Rais Samia: Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia ndiyo imefanya Tanzania iwe ilivyo vinginevyo tungekuwa tunazungumza hadithi nyingine

    "Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale ambao tutabaini wamekiuka sheria na taratibu za kazi zao kwamba hatutawajibisha, tutawajibishana." -...
  8. McLaren

    PostGE2025 Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa habari za Oktoba 29 hususani vyombo vya habari vya nje na vya kimataifa

    Wakuu, Anazungumza Rais samia wakati akipokea ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu 2025
  9. H

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uchunguzi wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  10. instinct desire

    Rais Samia sisi watumishi, wakulima na wafanyabiashara hatukudai kitu tulikotoka kulikuwa kugumu kwelikweli

    Toka Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kwakweli tumeona mabadiliko makubwa sana kwenye masilahi ya kiutumishi, amekuwa akipandisha madaraja analipa arrears anapandisha mishahara ameongeza kima cha mshahara serikalini na kwenye private sectors. Niseme tu, Mh. Rais Dr Samia...
  11. Nyendo

    Rais Samia: Bila amani Hakuna kujenga Uchumi, hakuna shughuli za kijamii. Siku tatu zile hakukuwa na kuchezana wala harusi zilikuwa siku 3 nzito

    Nawapongeza kwa kauli mbiyu isemayo Shiriki kulinda maani na mshikamano wa kijamii amani ni hazina ya Mama na Baba lishe, ila mimi nataka niseme amani ni hazina ya shughuli zetu za kiuchumi na kijamii. Bila amani Hakuna kujenga Uchumi, hakuna shughuli za kijamii. Siku tatu zile hakukuwa na...
  12. McLaren

    PostGE2025 Rais Samia: Mmeshuhudia siku tatu zile. Hakukuwa na harusi, kitchen party wala mikusanyiko kwenye mabaa. Zilikuwa siku tatu nzito

    Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Aprili 21, 2026, wakati akifungua Kongamano la Kitaifa la Mamalishe na Babalishe, Rais Samia wafanyabiashara wadogo wa chakula, maarufu kama Mamalishe na Babalishe, kutambua na kulinda amani ya nchi kama nguzo kuu ya kukuza uchumi na ustawi wa shughuli zao...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia Akifungua Kongamano La Kitaifa La Mamalishe Na Babalishe, Tarehe 21/04/2026, Dar

    Rais Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la Kitaifa la Mamalishe na Babalishe, Tarehe 21 Aprili, 2026, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/4nzMi7ttDsM
  14. Mkalukungone Mwamba

    Rais Samia apokea ugeni wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika. Wasisitiza kuimarisha utawala wa kidemokrasia

    Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amepokea ugeni wa ngazi ya juu kutoka Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika (AFLN) katika Ikulu ya Dar es Salaam, ikiwa ni ziara ya kidiplomasia iliyolenga kuimarisha ushirikiano katika utawala bora, ujenzi wa amani, na uongozi...
  15. Mkalukungone Mwamba

    CHADEMA yakutana na ujumbe wa African Women Leaders Network, yaeleza yalitokea Oktoba 29

    Mapema leo, uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulikutana na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, akiwa ameambatana na aliyekuwa Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde. Ziara ya ujumbe huo nchini Tanzania...
  16. Traxtion

    Sheikh: Mtume Muhammad s.a.w amemtaja Rais Samia na Dkt Nchimbi

    Sio maneno yangu, ni maneno ya Sheikh hapa 😂😂
  17. ChoiceVariable

    Rais Samia afuta vibali vya wawekezaji wageni uchwara wa Madini na kuwapa Vijana wazawa wa BBT Madini

    My Take Pamoja na uamzi huu mzuri wa kuwapatia fursa Vijana wa zawa Vitalu vya Madini lakini Machadema yataanza kutukana hovyo badala ya kupongeza kama Afrika nzima inavyompongeza Rais Samia Kwa uamzi wa kishujaa na kizalendo. https://www.instagram.com/p/DXMc7YtDEjQ/?igsh=YTFkODFzZnhsbGF4
  18. L

    Bila Rais Samia kuwa Rais wetu hali ya Watanzania ingekuwa ngumu sana. Watu wangekuwa wanazungumza wenyewe barabarani kama vichaa

    Ndugu zangu Watanzania, Bila Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kuwa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Hali ya Watanzania Ingekuwa ni Ngumu sana Hapa Nchini. Hali ingekuwa ni mbaya sana kiasi kwamba...
  19. S

    POTOSHI Chalamila asema kituo cha mafuta ni cha mtoto wa Rais Samia

Back
Top Bottom